Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,751
Reaction score
29,183
Ndugu wanajamii,

UKAWA wakiingia Magogoni mwaka 2015, uongozi wa juu wa Serikali utakuwa kama ifuatavyo:

Rais: Dr Wilbrod Peter Slaa.

Makamu wa Rais: Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

Waziri Mkuu: Hon James Francis Mbatia.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG): Hon Tundu Antipas Mugway Lissu.

Naibu AG: Profesa Abdallah Safari.

Mkuu wa Usalama wa Taifa: Hon Mabere Nyaucho Marando.

Naibu: Hon Wilfred Muganyizi Lwakatare.

Waziri wa Mambo ya Ndani: Godbless Jonathan Lema.

Gavana wa Benki kuu: Juma Duni Haji.

Waziri wa Michezo na Utamaduni: Hon Joseph Michael Mbilinyi (Sugu).

Hii baadhi ya safu ya kikosi cha MAENDELEO cha UKAWA baada ya kuingia magogoni mwaka huu. Mnakaribishwa kutoa maoni yenu ili kukiboresha (pale itakapobidi). Kikosi hiki ndio tiba ya maendeleo ya watanzania yaliyokwamishwa na CCM kwa zaidi ya nusu karne sasa.

WanaUKAWA toeni maoni yenu yatakayosaidia kuboresha jeshi hili la ukombozi. WanaCCM naweza kuchangia ila msitumie jazba, kama kawaida yenu.

Nawasilisha.

:israel:
 
Naunga mkono mia mia, Ila sasa nahitaji hilo swala lifanyike sasa hivi mana mkishaungana sasa hivi nguvu ya pamoja itatupeleka ikulu ila katiba kumbukeni wanaendelea kutunga peke yao! Wananichanganya sana hivi ile ni ya CCM au ya Taifa?
 
Ndugu wanajamii,
UKAWA wakiingia Magogoni mwaka 2015, uongozi wa juu wa Serikali utakuwa kama ifuatavyo:

Rais: Dr Wilbrod Peter Slaa.

Makamu wa Rais: Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

Waziri Mkuu: Hon James Francis Mbatia.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG): Hon Tundu Antipas Mugway Lissu.

Naibu AG: Profesa Abdallah Safari.

Mkuu wa Usalama wa Taifa: Hon Mabere Nyaucho Marando.

Naibu: Hon Wilfred Muganyizi Lwakatare.

Waziri wa Mambo ya Ndani: Godbless Jonathan Lema.

Gavana wa Benki kuu: Juma Duni Haji.

Waziri wa Michezo na Utamaduni: Hon Joseph Michael Mbilinyi (Sugu).

Hii baadhi ya safu ya kikosi cha MAENDELEO cha UKAWA baada ya kuingia magogoni mwaka ujao. Mnakaribishwa kutoa maoni yenu ili kukiboresha (pale itakapobidi). Kikosi hiki ndio tiba ya maendeleo ya watanzania yaliyokwamishwa na CCM kwa zaidi ya nusu karne sasa.

WanaUKAWA toeni maoni yenu yatakayosaidia kuboresha jeshi hili la ukombozi. WanaCCM naweza kuchangia ila msitumie jazba, kama kawaida yenu.

Nawasilisha.

:israel:

Kamanda Kwa Sasa Itakua vema tuipiganie kuiondoa CCM Magogoni kwanza

Penye Red elimu ni mgogoro mkubwa
 
timu ya vilaza itaongoza nini?? ni ndoto za alinacha endeleeni kuota na ujinga wenu
 
umemsahau mbowe mkuu

Mkuu, bado nafasi ni nyingi. Hon Aikael Mbowe ataweza kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu wa Sera na Bunge), au cheo kingine kama Rais Slaa atakavyoona.

Na kamanda Peter Msigwa piga ua tutampa uwaziri wa Maliasili na Utalii. Matunda yake tumeyaona na kila mtu ni shahidi.
 
timu ya vilaza itaongoza nini?? ni ndoto za alinacha endeleeni kuota na ujinga wenu

Jamani, nilijua tu kwamba lazima mbeze. Nimesema kwamba haya ni maoni yangu. Na unaweza kutoa maoni namna ya kuboresha jeshi hili la ukombozi badala ya kubeza.
 
Ndugu wanajamii,
UKAWA wakiingia Magogoni mwaka 2015, uongozi wa juu wa Serikali utakuwa kama ifuatavyo:

Rais: Dr Wilbrod Peter Slaa.

Makamu wa Rais: Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

Waziri Mkuu: Hon James Francis Mbatia.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG): Hon Tundu Antipas Mugway Lissu.

Naibu AG: Profesa Abdallah Safari.

Mkuu wa Usalama wa Taifa: Hon Mabere Nyaucho Marando.

Naibu: Hon Wilfred Muganyizi Lwakatare.

Waziri wa Mambo ya Ndani: Godbless Jonathan Lema.

Gavana wa Benki kuu: Juma Duni Haji.

Waziri wa Michezo na Utamaduni: Hon Joseph Michael Mbilinyi (Sugu).

Hii baadhi ya safu ya kikosi cha MAENDELEO cha UKAWA baada ya kuingia magogoni mwaka ujao. Mnakaribishwa kutoa maoni yenu ili kukiboresha (pale itakapobidi). Kikosi hiki ndio tiba ya maendeleo ya watanzania yaliyokwamishwa na CCM kwa zaidi ya nusu karne sasa.

WanaUKAWA toeni maoni yenu yatakayosaidia kuboresha jeshi hili la ukombozi. WanaCCM naweza kuchangia ila msitumie jazba, kama kawaida yenu.

Nawasilisha.

:israel:

Hizi ni ndoto za alinacha. Mnapanga kugawana madaraka wakati hata dalili za kushida hakuna. Unashangaza uma kwelikweli. Poleni kwa matumaini hayo ya ipo sikuu utaota mabawa na kuruka kama tai.
 
Ndugu wanajamii,
UKAWA wakiingia Magogoni mwaka 2015, uongozi wa juu wa Serikali utakuwa kama ifuatavyo:

Rais: Dr Wilbrod Peter Slaa.

Makamu wa Rais: Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

Waziri Mkuu: Hon James Francis Mbatia.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG): Hon Tundu Antipas Mugway Lissu.

Naibu AG: Profesa Abdallah Safari.

Mkuu wa Usalama wa Taifa: Hon Mabere Nyaucho Marando.

Naibu: Hon Wilfred Muganyizi Lwakatare.

Waziri wa Mambo ya Ndani: Godbless Jonathan Lema.

Gavana wa Benki kuu: Juma Duni Haji.

Waziri wa Michezo na Utamaduni: Hon Joseph Michael Mbilinyi (Sugu).

Hii baadhi ya safu ya kikosi cha MAENDELEO cha UKAWA baada ya kuingia magogoni mwaka ujao. Mnakaribishwa kutoa maoni yenu ili kukiboresha (pale itakapobidi). Kikosi hiki ndio tiba ya maendeleo ya watanzania yaliyokwamishwa na CCM kwa zaidi ya nusu karne sasa.

WanaUKAWA toeni maoni yenu yatakayosaidia kuboresha jeshi hili la ukombozi. WanaCCM naweza kuchangia ila msitumie jazba, kama kawaida yenu.

Nawasilisha.

:israel:
Cwezi sapoti ujinga kama huu maana itakuwa ndoto kwa ukawakuingia ikulu kitakacho waangusha ni ubinafsi, uroho wa madaraka,na kukataa ushauri wa watu waliowazidi kufikiria poleni sana kila mtz anahitaji mabadiliko ila c kama haya ya ukawa
 
mkuu, amini usiamini UKAWA wanatinga ikulu 2015. kilichokuwa kinawaangusha ni utovu wa umoja. Hawatafanya kosa kama hilo safari hii ijapokuwa CCM wameishaanza kuweweseka kufuatia nguvu na mshikamano wa UKAWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom