Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

Mkuu, bado nafasi ni nyingi. Hon Aikael Mbowe ataweza kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu wa Sera na Bunge), au cheo kingine kama Rais Slaa atakavyoona.

Na kamanda Peter Msigwa piga ua tutampa uwaziri wa Maliasili na Utalii. Matunda yake tumeyaona na kila mtu ni shahidi.

Mkiambiwa siasa za ukanda mnalalama, ebu angalia kwenye orodha hiyo, kaskazini wako wangapi na wale mnaodhani wamesahaulika akina mnyika na mdee sio mwendelezo wa ukaskazini? thubutu mtasikia kupitia kwa Mkude Simba EFM radio
 
Mkiambiwa siasa za ukanda mnalalama, ebu angalia kwenye orodha hiyo, kaskazini wako wangapi na wale mnaodhani wamesahaulika akina mnyika na mdee sio mwendelezo wa ukaskazini? thubutu mtasikia kupitia kwa Mkude Simba EFM radio

Mkuu, hii ni safu ya awali, na kama unavyoona bado sijagusa wizara nyeti kama Wizara ya Fedha na Wizara ya Elimu. Akina Mnyika na hao maprofesa wetu tutawaweka huko watusaidie kunyanyua Elimu na Uchumi ulioharibiwa na magamba. Hatutawapa uwaziri vilaza kama Mulugo ili waiharibu. Aidha, tunaye mchumi nguli, Prof Lipumba....pamoja na kuwa Makamu wa Rais, atatusaidia sana kujenga uchumi wetu. Umeona eeh?
 
Rekebisha kidogo mkuu...una maprofessor 2 wnafanya kazi chini ya watu wengine...

mkuu, hata kama wako chini uzoefu na elimu yao vitatusaidia sana. kumbuka hata prof Ndulu alifanya kazi chini ya MWIZI, Daudi Balali.
 
Ndugu wanajamii,
UKAWA wakiingia Magogoni mwaka 2015, uongozi wa juu wa Serikali utakuwa kama ifuatavyo:

Rais: Dr Wilbrod Peter Slaa.

Makamu wa Rais: Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

Waziri Mkuu: Hon James Francis Mbatia.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG): Hon Tundu Antipas Mugway Lissu.

Naibu AG: Profesa Abdallah Safari.

Mkuu wa Usalama wa Taifa: Hon Mabere Nyaucho Marando.

Naibu: Hon Wilfred Muganyizi Lwakatare.

Waziri wa Mambo ya Ndani: Godbless Jonathan Lema.

Gavana wa Benki kuu: Juma Duni Haji.

Waziri wa Michezo na Utamaduni: Hon Joseph Michael Mbilinyi (Sugu).

Hii baadhi ya safu ya kikosi cha MAENDELEO cha UKAWA baada ya kuingia magogoni mwaka ujao. Mnakaribishwa kutoa maoni yenu ili kukiboresha (pale itakapobidi). Kikosi hiki ndio tiba ya maendeleo ya watanzania yaliyokwamishwa na CCM kwa zaidi ya nusu karne sasa.

WanaUKAWA toeni maoni yenu yatakayosaidia kuboresha jeshi hili la ukombozi. WanaCCM naweza kuchangia ila msitumie jazba, kama kawaida yenu.

Nawasilisha.

:israel:
Ahahha ikiwa ndio mmepanga hivi pekee nbasi ni sawa na rasimu ya katiba mtagombana kwa matuisi hadi maridhiano yafe kwa sababu CUF na NCCR hawatakubali nafasi zote muhimu zipewe Chadema. Ukawa ni siasa tupu hakuna kitu chochote baadaye kuna muafaka ulokuwa na matumaini zaidi ya Chadema na CUF, kisha ukafuatiwa na ule wa vyama vyote vya upinzani? mligombea majimbo tu na ushirika ukafa iwe kuongoza nchi - Mnalengeshana tu kutumia katiba ya wananchi na hiyo ndiyo kweli.
 
Ningekuwa mimi Mbowe ningekodi Chopa na kuzunguruka baharini ndani ya miezi 3 lazima ningepata kisiwa na kuanzisha serikali yangu ya ukawa maana hapa Tanzania kushinda ni ndoto labda mwaka 3000.
 
Ahahha ikiwa ndio mmepanga hivi pekee nbasi ni sawa na rasimu ya katiba mtagombana kwa matuisi hadi maridhiano yafe kwa sababu CUF na NCCR hawatakubali nafasi zote muhimu zipewe Chadema. Ukawa ni siasa tupu hakuna kitu chochote baadaye kuna muafaka ulokuwa na matumaini zaidi ya Chadema na CUF, kisha ukafuatiwa na ule wa vyama vyote vya upinzani? mligombea majimbo tu na ushirika ukafa iwe kuongoza nchi - Mnalengeshana tu kutumia katiba ya wananchi na hiyo ndiyo kweli.

Why give such a general statement like a layman? Una hakika na unachoongea? Siku zote huwa mnajifariji hivyo, lakini ikiwa una akili timamu unapaswa kutambua kwamba zama za CCM zinaelekea ukingoni na UKAWA ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CCM. Inakubidi kwanza uanze kujitambua wewe na wachumia tumbo wenzako mumuombe bosi wenu Nape Nnauye awanunulie madawati ya kuweka hizo laptop zenu badala ya mnavyoandika mkiwa mmeinama hivi hadi mtaota vibiongo; kisha ujirudishie akili ndipo utafahamu kwamba hizo general statements unazotoa ni akili za Lumumba
View attachment 179625
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa mimi Mbowe ningekodi Chopa na kuzunguruka baharini ndani ya miezi 3 lazima ningepata kisiwa na kuanzisha serikali yangu ya ukawa maana hapa Tanzania kushinda ni ndoto labda mwaka 3000.

Sio ungemwambia fisadi Lowasa auze mifugo yote ya umasaini akwahonge wapigakura?
lowasa na uchawi.jpg
 
Tanzania kwa sasa imemeguka. Inahitaji serikali ya pamoja kama mpito wa kuelekea 2020 ambapo uchaguzi hasa wa sera utafanyika baada ya kuing'oa madarakani chama kilichokewa sifa na kusahau uadilifu na haki katika uongozi.

wapo wasafi wenye uwezo wa uongozi na kuchangia umoja na msukumo mpya wa msingi wa future yetu. Serikali inayohitajika ni ya technocrats si ya Vyama pekee. Maelewano yatazame pia experience na vipaji vya uongozi pamoja na wingi wa popular votes za wahusika. Na ni vyema kukawa na uhuru mkubwa wa wizara ili waziri aweze kuwa ndio mhusika mkuu wa uongozi na utendaji wa wizara husika badala ya kuingiliwa kimamlaka na katibu mkuu pamoja na state office. Hata katika kuchaguwa nafasi za watendaji wakuu wa wizara ni vyema waziri akawa na sauti ya kuunda timu yake anayoiamini.
 
Cwezi sapoti ujinga kama huu maana itakuwa ndoto kwa ukawakuingia ikulu kitakacho waangusha ni ubinafsi, uroho wa madaraka,na kukataa ushauri wa watu waliowazidi kufikiria poleni sana kila mtz anahitaji mabadiliko ila c kama haya ya ukawa
Wenzio kenya walikuwa na mioyo migumu kama wakwako lakini mvua iliwanyea.
 
Hakuna serikali ya pamoja na ukawa, 2015, ccm ushindi wa kishindo
 
SAFU YA UONGOZI WA UKAWA KUANZIA NOVEMBER 2015

Rais: Dr Slaa
Makamu wa Rais: Prof. Lipumba
Waziri Mkuu: Mbatia

Mawaziri
Sheria: Lissu
Ujenzi: Magifuri
Mambo ya Ndani: Lema
Vijana na Ajira: Mnyika
Viwanda na Biashara: Mbowe
Madini: Serukamba

Hebu wekeni mapendekezo yenu hapa kwenye safu ya uongozi..........

Vipaumbele siku 100 za kwanza
1. Marekebisho ya Katiba
2. Kupitia mikataba mbalimbali hasa ile ya rasilimali za nchi, kupitia upya mikataba ya mahusianao mbalimbali baina ya Tz na nchi mbalimbali
3. Kubuni njia madhubuti za ukusanyaji wa kodi kutoka kwa wananchi, wafanyabiashara nk.
4. ....

Toa mapendekezo yako hapa ya vipaumbele
 
...yapo najembe kibaao ni wanachama wa kawaida na wala sio viongozi wa chama wanafaa kulisongesha pia....
 
Kuwafungulia Mashtaka ya Uhujumu Uchumi Mafisadi wote kuwafunga pamoja na kuwafilisi mali zote walizoiba ikiwemo zilizofichwa Uswisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom