Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

Kuna mwana dada mmoja hivi anaitwa estar matiku huyu naye hafai ni so la hatari
Bunge la kumi tindu alikuwa ananoa kikosi chake,akamwachia huyu dada bunge,alifanya vizuri sana
Kazi yake ilikuwa ni miongozo fasaa na kushika vifungu kwa kwenda mbele
 
Una haki kabisa ya kuingi kwenye kikosi

Mkuu itabidi hata hapa jf,ipangwe timu ya cdm inayopambana dhidi propaganda chafu dhidi ya chama chetu toka kwa maadui zetu na vibaraka wao.
 
Kuna mwana dada mmoja hivi anaitwa estar matiku huyu naye hafai ni so la hatari
Bunge la kumi tindu alikuwa ananoa kikosi chake,akamwachia huyu dada bunge,alifanya vizuri sana
Kazi yake ilikuwa ni miongozo fasaa na kushika vifungu kwa kwenda mbele

Hao ndio walio mtia bi kidude kiwewe
 
Hiyo team uliyo weka ni ndogo sana kama naona kama vile bado huijui chadema. Chadema haina team ndogo kiasi hicho, nenda kapekue viongozi wa vitengo vyote kama akina mabele marando, Lwakatare n.k, Viongozi wa zone, viongozi wa mikoa, viongozi wa wilaya, viongozi wa kata, viongozi wa vijiji na vitongoji, pamoja na undeground wote na mimi na wewe tukiwemo. Kuna watu kama akina baregu hawaonekani lakini wamo. Kuna wagombe wa Ubunge na udiwani wazuri sana na kwasasa hawaonekani lakini nao wamo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom