Upako Toka Kuzimu...

Upako Toka Kuzimu...

sasa mbona siku ile tulivoenda beach nikakwambia unisimulie ukawa unagoma ?
NTANUNA mimi!
basi unipe nikisome mwenywe!

Ila we ni una makusudi sana....
Unajua nikiwa na wewe ulevi wangu ni nini, sasa hapo nguvu ya kukuhadithia hadithi niutoe wapi!!

Ila nilimpa Mshenga wangu Mtambuzi hicho kitabu akupatie, itabidi anieleze kakipeleka wapi na yeye!
 
Last edited by a moderator:
Bwana Wetu Yesu Kristo a lipo kuja, alisema "Sikuja kuitengua sheria ya Musa, bali kuikamilisha!", "Kimtiacho mtu najisi ni kitokacho na sio kiingiacho!" ndio maana japo wengine wenu huzitema "zile" wenzenu wengine huzitema! na hakuna najisi yoyote!.

Alimaanisha tusiishi kwa sheria tuu kama wafanyavyo mafarisayo na masadukayo!.
Pasco

Mkuu Pasco!
Nakuomba twende Taratibu katika maandiko unayo tummy na udadavuaji wako!
Kwanza kabisa Hilo andiko unalosema si kila kimuingiacho mtu chawaweza mtia mtu unajisi ningekuomba ulete hayo mafungu yote uyaandike na tuanze kuchambua wote!
Maana nimeona kwa unavyochambua waweza potosha Watu Au kuwapa nafasi kwa Ff kuleta hoja nyingi na kutukosoa!
Tafadhali Kama utapenda yaandike hayo mafungu kuanzis mwanzo mpaka hapo Yesu alipo Sema hivyo!
 
Alichofanya Yesu ni kukamilisha kwa kuziondoa sheria vikwazo mfano sheria ya Musa inasema akupigaye kofi mkono wa kulia, na wewe mrudishie kofi!, anayeua kwa upanga, auwawe kwa upanga, mwanake mzinifu, apigwe mawe hadi kufa!. Yesu akasema, atakayekupiga kofi mkono wa kuume, mgeuzie na wa kushoto, na kumpiga mawe mzinifu, na asiye na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe!.
Watu walijikita sana kwenye matendo na kufuata sheria, akawaambia "mtaokolewa kwa neema na sio matendo!"
Pasco.

Mkuu Pasco niongeze kitu kimoja!
Hizo sheria zilikua zinampa mwanadamu haki ya kumuhukumu mwanadamu mwenzake!
Lakini Kama ni msomaji mzuri Wa maandiko Utaona yote hayo yalikua yakilenga ujio Wa Yesu Kristo!
Na kwa maana hiyo basi baada ya baada ya Yesu kuja tunaona anatuelekeza kutokuchukua hukumu!
Mfano ni huyo mwanamke mzinzi! Yesu alipowambia wampige mawa walishindwa kwani katika hao washitaki wake kuna baadhi walikua wanazini nae!
Kwahiyo hukumu iko mikononi maw Yesu!
Na Ndio maana Yesu anasema ukipigwa shavu la kushoto mgeuzia na la kulia yote haya ni kuondoa hukumu mikononi mwa mwanadamu na kua mikononi mwake!
Yote Yale ata Ile auawe kwa upanga na ufa kwa upanga! Maandiko hayo yalikua na maana kua hukumu ipo!
Na katika agano jipya sasa tunamuona bwana Wa Hukumu!
Haina maana kua zile sheria zimefutwa kwani katiba mama bible Bado inakataza maovu na kutusisitizs tutende mema!
 
Si kila kimuingiacho mwanadamu chaweza mtia unajisi!
Hili andiko halihalalishi ulaji Wa viumbe vilivyo najisi!
Kama mtu anabisha alilete Hilo andiko hapa tuone!
 
“nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (walawi 11: 7 – 8).

agizo hilo limerudiwa katika kumbukumbu la shari’ah 14: 7 – 8 na pia isaya 66: 17. Na katika agano jipya, yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari’ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.

Source: wapi katika biblia kumetajwa kuhalalishwa kula nguruwe? | alhidaaya.com

faiza, ila naogopa kuharibu mada ya mleta mada,sikutaka kukujibia uku maana inaonekana hauelewi...wakristo wana agano la kale na jipya. Katika maandiko ya agano jipya kristo mkombozi wa dunia hii pia nasema amekuja kuitakasa dunia...aliondoa miiko iyo...unasema alisema hakuja kutengua mafundisho ya manabii, mbona aliwatimua wafuasi wa manabii na wafanyabishara ktk hekalu kwa kubadilshana fedha na kuuza njiwa?ukitaka fungua huzi mpya nikuelimishe mdogo wangu,au pia utabisha kuwa sio mkombozi wa dunia. Ila najua kimoyo moyo unamtii ndio maana hata ukiulizwa tarehe utasema leo kalenda ya taifa ili au pengine duniani ni tarehe 28/11/2013...saa sangapi siku gani unatiririka tu...hapo unakuwa unataja ni miaka mingapi, leo ni siku gani tangu alikozaliwa mkombozi....miaka 622 baada ya kristo, nasema baada ya bethitdei ya kristo ndo akaja mtume mohamad...nguruwe hakuzaliwa siku ya mohamad, alishaumbwa na mababu zako walishatafuna kitambo, ndo inayokupa afya na vizazi vijavyo....

Bwana alikuja kuitakasa dunia na apo ndo kila kimuingiacho binadamu hakimtii unajisi bali kimtokacho....
 
Leta ushahidi wa uyasemayo, mimi nimeweka ushahidi wa Biblia.

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Au Mbibi Wewe unaona hiyo mambo ya walawi inasema najisi nguruwe tu?
Hiyo hiyo mambo ya walawi 11 Utaona inakuelekeza samaki gani ule na yupi usile!
Mbibiiiiiii!
 
faiza, ila naogopa kuharibu mada ya mleta mada,sikutaka kukujibia uku maana inaonekana hauelewi...wakristo wana agano la kale na jipya. Katika maandiko ya agano jipya kristo mkombozi wa dunia hii pia nasema amekuja kuitakasa dunia...aliondoa miiko iyo...unasema alisema hakuja kutengua mafundisho ya manabii, mbona aliwatimua wafuasi wa manabii na wafanyabishara ktk hekalu kwa kubadilshana fedha na kuuza njiwa?ukitaka fungua huzi mpya nikuelimishe mdogo wangu,au pia utabisha kuwa sio mkombozi wa dunia. Ila najua kimoyo moyo unamtii ndio maana hata ukiulizwa tarehe utasema leo kalenda ya taifa ili au pengine duniani ni tarehe 28/11/2013...saa sangapi siku gani unatiririka tu...hapo unakuwa unataja ni miaka mingapi, leo ni siku gani tangu alikozaliwa mkombozi....miaka 622 baada ya kristo, nasema baada ya bethitdei ya kristo ndo akaja mtume mohamad...nguruwe hakuzaliwa siku ya mohamad, alishaumbwa na mababu zako walishatafuna kitambo, ndo inayokupa afya na vizazi vijavyo....

Bwana alikuja kuitakasa dunia na apo ndo kila kimuingiacho binadamu hakimtii unajisi bali kimtokacho....

Mkuu umeanza vema na umetililika vizuri Lakini Mstari wako Wa Mwisho Wa sio kimwingiacho mwanadamu chaweza mtia unajisi umeharibu hoja zako zote!
Kumbe na Wewe unatetea vilivyo najisi kwa kupitia andiko Hilo?
Tafuta maandiko mengine bhana Lakini sio Hilo!
Hilo andiko haliruhusu ulaji Wa vilivyo najisi!
Unasema Yesu aliitakasa Dunia! Kwa maana hiyo hakuna dhambi!?
 
Au Mbibi Wewe unaona hiyo mambo ya walawi inasema najisi nguruwe tu?
Hiyo hiyo mambo ya walawi 11 Utaona inakuelekeza samaki gani ule na yupi usile!
Mbibiiiiiii!

Walawi 11: 7-8 ni kama ilivyoandikwa hapo juu, kama wewe unaipinga kazi ni kwako si kwangu. Mimi Qur'an imenikataza kula nguruwe, sili.

Nakonea huruma wewe, unasoma lakini haiingii kichwani, pole sana.
 
faiza, ila naogopa kuharibu mada ya mleta mada,sikutaka kukujibia uku maana inaonekana hauelewi...wakristo wana agano la kale na jipya. Katika maandiko ya agano jipya kristo mkombozi wa dunia hii pia nasema amekuja kuitakasa dunia...aliondoa miiko iyo...unasema alisema hakuja kutengua mafundisho ya manabii, mbona aliwatimua wafuasi wa manabii na wafanyabishara ktk hekalu kwa kubadilshana fedha na kuuza njiwa?ukitaka fungua huzi mpya nikuelimishe mdogo wangu,au pia utabisha kuwa sio mkombozi wa dunia. Ila najua kimoyo moyo unamtii ndio maana hata ukiulizwa tarehe utasema leo kalenda ya taifa ili au pengine duniani ni tarehe 28/11/2013...saa sangapi siku gani unatiririka tu...hapo unakuwa unataja ni miaka mingapi, leo ni siku gani tangu alikozaliwa mkombozi....miaka 622 baada ya kristo, nasema baada ya bethitdei ya kristo ndo akaja mtume mohamad...nguruwe hakuzaliwa siku ya mohamad, alishaumbwa na mababu zako walishatafuna kitambo, ndo inayokupa afya na vizazi vijavyo....

Bwana alikuja kuitakasa dunia na apo ndo kila kimuingiacho binadamu hakimtii unajisi bali kimtokacho....

Yesu anasema hakuja kutenguwa Taurati, sasa wewe umekuja kutenguwa taurati? wacha porojo, soma kitabu chako usilete maneno yako.
 
Shikamoo MM..ulitujeruhi sana na bi Erica,sasa naona unatuletea upako kutoka majuu! Nasubiri.....Hope nitachukulia Kinondoni nyuma ya Airtel!
 
1479164_10151870441376156_1897855699_n.jpg

coming early next year to a bookstore near you...

Mwanakijiji!Umenikumbusha mbali sana vitabu kama Kikosi cha kisasi,kufa na kupona,hofu,njama nk.Najina la mpelelezi umelipatia kama willy gamba,ray sibanda,joram kiango,kabwe makanika etc.Ni vizuri uturudishie enzi zetu za kugombea vitabu vya home vya kina musiba,mtobwa,zahir etc.NAKISUBIRIA KWA HAMU KUBWA SANA.
 
Sio kuipinga bali kuikamilisha Kumbukumbu la Torati.

Mkuu Pasco Naomba usome Mark 7:1-23
Utaonao Hilo fungu ambalo Yesu alizungumzia unajisi!
Isome Taratibu Mstari baada ya Mstari Utaona hiyo najisi!
 
Walawi 11: 7-8 ni kama ilivyoandikwa hapo juu, kama wewe unaipinga kazi ni kwako si kwangu. Mimi Qur'an imenikataza kula nguruwe, sili.

Nakonea huruma wewe, unasoma lakini haiingii kichwani, pole sana.
Wewe Mbibi hiyo walawi imekataza kula viumbe na kuelekeza vingine kuliwa!
Nakushangaa Wewe kutokula nguruwe tu wakati mapweza, ngisi, kaa, chaza, papa, pomboo na wengine wengi haramu Wa majini na nchi kavu unakula!
 
Leta ushahidi, wacha porojo. Mimi nimekuwekea ushahidi kuhusu nguruwe, wewe weka kwa uyaandikayo.
 
Leta ushahidi, wacha porojo. Mimi nimekuwekea ushahidi kuhusu nguruwe, wewe weka kwa uyaandikayo.

Leviticus 11:9-12.
These you may eat of all that are in the water: whatever in the water has fins and scales, whether in the seas or in the rivers-that you may eat.

But all in the seas or in the rivers that do not have fins and scales, all that move in the water or any living thing which is in the water, they are abomination to you.

They shall be abomination to you; you shall not eat their fresh, but you shall regard their carcasses as an abomination.

Whatever in the water does not have fins or scales that shall be an abomination to you.

Mbibi ushahidi huo hapo sasa!
Tunatakiwa na Mungu kula samaki wenye Magamba na mapezi tu.
Sasa Pweza,Chaza,kaa,pronzi,dolphin,ngisi na taa. Hawa samaki ni haramu.

Kwa hiyo Mbibi usiangalie nguruwe tu kua ni haramu wakati vingine unakula!

Nitakuja kukupa na viumbe vya nchi kavu wanyama wafaao kuliwa na wasiofaa!
Maana tusiangalie nguruwe tu wakati ngamia viboko na ngiri tembo sungura na wengine wengi unakula!

Napia ata jamii ya ndege nitakuwekea sio kula mabata tu bila kuangalia Miguu Yao ikoje eti kisa nyama ya bata tamu!

Mbibi lol unachekesha!
 
Back
Top Bottom