adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 2,887
- 4,386
Ndiyo maana, huwa napenda kuandika kuwa inahitaji hekima na elimu kuhusu mambo mengi sana.
Hii itasaidia ili kabla hatujaomba au hatujapinga jambo, tuhakikishe kuwa tunaelewa faida na hasara na kupima pande zote mbili.
Sasa tena naona wananza kuhamisha magoli kwa kusema kuwa hawakukataa TCU kudahili wanafunzi, bali walihitaji TCU isiwapangie kozi tofauti na walizoomba.
Hii nalo, ukiliangalia vizuri pana kozi daima wanadahili wanafunzi wachache kwa sababu ya aina ya kozi na ufundishwaji wake.
Hapo napo, watakuja na ngojela mpya kuwa walikuwa na point nzuri ila hawakudahili. Bila wao kuangalia kuwa kozi hiyo inadahili wanafunzi kiasi kwa kila intake moja.
Any way, afrika na Tanzania watu wengi ni vilalamishi na kuwafurahisha ni kazi ngumu sana.
Shida ni sisi wenyewe,wenyewe ndio matatizo kwa namna zote.Kuna vitu havihitaji hata kufanyiwa Research.Ni kufanya tu basi.Hatueleweki hata kidogo,hatuna taratibu kabisa.Angalia investment yote ya technolojia iliyofanyika TCU kwisha,kazi tunaenda mbele na kurudi nyuma.