Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
Umeshakua hacked mkuu,ila usihofu,mambo ya mifuko ya salfeti,yalishapita..Aruu....!
Umenijuaje.
Umeshakua hacked mkuu,ila usihofu,mambo ya mifuko ya salfeti,yalishapita..Aruu....!
Umenijuaje.
Umuhimu wa daraja LA salendar ulipungua au kufa kabisa Mara wizara zote zilivyohamishiwa Dodoma kutoka magogoni. Watu wachache wanaenda posta siku hizi, daladala zatosha. Tuangalie vipaumbele viko wapi.Kwa faida ya nyie mnao ishi masaki
Kwaiyo wasitishe ujenzi au unashauri vipi mkuu ?Umuhimu wa daraja LA salendar ulipungua au kufa kabisa Mara wizara zote zilivyohamishiwa Dodoma kutoka magogoni. Watu wachache wanaenda posta siku hizi, daladala zatosha. Tuangalie vipaumbele viko wapi.
Sawa ngoja nicheki na mama, hapa nitakupa feedback mkuu.Usitishwe Na ulaaniwe, mipango mibovu, huku unahamia Dodoma huku unajenga njia za kuja magogoni. Ni lini tutawafikiria watu wa vijijini wanaoshindwa kuleta mazo yao sokoni?
umesahau kituo cha mwendo kasi jangwa ndio bingo bahati mbaya mkuuUpanuzi ule malengo yake sio BRT, kama lengo lingekuwa hilo lile daraja la juu LA waenda kwa miguu pale bondeni kuelekea tank bovu lisingejengwa vile. Lile daraja lazima ulivunje ili kujenga BRT, ujinga gani huu?
Sidhani kama kwa stage hii nia kuu ya Morocco-Mwenge ni BRTDah ila plan ya hii barabara imepitia updates nyingi hadi nikawa nafikiri ni utopolo wamefanya. Ila ninachojiuliza ni kuwa kwenye makutano ya Sam Nujoma na Bagamoyo road hizo BRT zitapitaje naa kama watapapropose flyover itakuwaje?
Na stendi ya BRT mwenge itakuwaje?
Strabag wangepata hii tenda nadhani mambo yasingekuwa hivi yalivyo
Hata mimi maana kinachoendelea kule magomeni kuelekea Ilala boma ni kile kile tu na wakati awamu ya mwisho ya BRT ilikuwa kutoka morocco kuelekea tegeta na bunjuSidhani kama kwa stage hii nia kuu ya Morocco-Mwenge ni BRT
Kwa hiyo kwa ushauri wako ina maana tusijenge barabara dsm mpaka tumalize kujenga barabara za vijijini?Usitishwe Na ulaaniwe, mipango mibovu, huku unahamia Dodoma huku unajenga njia za kuja magogoni. Ni lini tutawafikiria watu wa vijijini wanaoshindwa kuleta mazo yao sokoni?
Lahasha!! Ujenzi uzingatie maeneo yenye uhitaji mkubwa Na uzalishaji, uchumi. Mfano, sio vizuri malori yanayoenda Na Na kutoka bandarini yakichelewesha Na magari ya watu wanaokwenda harusini. Kama ikiwezekana magari mengine yatafutiwe njia ya kupita ili kuyafanya magari makubwa ya mizigo hawahi yanakokwenda.Kwa hiyo kwa ushauri wako ina maana tusijenge barabara dsm mpaka tumalize kujenga barabara za vijijini?
Haujasikia ujenzi wa Dry Port pale Kwala-Kibaha? Nadhani ni suala la muda tu haya malori ya mizigo hayatalazimika kufika bandarini na hivyo kupunguza msongamano wa magari jijini. Kama government itakuwa serious na hii dry port tatizo la msongamano wa malori kwenda bandari litapungua kama siyo kwisha kabisa.Lahasha!! Ujenzi uzingatie maeneo yenye uhitaji mkubwa Na uzalishaji, uchumi. Mfano, sio vizuri malori yanayoenda Na Na kutoka bandarini yakichelewesha Na magari ya watu wanaokwenda harusini. Kama ikiwezekana magari mengine yatafutiwe njia ya kupita ili kuyafanya magari makubwa ya mizigo hawahi yanakokwenda.
Weka picha sasa tujadili.Morocco/Victoria hadi Mwenge ni kipande kifupi sana kuhitajii kupanuliwa kuwa njia 8 kwakuwa kinaunganisha barabara nyembamba za Mwenge kwenda Tangi bovu na Sam nujoma ambazo ni njia NNE zote. Hivyo magari yatapita mengi na kwenda kujazana Mwenge au kutoka Mwenge na kwenda kujazana Morocco.
Barabara ile ni heri ingejengwa barabara ya Nyerere kutoka Airport kuja Dar center, au barabara ya mandera kwenda bandarini.
Hapo alikuwa anatafuta sababu ya kumnanga Hayati ambaye kwa sasa Kila anayejiona ni mchambuzi anataka kumtupia lawama.Hio ni njia nne kama Mwenge tanki bovu, hapo katikati ni njia ya mwendokasi ambayo pia itajengwa Mwenge -tanki bovu
Nchi inaendeshwa kitaasisi sio kama familia. "Hakuna sherehe za uhuru badala pesa za sherehe zikajenge barabara ya Morocco-Mwenge" just like that!!. Swali ni je fedha za sherehe zinatosha upanuzi wa barabara ile au utakwenda kuingilia fedha za mipango mingine?Hapo alikuwa anatafuta sababu ya kumnanga Hayati ambaye kwa sasa Kila anayejiona ni mchambuzi anataka kumtupia lawama.
Watakwambia raisi katoa pesa kupunguza foleniHayo ni maboresho ya miundombinu yanayoendelea jijini kwa msaada wa benki ya dunia
Hahahahahaha. Haya bwanaBongo nyoso