Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

Washamba sana Tanesco ngoja Ukawa wachukue nchi tutaleta makampuni ka ya simu ili ushindan uwepo mana wanajisahau sana
 
akchware hili shirika ne letu kama ulikua huna taarifa na ndio maana hela yote ya kampeni sisi hutoa huku kama dividend, kumbkuka richmond, dowans na hii ya juzi escrow zote ni zetu!
mbele kwa mbele!
 
ccm wao umeme ukikatika haiwahusu maana wana ccm shughuli zao azitegemei umeme maana wengi wao ni watu wa kushinda vibarazani na kunywa gahawa ndo mana mambo kama ya umeme wala hawayajali. wao wamekazania hapa kazi tuu... aiseee
 
No one cares
Tanesco mbele kwa mbele. .mana wanapata kiburi toka serikalin..
 
Shule yako haijakusaidia, rudi tena darasani

Kwani amekuambia amesoma? Umejuaje kama Ana elimu au la? Unajua ukiwa ccm si kussuport kila kitu, sasa huu mgao unachosupport ni nn? Wakati unakuta wazazi wako wanategemea huu kuendesha maisha, Ngoja uchaguzi uishe izo buku Saba za lumunba zikate ndo utajua maana halisi ya maisha, wahed mkubwa wewe
 
Na bado kuna watu wataipigia kura CCM.....
Kiukweli Watanzania tusifanye kosa kuiacha CCM madarakani tutakomeshwa
 
Watumiaji wa umeme wote nchini muikatae CCM wanawadanganya kuwa mwisho wa mgawo ni 14 Septemba, 2015. Tumechoka, Tumechoka na udhalimu huu.
 
Habari zenu great thinkers wote, mimi natatizwa sana na hali ya umeme iliyopo sasa kwa jiji la dsm sehemu nyingine sijui.
Almost kila siku umeme unakatika asubuhi na kurudi kati ya saa 12 hadi moja usiku.
Kwa maisha ya watanzania wengi hasa wanaoishi mjini umeme ndio chanzo kikuu cha mapato ya mtu. Wengi wamejikita kwenye vibiashra/vishughuli vinavyohitaji umeme ili kujipatia kipato.
Halii hii imekuwa tete mno kiasi kwamba hata ule uwezo wa kuishi chini ya dola moja umezidi kupungua.

Naomba kama kuna wahusika humu wanisaidie kujibu maswali haya;
Tatizo hili litaisha lini?
Kuwepo kwa gesi kumeongeza au kupunguza nini kwenye mfumo wa umeme wa Taifa?
Je na hili nalo ni siasa?
Kwa nini Tanesco hawatangazi kuwa ni janga?

ASANTENI
 
kuongezeka kwa uzaliahaji peke yake hakuwezi kumaliza tatizo la umeme. Kuongezela kwa uzalishaji unatakiwa kuendana na njia ya kusafirishia umeme. Kwa miaka mingi hakuna ukarabati wa miundo.mbinu ya kusafirishia umeme. Kwahiyo hili tatizo halitaishi hivi karibuni.
 
Habari zenu great thinkers wote, mimi natatizwa sana na hali ya umeme iliyopo sasa kwa jiji la dsm sehemu nyingine sijui.
Almost kila siku umeme unakatika asubuhi na kurudi kati ya saa 12 hadi moja usiku.
Kwa maisha ya watanzania wengi hasa wanaoishi mjini umeme ndio chanzo kikuu cha mapato ya mtu. Wengi wamejikita kwenye vibiashra/vishughuli vinavyohitaji umeme ili kujipatia kipato.
Halii hii imekuwa tete mno kiasi kwamba hata ule uwezo wa kuishi chini ya dola moja umezidi kupungua.

Naomba kama kuna wahusika humu wanisaidie kujibu maswali haya;
Tatizo hili litaisha lini?
Kuwepo kwa gesi kumeongeza au kupunguza nini kwenye mfumo wa umeme wa Taifa?
Je na hili nalo ni siasa?
Kwa nini Tanesco hawatangazi kuwa ni janga?

ASANTENI

Tanesco wanafilisikaje kampuni kubwa hivi. Mimi nataka niingie kwenye light manufacturing lakini hawa jamaa wanakatisha tamaa. Ili kuwapotezea mapato zaidi nitafunga generator kubwa inayotumia Biodiesel kuwaka yani Unazalisha na diesel yako kutumia mimea na mafuta ya mboga machafu hapo hapo maana hawa Tanesco wanaharibu kila kitu.
 
Back
Top Bottom