Upako Toka Kuzimu...

Upako Toka Kuzimu...

Leta ushahidi kuwa Yesu kaja kuikamilisha Taurati.

Matthew 5:17-18
Do not think that I came to destroy the Law or the Prophets. I did not come to destroy but to fulfill.

For assuredly, I say to you, till heaven and earth pass away , one jot or one tittle will by no means pass from this law till all is fulfilled.

Ushahidi huo Mbibi Lete hoja sasa.
Ila Mbibi haya mambo huyawezi itafikia hatua utaomba Msaada Wewe kwa jamaa zako.
 
Sihitaji kukupa ushahidi wowote!. Kasome Injili ndani ya kitabu chenu kitukufu, kamsome Nabii aitwae Issa Bin Maryam alifanya nini?!.

Mkuu inasemeka Issa bin Mariam haina maana kua ni Yesu!
 
Makubwa! Watu wanaona chakula kimekatazwa jibu lake anasema mbona wewe umekula!
 
Matthew 5:17-18
Do not think that I came to destroy the Law or the Prophets. I did not come to destroy but to fulfill.

For assuredly, I say to you, till heaven and earth pass away , one jot or one tittle will by no means pass from this law till all is fulfilled.

Ushahidi huo Mbibi Lete hoja sasa.
Ila Mbibi haya mambo huyawezi itafikia hatua utaomba Msaada Wewe kwa jamaa zako.
Sasa hiyo unaijuwa maana yake Kiswahili? si u ajisuta mwenyewe! ni hii hapa;

[SUP]Mat 5:17-18 [/SUP]Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike. [SUP]18 [/SUP]Kwa maana ninawaambia hakika Lakini atakayetii amri hizi na kuwafundisha wengine kuzitii a taitwa mkuu katika Ufalme wa mbinguni.

Shabaha ya Taurati ikamilike siyo kuwa Yesu kaja kufuta au kuongeza! sasa mnaambiwa kwenye walawi kuwa msimle nguruwe ni najisi hata mzoga wake ni najisi, nyinyi mnajidai kitokachi sio kiingoacho na mnaleta hiyo aya inawasuta. Nani kawapa ruksa ya kubadili Taurati?

Hamuoni haya?
 
Leviticus 11:9-12.
These you may eat of all that are in the water: whatever in the water has fins and scales, whether in the seas or in the rivers-that you may eat.

But all in the seas or in the rivers that do not have fins and scales, all that move in the water or any living thing which is in the water, they are abomination to you.

They shall be abomination to you; you shall not eat their fresh, but you shall regard their carcasses as an abomination.

Whatever in the water does not have fins or scales that shall be an abomination to you.

Mbibi ushahidi huo hapo sasa!
Tunatakiwa na Mungu kula samaki wenye Magamba na mapezi tu.
Sasa Pweza,Chaza,kaa,pronzi,dolphin,ngisi na taa. Hawa samaki ni haramu.

Kwa hiyo Mbibi usiangalie nguruwe tu kua ni haramu wakati vingine unakula!

Nitakuja kukupa na viumbe vya nchi kavu wanyama wafaao kuliwa na wasiofaa!
Maana tusiangalie nguruwe tu wakati ngamia viboko na ngiri tembo sungura na wengine wengi unakula!

Napia ata jamii ya ndege nitakuwekea sio kula mabata tu bila kuangalia Miguu Yao ikoje eti kisa nyama ya bata tamu!

Mbibi lol unachekesha!

Halafu vyote hivyo mnakula! sasa hapo mnayakubali hayo au mnayapinga?

Unaechekesha wewe, unaejikaanga mwenyewe.
 
Sasa hiyo unaijuwa maana yake Kiswahili? si u ajisuta mwenyewe! ni hii hapa;

[SUP]Mat 5:17-18 [/SUP]Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike. [SUP]18 [/SUP]Kwa maana ninawaambia hakika Lakini atakayetii amri hizi na kuwafundisha wengine kuzitii a taitwa mkuu katika Ufalme wa mbinguni.

Shabaha ya Taurati ikamilike siyo kuwa Yesu kaja kufuta au kuongeza! sasa mnaambiwa kwenye walawi kuwa msimle nguruwe ni najisi hata mzoga wake ni najisi, nyinyi mnajidai kitokachi sio kiingoacho na mnaleta hiyo aya inawasuta. Nani kawapa ruksa ya kubadili Taurati?

Hamuoni haya?

Mbibi fungu lako la Mwisho ni 19 sio 18 na pia Mimi naunga mkono mafundisho ya Mungu ya kutokula vilivyo najisi!
Na Wewe nakueleza usiangalie nguruwe tu Kama najisi wakati vingine vilivyonajisi unakula!
Mimi situmii kitimoti na vile vyote vilivyo najisi. Kwani Hilo ndo agizo la Mungu!
Sasa Wewe ukiachakula nguruwe tu wakati vingine unakula unakua unachekesha!
 
Halafu vyote hivyo mnakula! sasa hapo mnayakubali hayo au mnayapinga?

Unaechekesha wewe, unaejikaanga mwenyewe.

Wewe Kweli ajuza maana huelewi!
Wewe katika hivyo vyote najisi Umeona nguruwe tu?
Hayo machukizo mengine na ya majini Na nchi kavu na angani unajilia tu?
Acha uroho Mbibi!

Mungu anasema katika wanyama wenye kwato na wanaocheua hao wafaa kuliwa!
Ngamia vipi Mbibi?

Samaki wenye Magamba na mapezi wafaa kuliwa.
Hayo mapweza na ngisi vipi Mbibi?

Wewe ndo unajilia tu vilivyo haramishwa!
 
Faiza Foxy utaomba Msaada kwa jamaa zako!
Wajitia ujuzi Wa maandiko! Ngoja tu muda so mrefu watakuja wenzako!
Kuna Mmoja alichungulia akapotea sijui kenda kujipanga?
Ally Kombo.
 
Ila we ni una makusudi sana....
Unajua nikiwa na wewe ulevi wangu ni nini, sasa hapo nguvu ya kukuhadithia hadithi niutoe wapi!!

Ila nilimpa Mshenga wangu Mtambuzi hicho kitabu akupatie, itabidi anieleze kakipeleka wapi na yeye!
sasa si tunaweka bureki tunaanza kuhadisiana
hujui tunaweza kupatamo marujanja mengine
si unamjua Mzee Mwanakijiji na kuhadithia kwake
huyu mzee noma sana huyu anaweza kufanya ukawa na timu ya mpira hivi hiv bila udhamini wa TBL!ah

kuhusu huyo mshenga wako Mtambuzi wachana nae kwanza ulivyomtuma kuleta ile barua alianzapo kunisololea kabla haijasomwa eti anasema ngoma ya watoto haikeshi ,ukubwa dawa!
huyo nae ni mshenga?
 
Last edited by a moderator:
Wewe Kweli ajuza maana huelewi!
Wewe katika hivyo vyote najisi Umeona nguruwe tu?
Hayo machukizo mengine na ya majini Na nchi kavu na angani unajilia tu?
Acha uroho Mbibi!

Mungu anasema katika wanyama wenye kwato na wanaocheua hao wafaa kuliwa!
Ngamia vipi Mbibi?

Samaki wenye Magamba na mapezi wafaa kuliwa.
Hayo mapweza na ngisi vipi Mbibi?

Wewe ndo unajilia tu vilivyo haramishwa!

Na hivyo ulivyoambiwa najisi wewe unakula tu. Ndio maana hamna haya wala hajuwi vibaya. Ikiwa maneno yenu matakatifu mnayapinga ni nani ambae hamtampinga? Mnastaajabisha sana.
 
Na hivyo ulivyoambiwa najisi wewe unakula tu. Ndio maana hamna haya wala hajuwi vibaya. Ikiwa maneno yenu matakatifu mnayapinga ni nani ambae hamtampinga? Mnastaajabisha sana.

Mimi sili vilivyo najisi Mbibi labda Wewe!
Alafu Naomba na Wewe uniambie katika Hizo najisi Kama hautumii!
 
Mkuu inasemeka Issa bin Mariam haina maana kua ni Yesu!
Mkuu Ntuzu, Wakristo na Waislamu wote ni wana wa Nabii Abraham/Ibrahim , Wakristo ni uzao wa Isaka/Izhaque ambao ndiko aliiozaliwa Yesu/Nabii Issa Bin Mariam na Waislamu wote ni uzao wa Ishamel/Ismail yule mwana wa haram Abraham/Ibrahim aliyezaa na Hagai, kijakazi cha Kimisri cha mkewe Sara/Sarahi!.

Wakristo, Waislamu dugu moja!, baba mmoja, mama mbalimbali!.
Pasco
 
Mkuu Ntuzu, Wakristo na Waislamu wote ni wana wa Nabii Abraham/Ibrahim , Wakristo ni uzao wa Isaka/Izhaque ambao ndiko aliiozaliwa Yesu/Nabii Issa Bin Mariam na Waislamu wote ni uzao wa Ishamel/Ismail yule mwana wa haram Abraham/Ibrahim aliyezaa na Hagai, kijakazi cha Kimisri cha mkewe Sara/Sarahi!
Wakristo, Waislamu dugu moja!, baba mmoja, mama mbalimbali!.
Pasco

Ngoja aje Faiza Foxy Mbibi aone kua Yeye ni uzao Wa haramu!
 
hacha hizo ally kombo?? lakini nyinyi kuahidiwa kuwalala wanawake 70 ni nini kama c Uzinzi na usherati?? na ulevi wa kupindukia ??kwenye ile mito ya pombe??kule peponi mlipoaidiwa??wanapoishi mapepo?? maana ukisema uswahilini nikule wanapoishi waswahili.na uzunguni ni kule wanapoishi wazungu.but nyinyi mmeaidiwa peponi kwenye mapepo.mbona sisi watoto wa ahadi uwa hatuwasimangi kwenye mahadhara yetu ya kikristo??hii ni tatizo sana kwa wtt wa nje ya ndoa.uwa ni watata sana.mimi hapa mnaniacha hoi watoto wa nyumba ndogo.ebu niliemishe ya ilo ili nielewe bw ally kombo?elewa sisi zote ni watoto wa baba mmoja Abraham .tuache malumbano yasiyo na mbele wala nyuma bw kombo.kila dini inakasoro zake .na hizi dini tumezipokea tu toka kwa watu weupe.sisi waafrica tulikuwa na dini zetu za jadi na sione haja ya kulumbana na kuona dini yako ndiyo bora kuliko ya mwezako.na cyo kwamba hatuelewi kasoro nyingi sana ndani ya iman yako ?ila haina maana kuwa na malumbano yasiyo na maana.tupendani ,tueshimiane na tushirikiane .sisi ni wtt wa baba mmoja ibrahim.Amani iwe nawe bw kombo.nawapenda ktk jina mungu
 
Mwanakijiji mimi bado sijapata MAJERUHI WA MAPENZI.
Nielekeze naweza kupata wapi?
Ila upako toka kuzima inaonekana imekaa vizuri, sitakubali kukikosa.
 
Tupendane kama watoto wa baba mmoja Ibrahim .sisi zote ni ndugu na mama yetu Africa.tupendane kwa tofauti zenu.hatuwezi kuwa wote tunafanana .na hata gari lina vifaa tofauti lkn yote vinashirikiana na kufanya kitu kimoja.engine ina kazi yake .matairi yanakazi yake.breki nayo .hivi yote ni vifaa tofauti na vyote vinashirikiana .ndiyo tulivyo sisi Watanzania .tunaiman tofauti .kuna Wakristo,Waislam,Waindu na Wapangani.sisi ni sawa mbele za mungu wetu ndiyo maana katupa uhai na riziki kila siku bila kujari wewe ni imani ngani?na kutupa jua na mvua.tupendane Watanzania na tudumishe Amani na Upendo
 
Kwa jinsi ilivyo hizi zingekuwa zinamahusiano yeyote na Mungu wala kusingelikuwa na malumbano kila siku.mnapigania tamaduni za watu.
 
Mwanakijiji mimi bado sijapata MAJERUHI WA MAPENZI.
Nielekeze naweza kupata wapi?
Ila upako toka kuzima inaonekana imekaa vizuri, sitakubali kukikosa.

Kuna uwezekano bado pale Mlimani City Bookshop wana nakala bado..jaribu kucheki. Nje ya hapo ni kupitia http://www.amazon.com
 
sasa si tunaweka bureki tunaanza kuhadisiana
hujui tunaweza kupatamo marujanja mengine
si unamjua Mzee Mwanakijiji na kuhadithia kwake
huyu mzee noma sana huyu anaweza kufanya ukawa na timu ya mpira hivi hiv bila udhamini wa TBL?

We Snowhite...mfanye makorokocho yenu mnisingizie mimi...nimefurahi kumbe bado upo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom