Nilipo on tu hii title Nikajua kuna kurumbembe litaleta negativity becquse Tanzanians are saddists and the hate every success and successful peoplewakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz.
Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane.
Ukipita mitandaoni comment nyingi unakuta wanasema Mbosso ni msanii mpole na mstaarabu hata ikitokea kausishwa na ugomvi basi itasemwa kuwa anaonewa.
Ameshausishwa na magomvi mengi lakini amekuwa akiwai kujisafisha hivyo upande misingi ukibaki kuchafuka.
Mbosso ni bingwa wa kuandika na kuimba lakini ni bingwa zaidi wa unafki na ufitinishi.
Yamoto band ilipovunjika alizunguka na kuwaachia mimavi wenzie kuwa wao ndio chanzo yeye alikuwa hataki kundi life. Akaonekana yeye mzuri. Mpaka leo Aslay na Mkubwa Fella hawapo vizuri.
Inadaiwa kuwa alikuwa chanzo cha ugomvi wa Chege na Diamond alipeleka maneno ya uongo kwa Diamond fitna kwake si mwiko.
Alikuwa na bifu na demu wa Aslay mwanadada Tessy chocolate. Mwanaume unamchukia demu wa mchizi wako.
Inadaiwa pia alikuwa anapeleka maneno ya Harmonize kwa Diamond.
Alikuwa anamchokoza chini chini Marioo, Mario alipojibu public yeye akageuza kuwa anachokozwa.
Alishawai fanya hivyo kwa Jaymelod.
Kama ilivyokuwa kwa Tessy kwa sasa haziivi na Zuchu. Kawaida yake kugombana na mashemeji zake. Nimeona anahojiwa na ICU kina maimatha anaulizwa kuhusu Zuchu shemeji yake anakenua tu anafurahia.
Inadaiwa amempora Chino Wanaman mwekezaji wake. Fitna juu ya fitna.
Mmeona alichomfanyia Ennock Bella?
Collabo yake na Aslay inasuasua kwa sababu ameshaanza kutangaza mapema kuwa nyimbo anaandika yeye na Aslay anamuogopa. Always yeye yupo vizuri.
Alikuwa swaiba wa familia ya Diamond full kujipendekeza na ufitinishi.
Tuendelee kuinjoi muziki mzuri wa ep yake huku tukiujua upande wa pili wa Mbosso.
Adiós!
Mko wachache sanaMboso is overrated, hii kitu inampa kichwa sana
Ni msanii wa kawaida sana kwenye mtazamo wangu
wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz.
Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane.
Ukipita mitandaoni comment nyingi unakuta wanasema Mbosso ni msanii mpole na mstaarabu hata ikitokea kausishwa na ugomvi basi itasemwa kuwa anaonewa.
Ameshausishwa na magomvi mengi lakini amekuwa akiwai kujisafisha hivyo upande misingi ukibaki kuchafuka.
Mbosso ni bingwa wa kuandika na kuimba lakini ni bingwa zaidi wa unafki na ufitinishi.
Yamoto band ilipovunjika alizunguka na kuwaachia mimavi wenzie kuwa wao ndio chanzo yeye alikuwa hataki kundi life. Akaonekana yeye mzuri. Mpaka leo Aslay na Mkubwa Fella hawapo vizuri.
Inadaiwa kuwa alikuwa chanzo cha ugomvi wa Chege na Diamond alipeleka maneno ya uongo kwa Diamond fitna kwake si mwiko.
Alikuwa na bifu na demu wa Aslay mwanadada Tessy chocolate. Mwanaume unamchukia demu wa mchizi wako.
Inadaiwa pia alikuwa anapeleka maneno ya Harmonize kwa Diamond.
Alikuwa anamchokoza chini chini Marioo, Mario alipojibu public yeye akageuza kuwa anachokozwa.
Alishawai fanya hivyo kwa Jaymelod.
Kama ilivyokuwa kwa Tessy kwa sasa haziivi na Zuchu. Kawaida yake kugombana na mashemeji zake. Nimeona anahojiwa na ICU kina maimatha anaulizwa kuhusu Zuchu shemeji yake anakenua tu anafurahia.
Inadaiwa amempora Chino Wanaman mwekezaji wake. Fitna juu ya fitna.
Mmeona alichomfanyia Ennock Bella?
Collabo yake na Aslay inasuasua kwa sababu ameshaanza kutangaza mapema kuwa nyimbo anaandika yeye na Aslay anamuogopa. Always yeye yupo vizuri.
Alikuwa swaiba wa familia ya Diamond full kujipendekeza na ufitinishi.
Tuendelee kuinjoi muziki mzuri wa ep yake huku tukiujua upande wa pili wa Mbosso.
Adiós!
Naona mnafanana, yeye anaongea mabaya ya wengine na wewe unaongea mabaya yake.Upo sahihi ni msanii mkali sana tatizo ni hilo tu ufitinishi na unafki.
Kmmk 😁🙌1. Huyo Mboso ni nani,
2. Kwa nini aliamua kukuacha (maana inaonekana wewe utakuwa ulikuwa mkewe ndo inaujua upande wake wa pili)
3. Je unaona ni sawa kuleta mahusiano yenu humu mkiachana?
4. Unadhani mwanaume mwingine akitaka kukuoa ataweza kweli kama unazungumza mambo ya ex mumeo JF?
😁😁😁 Corona laini laini na mavyapati vyapati aghh eti ninge mpata wapi ??Kwa sisi old school tulikuwa nae wa kariba hii inspector halun babuuu akianza kukutajia tajia mavyakula hapo lazima njaa ikupate 😂😂😂
Kimuziki naona Ako Vizuri
Tafsiri ya unafki imebadirishwa lini mkuuUnafiki sio jambo baya kifalsafa MTU mnafiki ni MTU amekataa kurithi maadui wa MTU .
Mbosso is very talented smart and visionary hajafika hapo kwa bahati mbaya.
Watanzania acheni wivu wa kijinga
Lakini licha ya mleta mada kuhusishwa na uchoko na uchawa lakini familia yako mpaka leo bado duni sanaWanaotoka familia duni msosi kwao ni big deal. Pilau ni chakula cha sikukuu.
Vipo analipa bei gani mbona mimi nmemtetea na sijalipwa au mhasibu hujaniona?Mboso kawaripa watu huku ili wamtete azidi kuonekana msafi, binafsi mimi mwenyewe namkubali Dogo baadhi ya truck zake ninazo kwenye Simu yangu
Si ni choko sema huo ni upande wake wa kwanzawewe upande wako wa pili tusioujua ni upi