Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

Walisema one week
Sasa najiuliza one week ya tanesco ina siku ngapi
 
TANESCO wanatudanganya tu kua gesi ndo chanzo cha mgao huu na wakasema tarehe 15 mwezi huu ndo ingekua mwisho Mara tena tarehe 18. Kikubwa ni kwamba serikali hii ya ccm imeelekeza fedha nyingi kuhonga wapinzani ili isianguke madarakani na hivyo kushindwa kununua mafuta ya kuendeshea mitambo ya umeme.
Eti wanajusify mgao wa umeme kuwa wanaunganisha na mitambo ya gesi, hawa jamaa wametufanya wajinga sana. Jamani ukweli ni kwamba kuna mgao wa umeme; hakuna uunganishwaji wowote kwenye bombo la gas. My fellow Tanzanians; wake up...,
 
Inashangaza na inaudhi. Alhamisi iliyopita Simbachawene alinukuliwa akisema ikifika weekend tatizo la umeme litakuwa historia. Iweje sasa Mramba anakuja na hadithi nyingine? Tutumie kichinjio tarehe 25 October kuwaadhibu hawa. Hawsako makini.
 
Dawa Yao ni October 25 tunachinja tanesco,sisiemu na serikali yake.
 
Tanesco walishtangaza tena waliwaalika vyombo vyote habari, sema walirusha kwenye taarifa ya habari na hawakurudia habari muhimu kama hiyo inayomuhusu kila mtu.

Tanesco wamesema wapo katika kabadili mitambo ya zzamani inayotumia diesel kuifanya iwe inatumia Gas amabayo imeshafika Dar kwa bomba jipya lililowekwa na wamesha badilisha mtambo mmoja na kila mara (wametoa na tarehe) wataendelea kubadili mpaka tarehe 28 September. Hiyo ndiyo tarehe waliyotoa kuwa mitambo ya zamani itakuwa yote imeshabadilishwa kama halitatokea tatizo lolote.

Mitambo mipya ya Kinyerezi itaanza kuwashwa kidogo kidogo mpaka itakapoonekana kila kitu kipo sawa.

Ni mambo ya kiufundi tu.

Kwa uzoefu wangu wa jinsi Watanzania wanavyofanya kazi, chukulia kuwa ni miezi miwili mpaka mitatu ijayo mambo ni hovyo hovyo tu pengine iwe katika uhai wako wote.

Tanzania tunahitaji wazoefu na wataalam kutoka nje kutuendeshea kampuni hizi kubwa. Wenyewe bado tu wajinga sana.
Vipi hapo CCM inahusika au haihusiki? Maana uwa upo mstari wa mbele kuishabikia CCM huku ukijua kabisa kuna mambo ya hovyo kama haya wanayoyafanya.
 
TANESCO wanatudanganya tu kua gesi ndo chanzo cha mgao huu na wakasema tarehe 15 mwezi huu ndo ingekua mwisho Mara tena tarehe 18. Kikubwa ni kwamba serikali hii ya ccm imeelekeza fedha nyingi kuhonga wapinzani ili isianguke madarakani na hivyo kushindwa kununua mafuta ya kuendeshea mitambo ya umeme.

Mwanza imefika mahali sasa tumeshazoea huo mgao wala hatufikirii tena. Umeme ukishinda siku nzima inakua kama maajabu.
 
Tanesco walishtangaza tena waliwaalika vyombo vyote habari, sema walirusha kwenye taarifa ya habari na hawakurudia habari muhimu kama hiyo inayomuhusu kila mtu.

Tanesco wamesema wapo katika kabadili mitambo ya zzamani inayotumia diesel kuifanya iwe inatumia Gas amabayo imeshafika Dar kwa bomba jipya lililowekwa na wamesha badilisha mtambo mmoja na kila mara (wametoa na tarehe) wataendelea kubadili mpaka tarehe 28 September. Hiyo ndiyo tarehe waliyotoa kuwa mitambo ya zamani itakuwa yote imeshabadilishwa kama halitatokea tatizo lolote.

Mitambo mipya ya Kinyerezi itaanza kuwashwa kidogo kidogo mpaka itakapoonekana kila kitu kipo sawa.

Ni mambo ya kiufundi tu.

Kwa uzoefu wangu wa jinsi Watanzania wanavyofanya kazi, chukulia kuwa ni miezi miwili mpaka mitatu ijayo mambo ni hovyo hovyo tu pengine iwe katika uhai wako wote.

Tanzania tunahitaji wazoefu na wataalam kutoka nje kutuendeshea kampuni hizi kubwa. Wenyewe bado tu wajinga sana.

Mbona waziri alisema mgao mwisho ni tarehe 18 mwezi huu au alitudanganya???
 
Polepole wewe mwenyewe utamkubal LOWASA
 
Huu hauitwi mgawo...ni tuition kwa watoto wetu ili kujua vyema kile kibwagizo cha ''huooooooooo'' ukisharudishwa jioni...natoa hoja!
 
TANESCO wanatufanya sie malofa..Wanataka tuwe mafukara milele.Octoba 25 tuwaonyeshe ulofa wetu.
 
Uzembe uko kwa chama kilichounda serikali. Ukikiondoa hicho na kuweka kitakacho unda serikali madhubuti itakayo dhibiti shirika tatizo limekwisha kabisa
 
Dah umeme ulikatika tangu jana asubuhi hadi muda huu haujarudi.

Wiki yenu moja mliyotangaza si imeshaisha? Turudishieni umeme.

Waziri mwenye dhamana tena mwanasheria anaye heshimika anashindwa kulinda kauli zake?(he does not keep hi words)
 
Inasikitisha sana kuona watanzania wanakuwa misukule namna hii.

Kampuni ya umeme ilitangaza na sio hivyo ikaonyesha mpaka na siku inafungua mitambo ya gesi na kudai tatizo limeisha kuanzia Ijumaa.Leo hii wanakuja na mwisho wa mwezi kuna nini na why kipindi cha kampeni na sio kabla.

MUNGU SHUKA ONEKANA KWAHILI MATESO MNAYOTESA WATU WAKOSE KAZI WAKOSE MAHITAJI.MUNGU ATASHUKA,NASEMA NA AWAPIGE MOTO ULAO.
 
Mkuu mgao Ni mradi WA watu hautaisha labda gamba litoke ndiyo utaisha watu wanapiga mabilioni uswisi kwa mgao hii Ni biashara isiyo rasmi.
 
aSANTE SANA TANESCO

VIVA UKAWA

Mapwapwasa yapo yataipigia CCM
 
Kanywe sumu wewe au kama vipi hamia nchi jirani tuachie nchi yetu na amani yetu, sisi hatuhitaji maneno yenu hapa. HAPA NI KAZI TU MTAISOMA NAMBA MWAKA HUUU.
 
Back
Top Bottom