Uongo wa wanawake

Uongo wa wanawake

YNNAH she's an individual fimale!
She's a certain!
She's a particular!
She's specific!
Si mwanamke wa ku'beep , ni wa kupiga!
Amekamilika idara zote! Kuanzia veranda to bedroom.

Na ulivyokuwa unajishaua kushabikia ilihali mtoa maada kageneralize wanawake??
 
huyu Judgment huyu...kaanza kuwaponda wanawake

alivotajiwa ynnah tu wee kamteteaje....Halafu mbona nimekumiss

sana pacha ake wii wangu

H.O.E kwanza ulistahili Ban atlist ya 3 days !
Hiyo ni penalt ya kumenshen YNNAH name bila kuli-bold!
Nway kosa la kwanza unasamehewa bure!
Btw mi sijamipondeni , nimesubmit maono yangu!
Nitawapondaje na nyie ndy utulivu wetu?
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe, shauri zako;
Mie mwenzio hata nikiachika huwa nabaki nayo moyoni,
Hata waume zangu hubaki nayo moyoni,
na siku tukikutana loooh, ni full shangwa.

hapa ngoja Mamndenyi aje atoe uzoefu maana ameshaachika mara kibao na wanaume tfautitofauti, mie ndio kwaanza hata wazo la kuachika sina!
 
Jibu swali!

Alafu wewe mtu nakutafutaje tangu usubui !
Hebu mambo ya maswali keep aside.
Avemaria mimi ni mshenga.
Kuna ndg yangu amekuangukia si polepole!
Pl'se nipe roadmap jimbo liko wazi tujipange?
 
Last edited by a moderator:
Alafu wewe mtu nakutafutaje tangu usubui !
Hebu mambo ya maswali keep aside.
Avemaria mimi ni mshenga.
Kuna ndg yangu amekuangukia si polepole!
Pl'se nipe roadmap jimbo liko wazi tujipange?

Huyo mtu I can't even imagine alivyo na akili za kushikiwa!
Anatafuta mshenga wakati mimi na yeye hatujakubaliana??
OMG!!!! He's so yesterday wallah

You can't be serious Mr. Judge
Utatumwaje na mtu wa namna hii??
Eiiisssh . . . . the only thing I can offer to him ni kumpa pole as ameniangukia na huu mwili wangu wa mifupa probably atakuwa ameumia. LOL

Having said all these, hahahaaaa ngoja kwanza nicheke.
Sasa wewe Judgement hapo ni mshenga kuwadi??? Oooopss!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom