Uoga wa Zitto Kabwe kwa Tulia Ackson

Uoga wa Zitto Kabwe kwa Tulia Ackson

The Tomorrow People

U have brought about a very resourceful primary data.
If developed we may reach an amazing info on whats going on...
 
Last edited by a moderator:
Ifikie mahali hivi vyama vikose nguvu, vyama vinakuwa na nguvu kuliko serikali. Practically serikali, japo ina raisi lakini inaonekana mwenyekiti wa chama na watu wake wana nguvu kuliko serikali iliyowekwa madarakani na wananchi.

Then kuna mijitu inategemea Mabadiliko kwa Magufuli
 
Mkuu Ngongo kwenye usaliti inaweza kuwa kweli nivipi kwa Hoja yake khs huyo Naibu spika wa Magufuli
 
Last edited by a moderator:
Rais atafanya kazi yake tu hata wakijifanya kumhujumu, tunaelewa kwamba sahivi Tz tuna watu wanajiita watz lakini kimtizamo wao ni sawa na wazungu, hawaioni Tz kama nchi na ardhi walikozaliwa ..wanakaaa mda wote wanataka kuiumiza tu, na walaaniwe.

Hebu fafanua hii...
 
...kwani Zitto analinda maslahi ya nani kule bungeni? zaidi ya unafiki wake wa kun'gata na kupuliza?
Eti baadhi yenu mnamuona Zitto mpinzani?!

Badala yakumshambulia yeye Hebu soma vzr alichoandija kisha ujibu hoja yake manake kama ni madhaifu kila MTU anayo
 
The Tomorrow People

Zitto kajenga hoja yake based on separation of Power kati ya Bunge na serikali wewe unaleta hoja ya ndoa za watu?

Mambo mazito juu ya mustakabali wa taifa letu unataka kuyahamishia kwenye trivialities.Inakuwa matrimonial case?

Baadhi yetu watanzania sijui tukoje.
hakuna kitufe cha like hakika mleta hoja kaleta hoja iliyopo machoni pake bila kushirikisha ubongo wake! hii ni dharau kwa bunge letu ,wabunge na general public !
 
1. Sijawahi kumsikia Mkurugenzi Mkuu wa TPDC aitwaye Andilile Mwainyekule. Huyu aliongoza TPDC mwaka gani? Au ndiye aliyepo sasa?

2. Kama huyu dada anakwenda bungeni kuiokoa serikali na kumtetea mumewe, nina budi kuungana na Zitto kumkataa. Hatufai. Hatutaki watu wanaokuwa installed kwenye hizi nafasi kwa malengo binafsi. Tunataka watu wanao earn hizi nafasi kwa uwezo wao na bila kubebwa.
Full name ni : James Andilile Mwainyekule; for more information just google
 
The Tomorrow People

Zitto kajenga hoja yake based on separation of Power kati ya Bunge na serikali wewe unaleta hoja ya ndoa za watu?

Mambo mazito juu ya mustakabali wa taifa letu unataka kuyahamishia kwenye trivialities.Inakuwa matrimonial case?

Baadhi yetu watanzania sijui tukoje.

"Miafrika Ndivyo Tulivyo"-Nyani Ngabu wa JF
 
The Tomorrow People

Zitto kajenga hoja yake based on separation of Power kati ya Bunge na serikali wewe unaleta hoja ya ndoa za watu?

Mambo mazito juu ya mustakabali wa taifa letu unataka kuyahamishia kwenye trivialities.Inakuwa matrimonial case?

Baadhi yetu watanzania sijui tukoje.
Mlalamikiwa analeta na kumweka hakimu kwenye kesi yake halafu walalamikaji wanaona sawa tuu. Wanasubiri hakimu akimpendelea mlalamikiwa ndio waanze kulalamika.
Kama wabunge hawa ni wazalendo kweli wanapaswa kumkataa Naibu huyu aliyeletwa na seikali na kumchagua wa kwao
 
Last edited by a moderator:
Wakristo Vs Kigango cha BAKWATA .. Mpaka sasa Wakristo 5 Bakwata 0
Jamii ya wanazuoni imekuwa ikijiuliza ni kwanini mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe anampiga vita mgombea unaibu spika Dk.Tulia Ackson.

Wanahoji ni kwanini Zitto Kabwe anamhofia huyu mwanamama wakati ana vigezo vyote vinavyompa "credibility" ya kugombea.Imefikia hatua Zitto anamnadi Mussa Azzan ambaye ni mbunge wa Ccm na kusahau kuwa yeye ni mpinzani ndani na nje ya bunge.

Hapa ndipo dhana ya usaliti kwa Zitto Kabwe inapozidi kumea kwenye masikio ya watanzania.Zitto Kabwe hataki kukubali kuwa siasa ya bunge sio yake peke yake.

Mnakumbuka sakata la aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TPDC ambaye PAC ikiongozwa na Zitto Kabwe iliamuru akamatwe na kuwasilishwa polisi!?Tena kwa makosa ambayo PAC ilikuja kuangukia pua!!

Namzungumzia Andilile Mwainyekule.Huyu ni mume wa ndoa wa Dk.Tulia Ackson.Zitto Kabwe anauona ugumu wa yeye kuiyumbisha serikali kwa skendo za kupika kama kiti kitasimamiwa na Dk.Tulia Ackson.

Zitto Kabwe anahofia Dk.Tulia Ackson kutumia mwanya wa kujua kwa undani sakata la TPDC na kuiokoa serikali na hoja ambazo Zitto Kabwe anategemea kuziibua na kuziendeleza.

Suala hapa sio unaibu spika bali ni maslahi ya mifuko ya Zitto Kabwe na hatma ya maisha yake ya kisiasa.
 
Zitto siku zo5e amekuwa akijaribu kurejea sifa iliyopotea, Zitto ni bonge la Msaliti.
 
Tena aliudanga umma eti Reli ya kti Mchina kanyimwa tenda kagoma kutoa hla zk za mkopo wkujengea wanasiasa wtu wbaya sana
 
Back
Top Bottom