Upande wa pili wa Mbosso usiofahamu

Upande wa pili wa Mbosso usiofahamu

Kama mwanaume wewe una muda wa kuwapekenyua wanaume wenzako 🙌🙌

Jopo langu njooni TUMNUNULIE MADELA
MENEMENE TEKERI NA PERESI
min -me
Intelligent businessman
Monetary doctor
secretarybird
Bolotoba
makutupora
Nikifa MkeWangu Asiolewe
Castle_Lite
Dennis Robert Shughuru , MH. Raisi mtukufu mtarajiwa TOA NENO KWA VIJANA WA SAMPULI HII KWA MUSTAKABALI WA KITAIFA.
ephen_
Harmful
dosho12
mzabzab
Half american
mshamba_hachekwi
DR SANTOS
Mtu ashasema sinza pazuri sasa huyu ni ngumu kumsaidia kaka ,ashajipotelea
 
wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz.

Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane.

Ukipita mitandaoni comment nyingi unakuta wanasema Mbosso ni msanii mpole na mstaarabu hata ikitokea kausishwa na ugomvi basi itasemwa kuwa anaonewa.

Ameshausishwa na magomvi mengi lakini amekuwa akiwai kujisafisha hivyo upande misingi ukibaki kuchafuka.

Mbosso ni bingwa wa kuandika na kuimba lakini ni bingwa zaidi wa unafki na ufitinishi.

Yamoto band ilipovunjika alizunguka na kuwaachia mimavi wenzie kuwa wao ndio chanzo yeye alikuwa hataki kundi life. Akaonekana yeye mzuri. Mpaka leo Aslay na Mkubwa Fella hawapo vizuri.

Inadaiwa kuwa alikuwa chanzo cha ugomvi wa Chege na Diamond alipeleka maneno ya uongo kwa Diamond fitna kwake si mwiko.
Alikuwa na bifu na demu wa Aslay mwanadada Tessy chocolate. Mwanaume unamchukia demu wa mchizi wako.

Inadaiwa pia alikuwa anapeleka maneno ya Harmonize kwa Diamond.
Alikuwa anamchokoza chini chini Marioo, Mario alipojibu public yeye akageuza kuwa anachokozwa.
Alishawai fanya hivyo kwa Jaymelod.

Kama ilivyokuwa kwa Tessy kwa sasa haziivi na Zuchu. Kawaida yake kugombana na mashemeji zake. Nimeona anahojiwa na ICU kina maimatha anaulizwa kuhusu Zuchu shemeji yake anakenua tu anafurahia.

Inadaiwa amempora Chino Wanaman mwekezaji wake. Fitna juu ya fitna.
Mmeona alichomfanyia Ennock Bella?

Collabo yake na Aslay inasuasua kwa sababu ameshaanza kutangaza mapema kuwa nyimbo anaandika yeye na Aslay anamuogopa. Always yeye yupo vizuri.

Alikuwa swaiba wa familia ya Diamond full kujipendekeza na ufitinishi.

Tuendelee kuinjoi muziki mzuri wa ep yake huku tukiujua upande wa pili wa Mbosso.

Adiós!
Na ww pia ni mfitinishaji unavyoongea hapa ni fitina tupu juu ya hayo ili na sisi ikitokea vichwa panzi tushiriki magovi yenu
 
Kama kusikiliza tu wimbo unapata hisia ukibanwa kwenye daladala si ndio utapigwa paipu kabisa🤔
Tukutane kwenye hiyo daladala sasa we we unasikiza mwanaume anayejisifu kuwa ni mlaini laini na Mimi tuone nani atampiga paipu mwingine
 
Punguza hisia Jon mboso anaimba nyimbo za kawaida sana zenye kuburudisha
 
Kama mwanaume wewe una muda wa kuwapekenyua wanaume wenzako 🙌🙌

Jopo langu njooni TUMNUNULIE MADELA
MENEMENE TEKERI NA PERESI
min -me
Intelligent businessman
Monetary doctor
secretarybird
Bolotoba
makutupora
Nikifa MkeWangu Asiolewe
Castle_Lite
Dennis Robert Shughuru , MH. Raisi mtukufu mtarajiwa TOA NENO KWA VIJANA WA SAMPULI HII KWA MUSTAKABALI WA KITAIFA.
ephen_
Harmful
dosho12
mzabzab
Half american
mshamba_hachekwi
DR SANTOS
Huyo jamaa mbona nilimnunulia dera hata mwezi haujaisha kaibiwa tena ama?

Anyway nitachanga hela ya dera.
 
wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz.

Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane.

Ukipita mitandaoni comment nyingi unakuta wanasema Mbosso ni msanii mpole na mstaarabu hata ikitokea kausishwa na ugomvi basi itasemwa kuwa anaonewa.

Ameshausishwa na magomvi mengi lakini amekuwa akiwai kujisafisha hivyo upande misingi ukibaki kuchafuka.

Mbosso ni bingwa wa kuandika na kuimba lakini ni bingwa zaidi wa unafki na ufitinishi.

Yamoto band ilipovunjika alizunguka na kuwaachia mimavi wenzie kuwa wao ndio chanzo yeye alikuwa hataki kundi life. Akaonekana yeye mzuri. Mpaka leo Aslay na Mkubwa Fella hawapo vizuri.

Inadaiwa kuwa alikuwa chanzo cha ugomvi wa Chege na Diamond alipeleka maneno ya uongo kwa Diamond fitna kwake si mwiko.
Alikuwa na bifu na demu wa Aslay mwanadada Tessy chocolate. Mwanaume unamchukia demu wa mchizi wako.

Inadaiwa pia alikuwa anapeleka maneno ya Harmonize kwa Diamond.
Alikuwa anamchokoza chini chini Marioo, Mario alipojibu public yeye akageuza kuwa anachokozwa.
Alishawai fanya hivyo kwa Jaymelod.

Kama ilivyokuwa kwa Tessy kwa sasa haziivi na Zuchu. Kawaida yake kugombana na mashemeji zake. Nimeona anahojiwa na ICU kina maimatha anaulizwa kuhusu Zuchu shemeji yake anakenua tu anafurahia.

Inadaiwa amempora Chino Wanaman mwekezaji wake. Fitna juu ya fitna.
Mmeona alichomfanyia Ennock Bella?

Collabo yake na Aslay inasuasua kwa sababu ameshaanza kutangaza mapema kuwa nyimbo anaandika yeye na Aslay anamuogopa. Always yeye yupo vizuri.

Alikuwa swaiba wa familia ya Diamond full kujipendekeza na ufitinishi.

Tuendelee kuinjoi muziki mzuri wa ep yake huku tukiujua upande wa pili wa Mbosso.

Adiós!
Hata wewe ulichokileta hapa jukwaani ni ufitinishi na unafki, nani alikwambia tunataka hizi habari si tupo busy na Bonge la dada
 
Back
Top Bottom