Uoga wa Zitto Kabwe kwa Tulia Ackson

Uoga wa Zitto Kabwe kwa Tulia Ackson

Zitto Kabwe anahofia Dk.Tulia Ackson kutumia mwanya wa kujua kwa undani sakata la TPDC na kuiokoa serikali na hoja ambazo Zitto Kabwe anategemea kuziibua na kuziendeleza.

Tujikite kwenye hii para tu, so kwa maneno yako kuibua uozo TPDC kumbe ni jinai? Usije kuwa ndiye Tulia mwenyewe au huyo Andilile
 
Sijui ni kwanini huyu binti wengi mnakuwa na hofu kwake.Ndiyo maana nasema hivi wana UKAWA wengi mna wivu na roho za kutu.Kwa umahiri wake wa kujieleza na kujenga hoja na pia jinsi alivyo presentable ndo vinawafanya Ukawa kuona nongwa!Malofa nyie,waache CCM wajifie,ya nini muwaonee huruma?
 
Wewe mleta mada pamoja na Zitto na wengine mna uhuru wa kuandika au kusema chochote mnachotofautiana lakini mwisho wa siku muafaka utafikiwa.
 
Sijui ni kwa nini huyu binti wengi mnakuwa na hofu kwake.Ndiyo maana nasema hv wana UKAWA wengi mna wivu na roho za kutu.Kwa umahiri wake wa kujieleza na kujenga hoja na pia jinsi alivyo presentable ndo vinawafanya Ukawa kuona nongwa!Malofa nyie,waache CCM wajifie,ya nini muwaonee huruma?

Sasa UKAWA inaingiaje hapa?
 
Chama ni lidude likubwa kukiangusha lazima kadude kadogo sana kiasi cha kujipenyeza kwenye moyo wa lidude hilo bila kushtukiwa.
 
kwangu mimi ZZK alipokubali kutumika katika report ya ESCROW ndipo nilipomtoa heshima yote....

mwanasiasa mbea huyu...... yeye yupo kwa maslahi ya JK na katumika kwel kwel na JK
 
Unajuwa sijapata kuona taifa linawatu wakike kwa wakiume wazee kwa vijana wenye mawazo yakijinga as ths nation. Mim nashanga sana Zito kaleta hoja nyinyi mnaleta mambo ya ndani na uozo wenu apa. Hili ni taifa tusipo simama ktk kuunga mkono hoja za watu walio na vision ipo siku tuta angamia kwa ujinga wa people like ths. Nachukia makaburu ndan ya ccm na upinzani. Zito amesema jambo la msing sana na niwachache wamemuelewa.
 
Ifikie mahali hivi vyama vikose nguvu, vyama vinakuwa na nguvu kuliko serikali. Practically serikali, japo ina raisi lakini inaonekana mwenyekiti wa chama na watu wake wana nguvu kuliko serikali iliyowekwa madarakani na wananchi.
 
Kutoka moyoni kabsa zzk kawa wa kawaida sn kwangu njaa imemharibu
 
The Tomorrow People

Zitto kajenga hoja yake based on separation of Power kati ya Bunge na serikali wewe unaleta hoja ya ndoa za watu?

Mambo mazito juu ya mustakabali wa taifa letu unataka kuyahamishia kwenye trivialities.Inakuwa matrimonial case?

Baadhi yetu watanzania sijui tukoje.

hili sio jambo geni kwa siasa za hapa nyumbani mifano ipo mingi ambapo siasa zetu zinahamishiwa mpaka vitandani mwa wahusika, nakumbuka tu ni kwa namna gani ukawa mli ishikia bango sana ndoa ya Dr. Slaa baada ya kuamua kuondoka huko. Hakuna jipya hapa wacha bishara iendelee.
 
Last edited by a moderator:
Hamna haya ya kuumiza kichwa kuhusu issue za Zitto.

Toka lini Zitto aliwekwa ndani kama wenzake akiwa CDM? Ukipata jibu hilo utajua Zitto ni nani katika nchi hii.
 
The Tomorrow People

Zitto kajenga hoja yake based on separation of Power kati ya Bunge na serikali wewe unaleta hoja ya ndoa za watu?

Mambo mazito juu ya mustakabali wa taifa letu unataka kuyahamishia kwenye trivialities.Inakuwa matrimonial case?

Baadhi yetu watanzania sijui tukoje.


Hivi bado un exist!!! born to be a looser!!
 
Back
Top Bottom