Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

Naona huna uelewa na nafasi ya makamu Wa rais kwamba huwa anapatikanaje?
 
1. Kwenye wizara ya fedha anafaa Mzee Lutembeka ambaye atachukua nafasi ya Tibaijuka pale Muleba.

2. Prof Jay tukimuenzi kwa wizara ya michezo na utamaduni pia haitakuwa mbaya.
3. Mtatiro tukimpa wizara ya elimu naamini atatusaidia pia.
 
SAFU YA UONGOZI WA UKAWA KUANZIA NOVEMBER 2015

Rais: Dr Slaa
Makamu wa Rais: Prof. Lipumba
Waziri Mkuu: Mbatia

Mawaziri
Sheria: Lissu
Ujenzi: Magifuri
Mambo ya Ndani: Lema
Vijana na Ajira: Mnyika
Viwanda na Biashara: Mbowe
Madini: Serukamba

Hebu wekeni mapendekezo yenu hapa kwenye safu ya uongozi..........

Vipaumbele siku 100 za kwanza
1. Marekebisho ya Katiba
2. Kupitia mikataba mbalimbali hasa ile ya rasilimali za nchi, kupitia upya mikataba ya mahusianao mbalimbali baina ya Tz na nchi mbalimbali
3. Kubuni njia madhubuti za ukusanyaji wa kodi kutoka kwa wananchi, wafanyabiashara nk.
4. ....

Toa mapendekezo yako hapa ya vipaumbele
Huyo Magifuri ni nani sasa hivi na huyo Sserunkuma kaingiaje hapo?
 
2. Prof Jay tukimuenzi kwa wizara ya michezo na utamaduni pia haitakuwa mbaya. .

Kumbe ni mambo ya KUENZIANA na sio UTENDAJI/UCHAPAKAZI!???
kama ni hivo basi hutufai ktk kupendekeza safu maana nchi itabaki PALEPALE kama sio kudidimia kabisa!!!
 
Kumbe ni mambo ya KUENZIANA na sio UTENDAJI/UCHAPAKAZI!???
kama ni hivo basi hutufai ktk kupendekeza safu maana nchi itabaki PALEPALE kama sio kudidimia kabisa!!!

Nyie ccm amuenziani, makonda c mlimuenzi kwa kumshushia kipigo yule mzee,
 
Aisee hivi Slaa bado atasaka zari tena?mbona kama mzee?

Ndio maana Kabwe Zitto alikimbia,maana kuna watu inaweza kufika miaka 40 mfululizo wanagombea wao tu Urais.Halafu hao hao wanampigia kelele Raisi wa Burundi Nkurunzinza kwa kuongeza muda wa utawala kwa zaidi ya miaka kumi huku akiwa kijana.

Hembu muweke Mbowe hapo kwenye nafasi ya Uraisi angalau ita make sense
 
Hiyo safu aliopanga mwanzisha mada haiwezekani kikatiba. Slaa na Lipumba wote wanatoka upande mmoja wa Muungano.
 
Ok, natengua kauli, ila ujumbe umefika

Okay, then acha nikueleweshe kitu..
Lengo la UKAWA ni kusawazisha na kuiweka nchi sawa ukilinganisha na utawala ulioko sasa wa ccm. Sasa ukianza kuingiza mambo ya eti 'mbona ccm wanaenziana' hio itakua ni ccm legacy.. wakat ukawa tunakuja na sera mpya na mbinu mpya ktk kuleta taifa jipya la maendeleo huku tukiweka UWAJIBIKAJI NA UCHAPAKAZI. Mambo ya kuenziana ktk uongozi peleka hukohuko.
 
Kamanda, SERIKALI YA UKAWA sio kwa kugawana vyeo. Lengo kuu ni kuwakomboa watanzania, kiuchumi, kielimu, kijamii. Tukishinda UKAWA ni ushindi aw watanzania wote. Ikishinda ccm ni ushindi wa MAFISADI NA VIKARAGOSI wao.
 
Aisee hivi Slaa bado atasaka zari tena?mbona kama mzee?

Ndio maana Kabwe Zitto alikimbia,maana kuna watu inaweza kufika miaka 40 mfululizo wanagombea wao tu Urais.Halafu hao hao wanampigia kelele Raisi wa Burundi Nkurunzinza kwa kuongeza muda wa utawala kwa zaidi ya miaka kumi huku akiwa kijana.

Hembu muweke Mbowe hapo kwenye nafasi ya Uraisi angalau ita make sense

Wasira umemsahau.?
Awamu zoote katumikia, Na bado anataka kuendelea tu.. dah kweli Nyani aoni Kundule.

Mbowe Bado sana kwa Dr.Slaa, Yule mzee ni Shiiiider.
 
Kamanda, SERIKALI YA UKAWA sio kwa kugawana vyeo. Lengo kuu ni kuwakomboa watanzania, kiuchumi, kielimu, kijamii. Tukishinda UKAWA ni ushindi aw watanzania wote. Ikishinda ccm ni ushindi wa MAFISADI NA VIKARAGOSI wao.

Pamoja saana Kamanda,
 
SAFU YA UONGOZI WA UKAWA KUANZIA NOVEMBER 2015

Rais: Dr Slaa
Makamu wa Rais: Prof. Lipumba
Waziri Mkuu: Mbatia

Mawaziri
Sheria: Lissu
Ujenzi: Magifuri
Mambo ya Ndani: Lema
Vijana na Ajira: Mnyika
Viwanda na Biashara: Mbowe
Madini: Serukamba

Hebu wekeni mapendekezo yenu hapa kwenye safu ya uongozi..........

Vipaumbele siku 100 za kwanza
1. Marekebisho ya Katiba
2. Kupitia mikataba mbalimbali hasa ile ya rasilimali za nchi, kupitia upya mikataba ya mahusianao mbalimbali baina ya Tz na nchi mbalimbali
3. Kubuni njia madhubuti za ukusanyaji wa kodi kutoka kwa wananchi, wafanyabiashara nk.
4. ....

Toa mapendekezo yako hapa ya vipaumbele

Wazir mkuu kivp mbona mnanishangaza mrema amemaliza huyo punguani kiraracha
 
mpaka apo tu naona pesa ishapanda thamani, uchumi umekuwa kwa 9%. mafisadi wameludisha pesa wako lummande. tembo hawafi, mishahara ya uhakika, Mikopo ya elimu ya uhakika, jeshi linalotii Shelia, haki mahakamani bila lushwa, naona hospital zenye dawa.,wafanyabiashara wakijituma kulipa kodi! polisi rafiki was jamii, kilimo bora, naona wananchi wakiandammana Dr wakidai katiba iongeze muda kwa siraa atawale kama nyerere. watanzania wamejaa machozi ya fulaha.
 
Rais; Dr. Wilbrod Slaa
Makamu; Freeman Mbowe
Waziri mkuu; Tundu Lissu
Fedha; Ibrahim Lipumba
Elimu; James Mbatia
Ardhi; Halima Mdee
Maji; John Mnyika
Afya; Mtatiro
Uchukuzi; John Magufuli
Katiba na sheria; Prof. Safari
Burudani na Michezo; Sugu
 
Okay, then acha nikueleweshe kitu..
Lengo la UKAWA ni kusawazisha na kuiweka nchi sawa ukilinganisha na utawala ulioko sasa wa ccm. Sasa ukianza kuingiza mambo ya eti 'mbona ccm wanaenziana' hio itakua ni ccm legacy.. wakat ukawa tunakuja na sera mpya na mbinu mpya ktk kuleta taifa jipya la maendeleo huku tukiweka UWAJIBIKAJI NA UCHAPAKAZI. Mambo ya kuenziana ktk uongozi peleka hukohuko.

Ukawa hatuna kitu kama hicho waambie hao hao sio mm nina alergy na ccm. Sisi ukawa yaani cdm, cuf, nld, nccr, tunasonga mbele. kumbe chama 1,poa mkuu pa1
 
Timu chadema ni noma,ngoja nikupagie list ya timu chadema alafu bila ushabiki uniambie ni timu bora au timu dhaifu?
No moja
1)reeman mbowe
2)profesa safari
3dr slaa
4)jonh mnyika
5)tindu lisu
6)salumu mwlimu
7)visent nyerere
9)jonh heche
10patrobas
11)godbles lema
12)nasari
13)sugu
14)wenje
15)peter msigwa
16)kasulumbai
17)hines kiwia
18halima mdee
19)machemli
20)akunai
21)mchungaji nase
22)mama kamili
Na wengine wengi, nitawataja kesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom