Neno Kima Lina Maana Zaidi Ya Moja Yaani Ukomo,mnyama Na Nyama Iliyokaangwa
lakin mkuu mbna kwenye mshahara wanataja kima cha chini??
Sasa kwan Maji yameongezeka Mtera?
tatizo lilikuwa maji?
wamekataaa..
Mkuu tusemeje wakati miezi mitatu sasa hatuna umeme.tatizo lilikuwa maji?
Tatizo sio maji walizima mitambo ili kufanya majaribio ya kutumia gesi katika uzalishaji wa umeme badala ya kutumia mafuta kama ilivyokuwa. Siku saba zimepita hola bado giza na hakuna taarifa zozote kwa wananchi