Uongo mgumu kuutetea, Tundu Lissu, CHADEMA na CCM wanahaha!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,413
8,913
Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee kudanganya mwishoe ukweli utajitenga tu.

Haya sasa hivi wana power yote, vyombo vyote vya Ulinzi na usalama wanavi-command, kwa nini hawaanzishi uchunguzi yakinifu wa lililotokea kwani hakuna jambo ambalo lingemchafua na kumuondolea Magufuli umaarufu kwa wananchi kama hilo sasa kwanini wanazunguka huku na kule kwa nini wasiseme waliopmpiga Tundu Lisu risasi kwa ushaidi live na kuchukuwa hatua?

Uongo ni dhambi na ni mgumu kuutetea, …
 
Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee kudanganya mwishoe ukweli utajitenga tu.

Haya sasa hivi wana power yote, vyombo vyote vya Ulinzi na usalama wanavi-command, kwa nini hawaanzishi uchunguzi yakinifu wa lililotokea kwani hakuna jambo ambalo lingemchafua na kumuondolea Magufuli umaarufu kwa wananchi kama hilo sasa kwa nini wanazunguka huku na kule kwa nini wasiseme waliopmpiga Tundu Lisu risasi kwa ushaidi live na kuchukuwa hatua?

Uongo ni dhambi na ni mgumu kuutetea, …
Msaliti wa taifa.

Tutashitakiwa MIGA
 
Lisu anajua walimtwanga ndio maana hata baada ya kifo Cha jpm na kulipwa pesa za kuja bongo kuanzia maisha hawezi kuja

USSR
 
Mkuu,

Walikimbia nchi kwa sababu ya Magufuli; mwaka wa pili sasa tangu afariki ila hawajarudi.

Walipiga kelele Magufuli ni dikteta kwa kuwa aliwazuia kufanya mikitano ya kisiasa nje ya maeneo waliyoshinda; mwaka wa pili sasa tangu afariki, mikutano ya kisiasa haijaruhusiwa na hatusikii kelele za serikali ya kidikteta, n.k.

Hii nchi hatuna chama cha upinzani cha kizalendo, tuna magenge ya wapigaji tu. Ni mara 1,000 tuendelee kutawaliwa na CCM.
 
Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee kudanganya mwishoe ukweli utajitenga tu.

Haya sasa hivi wana power yote, vyombo vyote vya Ulinzi na usalama wanavi-command, kwa nini hawaanzishi uchunguzi yakinifu wa lililotokea kwani hakuna jambo ambalo lingemchafua na kumuondolea Magufuli umaarufu kwa wananchi kama hilo sasa kwa nini wanazunguka huku na kule kwa nini wasiseme waliopmpiga Tundu Lisu risasi kwa ushaidi live na kuchukuwa hatua?

Uongo ni dhambi na ni mgumu kuutetea, …
Kweli kabisa we jamaa umeona mbali. Huenda ile ilikuwa inside mission
 
Kudo!

Mimi huwa najiuliza sana,hivi enzi zile kina Nyerere wakitafuta UHURU wa nchi hii.

Na kama wangekuwepo watu wanasiasa kariba ya Tundu Lissu!

Ingewezekana UHURU kupatikana kweli?
 
Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee kudanganya mwishoe ukweli utajitenga tu.

Haya sasa hivi wana power yote, vyombo vyote vya Ulinzi na usalama wanavi-command, kwa nini hawaanzishi uchunguzi yakinifu wa lililotokea kwani hakuna jambo ambalo lingemchafua na kumuondolea Magufuli umaarufu kwa wananchi kama hilo sasa kwa nini wanazunguka huku na kule kwa nini wasiseme waliopmpiga Tundu Lisu risasi kwa ushaidi live na kuchukuwa hatua?

Uongo ni dhambi na ni mgumu kuutetea, …

,
Tundu mwenyewe ajatoa ushirikiano, alishaitwa Sana kwenda kuandika maelezo ajaenda

Sasa unatakaje?

Nenda kamwandikie ww basi
 
AAngekufa je jinai ile isingepelelezwa? Haya mmeambiwa mtajeni aliyetoa cctv na aliyeondoa walinzi hapo ndio pakuanzia uchunguzi wala sio kwà TAL acheni kujizima data uchunguzi wa kumhoji lissu hauna mashiko maana alishamtaja kipilimba na siro sasa mnataka lissu afanye nini? Iambieni Dunia nani aliondoa walinzi je chadema wanauwezo wa kupanga zamu za ulinzi wa majeshi yetu? Au cctv camera chadema wanaouwezo wa kuiondoa kweli kwenye makazi ya viongozi? Acheni ufala!
,
Tundu mwenyewe ajatoa ushirikiano, alishaitwa Sana kwenda kuandika maelezo ajaenda

Sasa unatakaje?

Nenda kamwandikie ww basi
 
Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee kudanganya mwishoe ukweli utajitenga tu.

Haya sasa hivi wana power yote, vyombo vyote vya Ulinzi na usalama wanavi-command, kwa nini hawaanzishi uchunguzi yakinifu wa lililotokea kwani hakuna jambo ambalo lingemchafua na kumuondolea Magufuli umaarufu kwa wananchi kama hilo sasa kwa nini wanazunguka huku na kule kwa nini wasiseme waliopmpiga Tundu Lisu risasi kwa ushaidi live na kuchukuwa hatua?

Uongo ni dhambi na ni mgumu kuutetea, …
kwani inashindikana nini kwa polisi au serikali kufanya uchunguzi ukweli ukajulikana ili uongo ujitenge?
 
Tundu Lisu is a walking/living miracle. Kupona baada ya kupigwa risasi zote zile, hakika ni muujiza wa Mwenyezi Mungu.

Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Lakini ninaumia na kusikitika sana pale baadhi ya watu wanaojitoa ufahamu kwa kujaribu kuihusisha Chadema na jaribio la mauaji ya Lisu. Kuweni makini, Mtajiletea laana kwenu na vizazi vyenu. Ni heri kama huna la kusema ukanyamaza tu.
 
Back
Top Bottom