Bin Mngereza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 610
- 269
Kurasini Highway tangu juzi tunalala gizani.Temeke Sudan jana kutwa mpaka saa hii hakuna umeme.
Katika baadhi ya maeneo Dar es Salaam umeme unakatwa asubuhi na kurudishwa jioni, Tanesco muwe na kawaida ya kutujulisha wateja wenu juu ya kinachoendelea vinginevyo kila mtu atakuja na lake.

TANESCO wanatudanganya tu kua gesi ndo chanzo cha mgao huu na wakasema tarehe 15 mwezi huu ndo ingekua mwisho Mara tena tarehe 18. Kikubwa ni kwamba serikali hii ya ccm imeelekeza fedha nyingi kuhonga wapinzani ili isianguke madarakani na hivyo kushindwa kununua mafuta ya kuendeshea mitambo ya umeme.
Tanesco walishtangaza tena waliwaalika vyombo vyote habari, sema walirusha kwenye taarifa ya habari na hawakurudia habari muhimu kama hiyo inayomuhusu kila mtu.
Tanesco wamesema wapo katika kabadili mitambo ya zzamani inayotumia diesel kuifanya iwe inatumia Gas amabayo imeshafika Dar kwa bomba jipya lililowekwa na wamesha badilisha mtambo mmoja na kila mara (wametoa na tarehe) wataendelea kubadili mpaka tarehe 28 September. Hiyo ndiyo tarehe waliyotoa kuwa mitambo ya zamani itakuwa yote imeshabadilishwa kama halitatokea tatizo lolote.
Mitambo mipya ya Kinyerezi itaanza kuwashwa kidogo kidogo mpaka itakapoonekana kila kitu kipo sawa.
Ni mambo ya kiufundi tu.
Kwa uzoefu wangu wa jinsi Watanzania wanavyofanya kazi, chukulia kuwa ni miezi miwili mpaka mitatu ijayo mambo ni hovyo hovyo tu pengine iwe katika uhai wako wote.
Tanzania tunahitaji wazoefu na wataalam kutoka nje kutuendeshea kampuni hizi kubwa. Wenyewe bado tu wajinga sana.