Uongezeko la ma tom boy Dar nini kifanyike?

Uongezeko la ma tom boy Dar nini kifanyike?

Mademu siku hizi hawakazwi vizuri ndio maana ma tom boy wako shazi
 
Tatizo huko dar mnawapapasa tu hao wamawake' wapigeni shoo za kibabe wataacha tu huo mchezo wao.
 
ikiwezekama wakamatwe hata baadhi wapelekewe masela kule keko au segerea japo kwa usiku mmoja kisha warudishwe mtaani, wakiendelea na huo upuuzi mi nahama
Hahahahaha...mkuu unataka kuua
 
Unaweza kuwa unafanya kitu ambacho si kinyume cha sheria lakini ikawa kikwazo kwa jamii inayokuzunguka...mfano..kuimba mtu hazuiwi...upo kwenye daladala abiria wametulia alafu ukaanza kuimba kwa nguvu..offcourse haujavunja sheria lakini unakuwa unaleta bughudha kwa abiria...
Umesema kweli apeface.
 
wewe ni nani aliyekupa uwezo wa kuhukumu?au una phobia dhidi yao?hawa ni watu kama sisi na wana haki yao kuamua kama wanataka kuwa gays,lesbians etc etc,acha chuki hizo.inaonekana wewe ni mmoja wa wanaowaona wanawake wamevaa nguo walizoamua kuzivaa na akafikiria they asking for a sex.
 
Kuna mmoja mtaani huku alikuwa anajifanya tom boy vijana watiifu na tomaso wakawa wanamlia mingo akaingia mtegoni wakamtia mimba sasa hivi ana mtoto na utom boy ukamuisha kabisa
 
Namyabi nikiwaona tom boy napagawa. Ni watamu hatari. Kuna mmoja nilimgegeda akaniganda nikamgegwda demu wake. Akaja na demu wake wakanipiga kinoma nikakimbia
 
Dar imekumbwa na wanawake wasagaji maarufu tom boy..juzi pale Mikasa pub Tabata wamefanya birthday kubwa sana.

Sasa swali linakuja nini kifanyike kuwaondoa?

Usiwe unaandika usichokijua, hivi tomboy ni Wanawake wanaosagana?
 
Unaweza kuwa unafanya kitu ambacho si kinyume cha sheria lakini ikawa kikwazo kwa jamii inayokuzunguka...mfano..kuimba mtu hazuiwi...upo kwenye daladala abiria wametulia alafu ukaanza kuimba kwa nguvu..offcourse haujavunja sheria lakini unakuwa unaleta bughudha kwa abiria...
Who taught you that nonsense! Usiongelee sheria kama hujaisoma! Your proposition falls in both torts and criminal offense!

Hayo matendo yamekatazwa na shera. Unaweza kushtakiwa kwa torts (sijui Kiswahili chake) au kwa jinai.
 
Wanaume wa dar wameshindwa kuwapa haki yao, waache wafanye watakacho!
Ma tom asilimia kubwa ni wakuja kutoka Kilimanjaro na Arusha, wengi wamezalishwa hapa Dar, hawana tena uTom boy
 
Back
Top Bottom