Uongo wa wanawake

Uongo wa wanawake

Avemaria najikuta nakosa usingizi,i hope nilichoota is reality
 
Last edited by a moderator:
Umeota nini?
I hope sio mapembe teh!!

Avemaria nimerudi tena, nimeona ulivyoshusha habari kufuatia our requiste.
Kurukaruka kwa maharage jikoni ndiyo kuiva kwake.
Shortly kafungue box lako la pm, hapa wanga na wachawi nishawaona.
 
Last edited by a moderator:
ukiona unasifiwa sana mwanzoni ujue anataka kukupiga kirungu utaskia baby nirushie kwenye m pesa elfu 50 nikanunue gauni nimeliona.....mara oooh...
 
Avemaria nimerudi tena, nimeona ulivyoshusha habari kufuatia our requiste.
Kurukaruka kwa maharage jikoni ndiyo kuiva kwake.
Shortly kafungue box lako la pm, hapa wanga na wachawi nishawaona.

Heheh wala usijifariji.
Haya ngoja nikufungulie sasa.
 

we acha tu shost
mambo ni mengi sana
nimetingwa muda wa kuingia huku
mchache sana!!mic u tooo!!
 
Back
Top Bottom