Uongezeko la ma tom boy Dar nini kifanyike?

Uongezeko la ma tom boy Dar nini kifanyike?

Mdogo ake Juliana Shonza alikamatwa Mwanza akimvisha pete ya uchumba mwanamke mwenzake.

Wanaume wa Mwanza walikua wapi?
Hapa nakazia tena yule alikuwa anawapora kabisa wanaume wanawake wao,ngoja waje watu wa geita,Mwanza watueleze walikua wapi?
 
Tabia kaianzia wapi
Alikuwa anakaa Bweni, na si unajua Bweni hakuna wanaume wa kumpa anachotaka, Sasa kamaliza Shule kaenda Dar Bado ni kama yupo Bweni maana haoni kabsa, ikabidi akazane kujipa raha, Africa HAMBLE tuseme huyu binti ni mzoefu sana na peponi au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
A tomboy is a girl who exhibits characteristics or behaviors considered typical of a boy, including wearing masculine clothing and engaging in games and activities that are physical in nature and are considered in many cultures to be unfeminine or the domain of boys.
 
tofauti yao ni ipi?

JIBU LAKE NI HILI APA

A tomboy is a girl who exhibits characteristics or behaviors considered typical of a boy, including wearing masculine clothing and engaging in games and activities that are physical in nature and are considered in many cultures to be unfeminine or the domain of boys.
 
Ila ma tomboy wanachekeshaga wanavyo jitahidi kukaza sauti na kujiweka kiume kweli ze strago izi rili [emoji119][emoji119]kwa hawa watu.
 
kuna kimoja nilikiona ilala wamawake wana kipigania. sijui lina fanyaje
 
Kuna mmoja niliwahi date naye ingawa nilitumia resources nyingi kumtia mikononi mwangu lakini ili kumteka kabisa nikaanza kumzoesha kumpiga Goti, saivi ameacha kabisa utom-boy wake huko aliko na anatafuta mume wa kumwoa.
 
ikiwezekama wakamatwe hata baadhi wapelekewe masela kule keko au segerea japo kwa usiku mmoja kisha warudishwe mtaani, wakiendelea na huo upuuzi mi nahama
 
ikiwezekama wakamatwe hata baadhi wapelekewe masela kule keko au segerea japo kwa usiku mmoja kisha warudishwe mtaani, wakiendelea na huo upuuzi mi nahama
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Nakuunga mkono hata kam haujakatika
 
Alikuwa anakaa Bweni, na si unajua Bweni hakuna wanaume wa kumpa anachotaka, Sasa kamaliza Shule kaenda Dar Bado ni kama yupo Bweni maana haoni kabsa, ikabidi akazane kujipa raha, Africa HAMBLE tuseme huyu binti ni mzoefu sana na peponi au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko bweni wanaume walikua wapi?
 
Unajua siku zote kabla ya kutatua tatizo ni vizuri kujua chanzo cha tatizo ni nini? ili ukisha kulitatua hilo tatizo lisije kujirudia tena,
JE nini root cause ya hao ma tom boy?
Kipi hasa kilichowashawishi kuingia kwenye michezo hiyo?
Nadhani mjadala uanzie hapa ili tuje na solution.
 
Back
Top Bottom