Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Na vipi kama anachopitia Mbowe ni MALIPO ya UBAYA kutoka kwa Mungu ambao amekuwa akiwafanyia wengine??Hakika MBOWE Ameonewa sana ,Ameteswa sana,Amedhulumiwa sana na UTAWALA wa CCM na SERIKALI YAKE ya AWAMU HII ya 5
Na vipi kama anachopitia Mbowe ni MALIPO ya UBAYA kutoka kwa Mungu ambao amekuwa akiwafanyia wengine??
Punguza kuchanganya kiwingu kwenye mbege na KITIMOTOSisi tunaomba matokeo ya Hukumu ya Mungu hayatuhusu
Hakika Mbowe Ameonewa sana ,Ameteswa sana,Amedhulumiwa sana na UTAWALA wa CCM na SERIKALI YAKE ya AWAMU HII ya 5
Watanzania hatuko KIMYA Tumefunga kwa KUOMBA na KUSALI na KUMSHTAKIA MUNGU kwa UONEVU HUU.
Mkakati wa Kumwonea MBOWE uliripotiwa Toka Mwaka 2018 na LEO UMETIMIA.
Hakika IPO Siku MUNGU atajibu KILIO CHETU.
Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wamo Magerezani kwa KESI za KUSINGIZIWA wanaumia Wanateseka
VIONGOZI Wa CHADEMA Walipewa KESI na KULIPA Faini ya Mil.300 kwa MAKOSA ya POLISI ya Kumpiga Risasi AKWILINA ukweli UONEVU HUU umezidi
TUNDU LISSU alipigwa RISASI Mchana Kweupe Mpaka LEO hakuna KESI
TUNDU LISSU alipokonywa UBUNGE wake na Kunyimwa Haki zake na Aliyefanya hivyo Leo SIO SPIKA TENA Watawala Wapo KIMYA
LEO Mh MBOWE yupo MAHABUSU kwa KESI iliyosukwa Mwaka 2018
MUNGU ni MWEMA atasikia VILIO vya Watu Wake.View attachment 2126850
Kuna namna nyingi za kulipa madhambi uliyotenda hapa hapa duniani. Mwacheni Mbowe alipe madhambi yake;Hakika MBOWE Ameonewa sana ,Ameteswa sana,Amedhulumiwa sana na UTAWALA wa CCM na SERIKALI YAKE ya AWAMU HII ya 5
Watanzania hatuko KIMYA Tumefunga kwa KUOMBA na KUSALI na KUMSHTAKIA MUNGU kwa UONEVU HUU.
Mkakati wa Kumwonea MBOWE uliripotiwa Toka Mwaka 2018 na LEO UMETIMIA.
Hakika IPO Siku MUNGU atajibu KILIO CHETU.
Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wamo Magerezani kwa KESI za KUSINGIZIWA wanaumia Wanateseka
VIONGOZI Wa CHADEMA Walipewa KESI na KULIPA Faini ya Mil.300 kwa MAKOSA ya POLISI ya Kumpiga Risasi AKWILINA ukweli UONEVU HUU umezidi
TUNDU LISSU alipigwa RISASI Mchana Kweupe Mpaka LEO hakuna KESI
TUNDU LISSU alipokonywa UBUNGE wake na Kunyimwa Haki zake na Aliyefanya hivyo Leo SIO SPIKA TENA Watawala Wapo KIMYA
LEO Mh MBOWE yupo MAHABUSU kwa KESI iliyosukwa Mwaka 2018
MUNGU ni MWEMA atasikia VILIO vya Watu Wake.View attachment 2126850
Ugaidi wake nini !?Mbowe ni gaidi
Punguza kuchanganya kiwingu kwenye mbege na KITIMOTO
Mbowe hawezi kupanga ujinga hivyo, anaonewa sababu ya misimamo yakeLinapokuja suala linalomhusu mwanadamu huwa naweka akiba ya maneno.........
Kama kweli MBOWE alipanga njama hizo Mungu amshushie adhabu iliyo kuu......
Kama ni khila za kibinadamu dhidi yake basi Mungu ataonyesha utukufu wake dhidi ya watesi wake......
......,................AMEN......................
Kuna namna nyingi za kulipa madhambi uliyotenda hapa hapa duniani. Mwacheni Mbowe alipe madhambi yake;
1. Kunyanga'anya uongozi kutoka kwa Bob Makani mwaka 2003 na kupelekea akina Paul Kyara na Mchatta kujutenga nankuanzisha chama cha SAU
Kuuawa kimazingira yasiyoeleweka kwa Chacha Wangwe aliyetaka kugombea UWENYEKITI kwenye mwaka 2007 pale PandaMbili karibu na Kibaigwa
Gaidi hilo acha kifungwe, alifurahi mnooo kifo cha mtu wetu Dkt MagufuliHakika Mbowe Ameonewa sana ,Ameteswa sana,Amedhulumiwa sana na UTAWALA wa CCM na SERIKALI YAKE ya AWAMU HII ya 5
Watanzania hatuko KIMYA Tumefunga kwa KUOMBA na KUSALI na KUMSHTAKIA MUNGU kwa UONEVU HUU.
Mkakati wa Kumwonea MBOWE uliripotiwa Toka Mwaka 2018 na LEO UMETIMIA.
Hakika IPO Siku MUNGU atajibu KILIO CHETU.
Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wamo Magerezani kwa KESI za KUSINGIZIWA wanaumia Wanateseka
VIONGOZI Wa CHADEMA Walipewa KESI na KULIPA Faini ya Mil.300 kwa MAKOSA ya POLISI ya Kumpiga Risasi AKWILINA ukweli UONEVU HUU umezidi
TUNDU LISSU alipigwa RISASI Mchana Kweupe Mpaka LEO hakuna KESI
TUNDU LISSU alipokonywa UBUNGE wake na Kunyimwa Haki zake na Aliyefanya hivyo Leo SIO SPIKA TENA Watawala Wapo KIMYA
LEO Mh MBOWE yupo MAHABUSU kwa KESI iliyosukwa Mwaka 2018
MUNGU ni MWEMA atasikia VILIO vya Watu Wake.View attachment 2126850
Na Mungu atalipa kwa kadri ya dhamira ya moyo wake.......Mbowe hawezi kupanga ujinga hivyo, anaonewa sababu ya misimamo yake
Ni mwendelezo wa UKATILI na ukandamizaji wenu kijani kupitia mawakala wenu, uliyoanza kitambo na kuimarika sana wakati wa Babeli Mkuu.Na vipi kama anachopitia Mbowe ni MALIPO ya UBAYA kutoka kwa Mungu ambao amekuwa akiwafanyia wengine??
Mungu atalipa yote anayofanyiwa mh mbowe inasikitisha sanaHakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5
Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa uonevu huu.
Mkakati wa kumwonea Mbowe uliripotiwa toka mwaka 2018 na leo umetimia.
Hakika ipo siku mungu atajibu kilio chetu.
Wanachama na wafuasi wa chadema wamo magerezani kwa kesi za kusingiziwa wanaumia wanateseka
Viongozi wa Chadema walipewa kesi na kulipa faini ya mil.300 kwa makosa ya polisi ya kumpiga risasi Akwilina ukweli uonevu huu umezidi
Tundu lissu alipigwa risasi mchana kweupe mpaka leo hakuna kesi
Tundu Lissu alipokonywa ubunge wake na kunyimwa haki zake na aliyefanya hivyo leo sio spika tena watawala wapo kimya
Leo Mh Mbowe yupo mahabusu kwa kesi iliyosukwa mwaka 2018
Mungu ni mwema atasikia vilio vya watu wake.
View attachment 2126850
Akitaja uni-tag mkuuUgaidi wake nini !?
Taja hata moja