😂😂😂 huyu kijana ana chuki na yeyote atakaetoka hapo uchafuniVishu hata wewe nitakuja kusema hapa upande wako wa pili kudadek..
😂😂😂😂😂
Wanaotoka familia duni msosi kwao ni big deal. Pilau ni chakula cha sikukuu.Hivi kwanini mbosso kila nyimbo lazima ataje vyakula?! Mara kalimati, sambusa, chapati za kumimina n.k?
😂😂😂 huyu kijana ana chuki na yeyote atakaetoka hapo uchafuni
Amefika hapo kwa mchango mkubwa wa wasafi.Unafiki sio jambo baya kifalsafa MTU mnafiki ni MTU amekataa kurithi maadui wa MTU .
Mbosso is very talented smart and visionary hajafika hapo kwa bahati mbaya.
Watanzania acheni wivu wa kijinga
Sawa Ila anajua na Ana kipaji kikubwa namuona akiutawala huu mziki miaka na miaka.Amefika hapo kwa mchango mkubwa wa wasafi.
Kwanza kabila la Mbosso ni mndegereko na mzaramo.
Pili, wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz.
Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane.
Ukipita mitandaoni comment nyingi unakuta wanasema Mbosso ni msanii mpole na mstaarabu hata ikitokea kausishwa na ugomvi basi itasemwa kuwa anaonewa.
Ameshausishwa na magomvi mengi lakini amekuwa akiwai kujisafisha hivyo upande misingi ukibaki kuchafuka.
Mbosso ni bingwa wa kuandika na kuimba lakini ni bingwa zaidi wa unafki na ufitinishi.
Yamoto band ilipovunjika alizunguka na kuwaachia mimavi wenzie kuwa wao ndio chanzo yeye alikuwa hataki kundi life. Akaonekana yeye mzuri. Mpaka leo Aslay na Mkubwa Fella hawapo vizuri.
Alikuwa chanzo cha ugomvi wa Chege na Diamond alipeleka maneno ya uongo kwa Diamond fitna kwake si mwiko.
Alikuwa na bifu na demu wa Aslay mwanadada Tessy chocolate. Mwanaume unamchukia demu wa mchizi wako.
Alikuwa anapeleka maneno ya Harmonize kwa Diamond.
Alikuwa anamchokoza chini chini Marioo, Mario alipojibu public yeye akageuza kuwa anachokozwa.
Alishawai fanya hivyo kwa Jaymelod.
Kama ilivyokuwa kwa Tessy kwa sasa haziivi na Zuchu. Kawaida yake kugombana na mashemeji zake. Nimeona anahojiwa na ICU kina maimatha anaulizwa kuhusu Zuchu shemeji yake anakenua tu anafurahia.
Amempora Chino Wanaman mwekezaji wake. Fitna juu ya fitna.
Mmeona alichomfanyia Ennock Bella?
Collabo yake na Aslay inasuasua kwa sababu ameshaanza kutangaza mapema kuwa nyimbo anaandika yeye na Aslay anamuogopa. Always yeye yupo vizuri.
Alikuwa swaiba wa familia ya Diamond full kujipendekeza na ufitinishi.
Tuendelee kuinjoi muziki mzuri wa ep yake huku tukiujua upande wa pili wa Mbosso.
Adiós!
Kwa sisi old school tulikuwa nae wa kariba hii inspector halun babuuu akianza kukutajia tajia mavyakula hapo lazima njaa ikupate 😂😂😂Hivi kwanini mbosso kila nyimbo lazima ataje vyakula?! Mara kalimati, sambusa, chapati za kumimina n.k?
Tuambizane ukweli wakuu huyo mbosso ndo nani huko Daslam?Kwanza kabila la Mbosso ni mndegereko na mzaramo.
Pili, wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz.
Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane.
Ukipita mitandaoni comment nyingi unakuta wanasema Mbosso ni msanii mpole na mstaarabu hata ikitokea kausishwa na ugomvi basi itasemwa kuwa anaonewa.
Ameshausishwa na magomvi mengi lakini amekuwa akiwai kujisafisha hivyo upande misingi ukibaki kuchafuka.
Mbosso ni bingwa wa kuandika na kuimba lakini ni bingwa zaidi wa unafki na ufitinishi.
Yamoto band ilipovunjika alizunguka na kuwaachia mimavi wenzie kuwa wao ndio chanzo yeye alikuwa hataki kundi life. Akaonekana yeye mzuri. Mpaka leo Aslay na Mkubwa Fella hawapo vizuri.
Alikuwa chanzo cha ugomvi wa Chege na Diamond alipeleka maneno ya uongo kwa Diamond fitna kwake si mwiko.
Alikuwa na bifu na demu wa Aslay mwanadada Tessy chocolate. Mwanaume unamchukia demu wa mchizi wako.
Alikuwa anapeleka maneno ya Harmonize kwa Diamond.
Alikuwa anamchokoza chini chini Marioo, Mario alipojibu public yeye akageuza kuwa anachokozwa.
Alishawai fanya hivyo kwa Jaymelod.
Kama ilivyokuwa kwa Tessy kwa sasa haziivi na Zuchu. Kawaida yake kugombana na mashemeji zake. Nimeona anahojiwa na ICU kina maimatha anaulizwa kuhusu Zuchu shemeji yake anakenua tu anafurahia.
Amempora Chino Wanaman mwekezaji wake. Fitna juu ya fitna.
Mmeona alichomfanyia Ennock Bella?
Collabo yake na Aslay inasuasua kwa sababu ameshaanza kutangaza mapema kuwa nyimbo anaandika yeye na Aslay anamuogopa. Always yeye yupo vizuri.
Alikuwa swaiba wa familia ya Diamond full kujipendekeza na ufitinishi.
Tuendelee kuinjoi muziki mzuri wa ep yake huku tukiujua upande wa pili wa Mbosso.
Adiós!
Hivi hizo nyimbo za mwanaume anaimba taarabu mnazionaje nzuri? DahIla nyimbo zake Kali sana huo upande wa pili ni wa Kila mtz isipokuwa mimi
Kama mwanaume wewe una muda wa kuwapekenyua wanaume wenzako 🙌🙌Kwanza kabila la Mbosso ni mndegereko na mzaramo.
Pili, wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz.
Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane.
Ukipita mitandaoni comment nyingi unakuta wanasema Mbosso ni msanii mpole na mstaarabu hata ikitokea kausishwa na ugomvi basi itasemwa kuwa anaonewa.
Ameshausishwa na magomvi mengi lakini amekuwa akiwai kujisafisha hivyo upande misingi ukibaki kuchafuka.
Mbosso ni bingwa wa kuandika na kuimba lakini ni bingwa zaidi wa unafki na ufitinishi.
Yamoto band ilipovunjika alizunguka na kuwaachia mimavi wenzie kuwa wao ndio chanzo yeye alikuwa hataki kundi life. Akaonekana yeye mzuri. Mpaka leo Aslay na Mkubwa Fella hawapo vizuri.
Alikuwa chanzo cha ugomvi wa Chege na Diamond alipeleka maneno ya uongo kwa Diamond fitna kwake si mwiko.
Alikuwa na bifu na demu wa Aslay mwanadada Tessy chocolate. Mwanaume unamchukia demu wa mchizi wako.
Alikuwa anapeleka maneno ya Harmonize kwa Diamond.
Alikuwa anamchokoza chini chini Marioo, Mario alipojibu public yeye akageuza kuwa anachokozwa.
Alishawai fanya hivyo kwa Jaymelod.
Kama ilivyokuwa kwa Tessy kwa sasa haziivi na Zuchu. Kawaida yake kugombana na mashemeji zake. Nimeona anahojiwa na ICU kina maimatha anaulizwa kuhusu Zuchu shemeji yake anakenua tu anafurahia.
Amempora Chino Wanaman mwekezaji wake. Fitna juu ya fitna.
Mmeona alichomfanyia Ennock Bella?
Collabo yake na Aslay inasuasua kwa sababu ameshaanza kutangaza mapema kuwa nyimbo anaandika yeye na Aslay anamuogopa. Always yeye yupo vizuri.
Alikuwa swaiba wa familia ya Diamond full kujipendekeza na ufitinishi.
Tuendelee kuinjoi muziki mzuri wa ep yake huku tukiujua upande wa pili wa Mbosso.
Adiós!
Mwenyw anaitwa sinza pazurii, hehehe eeiyaa 😂Kama mwanaume wewe una muda wa kuwapekenyua wanaume wenzako 🙌🙌
Jopo langu njooni TUMNUNULIE MADELA
MENEMENE TEKERI NA PERESI
min -me
Intelligent businessman
Monetary doctor
secretarybird
Bolotoba
makutupora
Nikifa MkeWangu Asiolewe
Castle_Lite
Dennis Robert Shughuru , MH. Raisi mtukufu mtarajiwa TOA NENO KWA VIJANA WA SAMPULI HII KWA MUSTAKABALI WA KITAIFA.
ephen_
Harmful
dosho12
mzabzab
Half american
mshamba_hachekwi
DR SANTOS