kiroba
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 324
- 114
Kasome history mkuu. Nyerere hakupinga bali aliupinga muundo wake. Na wazo la kuunganisha Africa lilitolewa na Jomo Kenyatta. Wakuu jaribuni kuwa na tabia za kusoma makala, msiishie kusoma udaku na vikatuni tu. Hapa wengi watachemka kwa kutokujua historia ya bara letu!Wote wamefanya mengi kusaidia kimataifa,JKN amefanya mazuri pia ndani,lakini kimataifa kura yangu napeleka kwa Kwame Nkurumah kutokana na falsafa ya afrika kuwa moja,jeshi moja na fedha moja,Jambo lililopingwa na JKN