Shwari na Jasusi,
Asanteni kwa somo!!
Sijui ile kampeni ya TYL ya kuzuia michubuo ya akina dada zetu iliisha lini???? Duh................ Hii kitu ilinipa wakati mgumu kupata mke Tanzania.............. maana kila mahali nikuwa nakutana na mikorogo. Samahani kama kuna watu
nimewakwaza hapa!!
Campaign hiyo ilianza officially miezi ya mwisho, 1968, nadhani October, na iliendelea mpaka karibu mwaka wote, 1969.
Kulikuwa na vijana walioendelea kuwanyanyasa wasichana hata mwaka uliofuata, 1970, lakini kwa ujumla, walikuwa wametualia kuanzia mwaka huo. Nilikuwa natembelea sehemu nyingi za Dar es salaam, na kupanda basi, nilipokuwa mwanafunzi nyakati hizo na sikuona mengi mwaka 1970 kama yale niliyoshuhudia 1969.
Lakini bado kulikuwa na remnants of cultural vigilantism kwa sababu kulikuwa na vijana ambao bado hawakuridhika kwamba wametimiza lengo lao.
Ndio mnavyodanganyana? Na Nyerere alivyotengana na mama Maria, mnasema Mzee alikuwa busy na mapambano ya uhuru. Viongozi wenu walikuwa na matatizo tu.