Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
Tatizo la nchi hii ni kuwa hakuna anayewajibika na wananchi
Wapo wanaowajibika, na mwaka huu ndio wa kuwawajibisha, sio wengine ni ccm.
Tatizo la nchi hii ni kuwa hakuna anayewajibika na wananchi
Kwanini Mkurugenzi mkuu aliongea jumatatu ilopita kuwa zoezi lingechukua siku 7 tu ambapo j.3 hii ndo ilikua siku ya 7 na mgao bado unaendelea?Tanesco kwenye taarifa ya habari ya chanell leo waseme mgao wa umeme utamalizika rasmi ijumaa baada ya kumalizika kwa zoezi la kuunganisha bomba la gesi .
Waliozea kuishi kwa uwongo hawawezi kuishi kwa ukweli ngoja tuone .