lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,607
- 2,064
Kusoma sio kua na akili tu za darasani na uwezo wa kusomesha pia ni muhimu, siku hizo elimu ni pesa sio akili za darasani tu.Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.
Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza.
Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO.
Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A.
Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi?
Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL.
Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto.
Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi?
Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI.
Kuna shule wanafunzi wana A wote, na wote shule ya kata wamepangiwa, ushindani ni mkubwa sana,Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.
Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza.
Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO.
Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A.
Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi?
Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL.
Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto.
Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi?
Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI.
Mwalimu wake anajisikiaje ? Mwanafunzi huyu kutothaminiwa ? Au kwa sababu mwanafunzi huyu yuko KIJIJINI?
Hivi wanafunzi gani wapo pale MAZENGO ? Wote watakuwa na ufaulu zaidi wa huyu? HATA kama basi na yy kutokana na mazingira yake anaweza kufanya zao ya hao WATEULE wenu.
MBUNGE WA KONGWA ,mtembele kijana huyu na umsaidie ,hili litachochea na wengine na wengine kufanya vzr na hata waalimu kuna faraja watapata.
Tupunguze kuandaa wachunga MBUZI.
Unampakulia minyama mtoto wako au sioKijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.
Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza.
Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO.
Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A.
Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi?
Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL.
Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto.
Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi?
Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI.
Mwalimu wake anajisikiaje ? Mwanafunzi huyu kutothaminiwa ? Au kwa sababu mwanafunzi huyu yuko KIJIJINI?
Hivi wanafunzi gani wapo pale MAZENGO ? Wote watakuwa na ufaulu zaidi wa huyu? HATA kama basi na yy kutokana na mazingira yake anaweza kufanya zao ya hao WATEULE wenu.
MBUNGE WA KONGWA ,mtembele kijana huyu na umsaidie ,hili litachochea na wengine na wengine kufanya vzr na hata waalimu kuna faraja watapata.
Tupunguze kuandaa wachunga MBUZI.
Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua. Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza. Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO. Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A. Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi? Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL. Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto. Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi? Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI. Mwalimu wake anajisikiaje ? Mwanafunzi huyu kutothaminiwa ? Au kwa sababu mwanafunzi huyu yuko KIJIJINI? Hivi wanafunzi gani wapo pale MAZENGO ? Wote watakuwa na ufaulu zaidi wa huyu? HATA kama basi na yy kutokana na mazingira yake anaweza kufanya zao ya hao WATEULE wenu. MBUNGE WA KONGWA ,mtembele kijana huyu na umsaidie ,hili litachochea na wengine na wengine kufanya vzr na hata waalimu kuna faraja watapata. Tupunguze kuandaa wachunga MBUZI.
Hii nchi kila kitu ukikichukulia kwa uzito, utaishia tu kuchanganyikiwa. Mambo mengine tunatakiwa kuyapuuzia tu.
kweli kabisa usemayoHii nchi kila kitu ukikichukulia kwa uzito, utaishia tu kuchanganyikiwa. Mambo mengine tunatakiwa kuyapuuzia tu.
Kwenu kuna wajinga wengi kwelikweliHayo ndiyo matokeo ya kijijini kwetu! Najiandaa kwenda huko kula tunda kimasihara kwa hao vilaza waliopata D, maana wote nawajua
Mkuu! Siku hizi wanaopata wastani wa 'A' ni wengi! Shule nyingi za kata zinachanganya na hao wa 'B' na wengi wao zaidi ya %90 ni 'C' Hata hivyo kulingana na uwezo wa wazazi wakati mwingine kusoma kutwa kwa shule ya karibu ni nafuu zaidi kuliko kupelekwa shule za bweni zilizombali na gharama za nauli na mahitaji lukuki kama sanduku, mashuka, n.kKijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.