Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
We imba ngonjera weee mi utamu siachi afterall nimegundua pepo yako na yangu are a very far
Baba V achana na huyo mbibi!
We imba ngonjera weee mi utamu siachi afterall nimegundua pepo yako na yangu are a very far
Tunangoja Historia ya Tanzania uliotuahidi. Huu udaku wapelekee wadaku wenzako mnaoabudu binaadam na masanamu.
... hi kitu ni kivuta picha ninaona kama vile TB JOSHUA na utabiri feki kama wa kutekwa raisi !
... if I don't buy your prophecy what best word should I say ! "fake "i am proud to be an atheist.. huwezi kukuta unadharau imani ya mwenzio..
We imba ngonjera weee mi utamu siachi afterall nimegundua pepo yako na yangu are a very far
mwambie huyo maana hata mimi mambo yake yanichefua mnoTunangoja Historia ya Tanzania uliotuahidi. Huu udaku wapelekee wadaku wenzako mnaoabudu binaadam na masanamu.
nakisubiria....
Kinachokufanya usimuabudu mungu wako ndo sanamu yako... Pamoja na kuwatukana wenzio maana muda ulnaoutumia kuwatukana wenzio ungeutumia kumwabudu Mungu wako ungejiongeazea thawabuTunangoja Historia ya Tanzania uliotuahidi. Huu udaku wapelekee wadaku wenzako mnaoabudu binaadam na masanamu.
Kinachokufanya usimuabudu mungu wako ndo sanamu yako... Pamoja na kuwatukana wenzio maana muda ulnaoutumia kuwatukana wenzio ungeutumia kumwabudu Mungu wako ungejiongeazea thawabu
Hata mitume walikemea waabudu masanamu, kukemea waabudu masanamu ni ibada pia. Fikiri!
Shiling ngapi unauza? natamani niwe dalali wako! ni PM
Kwahiyo Wewe unaona Haramu ni nguruwe tu? Na Pweza je na Ngamia?
Kwenu hata kuuwa ni ibada...Hata mitume walikemea waabudu masanamu, kukemea waabudu masanamu ni ibada pia. Fikiri!