Cheo cha Naibu mwanasheria sheria raisi amekitengua sasa amechaguliwa kama mbunge pia amepitishwa na CCM kuwania nafasi ya unaibu spika.
Mwanahalisi liliwahi kuandika Kala pesa za Lowassa kuihujumu Chadema
Zitto ni mtu safi na uadilifu na uzalendo wake kwa taifa letu,hakika Hao mawakala wa ufisadi watadhibitiwa na Zitto na wapinzani bungeni
Cheap politics
Cheo cha Naibu mwanasheria sheria raisi amekitengua sasa amechaguliwa kama mbunge pia amepitishwa na CCM kuwania nafasi ya unaibu spika.
Huyu kaletwa Bungeni na Rais kwahivyo atafanya kazi kwa maelekezo ya Rais. Kwa hivyo Bunge halitokua huru.
Huyu ni Msaidizi mwana sharia ambaye ni CCM.
nadhani spika wa bunge na msaidizi wake waache uaanachama ili waongoze kazi sawa
Alihomaanisha zito huwezi kuchaguliwa na rais uwe naibu spika,yaan haiitaji elimu ya chuo kuliona ilo.hulka ya wanadamu ni kumtumikia alyemfanyia mazuri,sasa hapo huon kuwa uyu naibu spika atalinda maslai ya serikal?kama hata ilo hujaliona bas hufai kuitwa binadamu