Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,280
- 79,635
Mapenzi ya jinsia moja ni kinyume na sheria.Kila mtu anauhuru wa kufanya chochote kinachomfurahisha bora tuu kama havunji katiba ya nchi kama fulani
Yanaangukia kwenye bestiality na kifungo chake ni miaka 35 sasa jifanye kusema sheria inaruhusu siku yakikukumba tukuone kwenye TV.