Unyanyasaji wa kikabila idara ya Uhamiaji

Unyanyasaji wa kikabila idara ya Uhamiaji

Nadhani ume "arrive to conclusion without concrete facts". Ni matukio mangapi ambayo unaweza kuyalist hapa ambayo yamepelekea wewe kufikia ama k reach hiyo conclusion? Ni wewe tu ulipoenda mara moja? Unazungumzia "makabila", je ulienda zaidi ya mara moja na ukataja kabila zaidi ya moja kufukia kwenye conclusion kuwa "kuna makabila yanafanywa second citizen"? umefanya research gani kufikia hiyo tamati? Hayo makabila unayosema "yanapendelewa", ulisubiri hapo ukaona mwenyewe waliposema hayo makabila na hawakupewa fomu za ziada kama wewe? Ama je uliwatuma watu wa makabila ya tofauti wakaja na hizo "findings"

It is better not to jump in to conclusions without specific data to prove.

No research, no right to speak so to speak.
Baada ya kushindwa kujustify point zako za "makabila ya mipakani" naona sasa umekuja na reason ya "research"
Ukifika uhamiaji na fomu ya NIDA unahitaji wakusainie, swali la kwanza wanakuuliza ni, wewe ni kabila gani? Baada ya wewe kujibu sasa ndo inategemea, ikiwa kabila lako ni mojawapo ya makabila fulani fulani, unapewa fomu ya page 9 ya kujaza kuhusu details hadi za mababu zako, na makaburi yao. Ila ukijibu na kabila lako likawa ni mojawapo ya makabila teule, basi unasainiwa fomu yako ya NIDA fasta, unaendelea na maisha yako. I have proved this ad libitum, ad nauseuteum. Iko hivyo. Roman Israel Esq
 
Pengine utaratibu unaotumika ndiyo unaweza kumfanya mtu akahisi amebaguliwa. Mfano kuulizw kabila lake na huku kwenye fomu hakuna hilo swali.

Lakini pia kwa upande mwingine, suala la uhamiaji haramu siyo la kubeza.
Nakuelewa mkuu,ila tatizo hapa ni preferential treatment depending on tribe.Kama ni swala la kuthibiti wahamiaji haramu,basi the same procedure itumike kwa watu wote,kwa nini maombi yawe treated differently,tena on tribal basis?
 
Nakuelewa mkuu,tatizo hapa ni preferential treatment depending on tribe.Kama ni swala la kuthibiti wahamiaji haramu,the same procedure itumike kwa watu wote.
Ni kweli kabisa mkuu. Ndiyo maana nimemuuliza mleta mada kama ni suala ambalo amelifanyia uchunguzi. Kwasababu sijui ni kivipi uulizwe kabila na huku kwenye fomu hilo swali halipo. Liliachwa kuwekwa kwenye fomu kwasababu maalumu. Ni bora wangelirudhisha kwenye fomu, halafu wao ndiyo wafanye uchunguzi wa ziada pale inapohitajika on "individual basis"
 
Makabila ya Dodoma yana muingiliano gani na nchi jirani?
Kati ya makabila ya Dodoma na Wasukuma kwa mfano, wapi wana muingiliano sana na nchi jirani?
Mkimbizi anazaliwa nchini kwako, anasoma nchini kwako, anafanya kazi nchini kwako kote huko akijitambulisha kama raia wa Tanzania (for more than 30yrs). Hapo nani atakua na shida?? Yeye mkimbizi au idara ya nchi yenu ya uhamiaji??
ubongokid

Hilo jibu tosha la kufanya form za pages 9 kuwa ni kidogo kwako, ingebidi na interview ya siku tisa.
 
Una hoja ila pia nao wana hoja.

Wakimbizi wengi wamejazana bongo bila nakaratasi na tumekuwa tukilalamika hili hadi humu ndani.

Hivyo wqnachofanya wakiona wana wasiwasi nawe lazima wakujazishe hizo form.

Mimi hii kadhia nakutana nayo saana maana Kwenye foleni unakuta mpo wengi anakagua kwa mamcho ila kwako maswali mengi hadi unachukia.
 
Wewe umenielewa sana mkuu. Shukrani kwa kujaribu kumuelewesha mkuu!! areafiftyone
Mkuu kuna issue mbili zinazojadiliwa hapa. Mojawapo ni ukweli pia kuwa kuna hilo tatizo la uhamiaji na wahamiaji haramu. Na pia tukawa tuna speculate sababu halisi za hilo lalamiko lako kuwezekana ama kuwa ukweli. Ndipo zikaja hizo assumptions kuhusiana na mipaka na nchi zinazotuzunguka.

All said and done, it does not justify any type of discrimination. Certaily, there should be "the right way" i believe.

Kwahiyo pengine labda hukuwa umeelewa huo upande mwingine kwasababu wewe umeshikilia kwenye pointi ya kubaguliwa. Lakini wengine tukachelea kufikia hiyo conclusion endapo hakuna ushahidi wa kutosha ama reserach kuhusiana na hilo kwa upande wako.

Mchangia mada aliyesema watapita hapa na kuona hoja yako yuko sahihi.
 
Ni kweli kabisa mkuu. Ndiyo maana nimemuuliza mleta mada kama ni suala ambalo amelifanyia uchunguzi. Kwasababu sijui ni kivipi uulizwe kabila na huku kwenye fomu hilo swali halipo. Liliachwa kuwekwa kwenye fomu kwasababu maalumu. Ni bora wangelirudhisha kwenye fomu, halafu wao ndiyo wafanye uchunguzi wa ziada pale inapohitajika on "individual basis"
Nadhani hujamuelewa mleta mada,au labda mimi ndiye sijamuelewa.Nadhani anachosema mleta mada ni kwamba form zinafanana,ila kama wewe ni wa kabila tofauti na wahusika, wanakuzunguusha sana!Hivyo ndivyo nilivyomuelewa mimi.
 
Nadhani hujamuelewa mleta mada.Anachosema ni kwamba form ni hizo hizo,ila kama wewe ni wa kabila tofauti na wahusika wanakuzunguusha sana!Angalau ndivyo nilivyomuelewa mimi.
Nimemuelewa fika. Hakuna swali la kabila kwenye fomu. However, alitaja kabila lake baada ya kuulizwa, na alipotaja, akapewa fomu nyingi zaidi za kujaza. Ndipo nikamuuliza kama ametumia hilo tukio moja kusema "makabila haya ni first class na haya ni second"?, Hilo ni tukio moja ambalo amelitumia kufikia conclusion. Sijui umenielewa mkuu?
 
Nadhani hujamuelewa mleta mada,au labda mimi ndiye sijamuelewa.Nadhani anachosema mleta mada ni kwamba form ni zina fanana,ila kama wewe ni wa kabila tofauti na wahusika, wanakuzunguusha sana!Hivyo ndivyo nilivyomuelewa mimi.
Hujanielewa kidogo mkuu.... Iko hivi: Fomu za NIDA ni zile zile kwa watu wote.... Kuna sehemu ya kujazwa na uhamiaji; Sasa ukienda na hizo fomu za NIDA idara ya uhamiaji ili wakusainie, swali la kwanza unaulizwa ni WEWE NI KABILA GANI? Sasa, ukijibu hilo swali, na kabila lako likawa miongoni mwa makabila ya daraja la pili, unapewa fomu nyingine sasa zenye page 9, ambazo zinauliza details hadi za makaburi ya mababu na mabibi zako, ila kabila lako likiwa miongoni mwa makabila teule,wanakusainia fasta fomu zako za NIDA, unaishia zako. That was my point mkuu areafiftyone
 
Una hoja ila pia nao wana hoja.

Wakimbizi wengi wamejazana bongo bila nakaratasi na tumekuwa tukilalamika hili hadi humu ndani.

Hivyo wqnachofanya wakiona wana wasiwasi nawe lazima wakujazishe hizo form.

Mimi hii kadhia nakutana nayo saana maana Kwenye foleni unakuta mpo wengi anakagua kwa mamcho ila kwako maswali mengi hadi unachukia.
Uko sahihi kwa maoni yangu. Kuna hoja zaidi ya moja hapa.
 
Nimemuelewa fika. Hakuna swali la kabila kwenye fomu. However, alitaja kabila lake baada ya kuulizwa, na alipotaja, akapewa fomu nyingi zaidi za kujaza. Ndipo nikamuuliza kama ametumia hilo tukio moja kusema "makabila haya ni first class na haya ni second"?, Hilo ni tukio moja ambalo amelitumia kufikia conclusion. Sijui umenielewa mkuu?
Same issue,itakuwaje na form tofauti?That is confusing to say the least.
 
Nimemuelewa fika. Hakuna swali la kabila kwenye fomu. However, alitaja kabila lake baada ya kuulizwa, na alipotaja, akapewa fomu nyingi zaidi za kujaza. Ndipo nikamuuliza kama ametumia hilo tukio moja kusema "makabila haya ni first class na haya ni second"?, Hilo ni tukio moja ambalo amelitumia kufikia conclusion. Sijui umenielewa mkuu?
Sijatumia tukio moja mkuu, i have verified what i said here several times; Na matokeo yamekua ni yale yale Roman Israel Esq
 
Back
Top Bottom