Hivi pamoja na hali ngumu ya UMEME nchini, bado watu wanashabikia CCM? Mbali na mambo mengine HII TU INATOSHELEZA KUWAMBIA CCM INATOSHA, KAENI BENCHI KWA MIAKA 5 nanyi muwe wapinzani watazamaji.
- Walitudanganya kwa kutuaminisha kuwa mgao wa Umeme utakuwa Historia baada ya mwezi wa Septemba, lakini mpaka sasa giza tupu.
- Walituambia El Nino inakuja ya kufa mtu, mvua zitanyesha kuanzia mwezi wa August watu wa mabondeni wahame, lakini leo ni Mwezi October hatuoni mafuriko ya mvua zaidi ya yale ya mikutano ya kampeni.
- Leo wanakuja na longo longo za umeme wa maji na mabwawa hayana maji kitu ambacho tulisha sahau.
Hivyo hata hizo ahadi za Magufuli za karibu kila wilaya kujengewa viwanda na barabara za lami ni muendelezo wa kutulisha upepo sisi wapumbavu na malofa ili tumchague tena.
SINA HAMU NA CCM.