NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,440
- 2,450
Sisi hatuolewi utumwani, haki yetu ni kulishwa na kuvishwa, nipike halafu mikono iwe kama mekanika?
'safi sana,waeleze mammy kazi ya mke iko wapi ndo mana wanawapa wake zao kazi za ma-house girl then house girls wanawapa kazi za wake zao...'