skunk
Senior Member
- Aug 11, 2013
- 166
- 27
habari wakuu poleni na majukumu ya kila siku, mara nyingi mahusiano mapya wapenzi huwa sio halisi yaani kila mmoja hupenda kuficha zile tabia zake halisi yaani kila zuri lake (pretending) but kuna swala moja la wanawake kuwapamba wenza wao mpaka jamaa anajiona rijari peke yake ulimwenguni, tatizo ni pale mwanzo wa mapenzi wanawake hupenda kuwasifia wenza wao ooh! sweet umejaaliwa dushelele + na vilio vya uongo wakati wa mahaba basi jamaa ulimwengu wake, sasa basi wapenzi wakizoeana basi dushelele halisifiwi tena wala vilio vya mahaba hakuna tena, mbaya zaidi mapenzi yakikalibia na mwisho wanaanza kuutoa mapungufu mdushelele mara oh dear kula vizuri uongezeke either unene au urefu, mpaka mwisho wa siku wanaume wanabaki njia panda kuhusu maumbile yao kutokana tu maneno ya wenza wao