Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 392
Unataka kusafiri nje ya nchi? Pasipoti ni muhimu sana!
1. KWA NINI PASIPOTI NI MUHIMU?
*2. VITU UNAVYOTAKIWA KUIPATA PASIPOTI MPYA
Unaweza kuwasilisha maombi katika Makao Makuu ya Uhamiaji Zanzibar au Ofisi yoyote ya Uhamiaji wa Mkoa/Wilaya unapoishi b827
Hati zinazotakiwa:
1. Cheti cha Kuzaliwa cha mwombaji au Affidavit ya kuzaliwa
2. Cheti cha Kuzaliwa cha mzazi/mzazi au Cheti cha uraia
3. Kitambulisho cha Taifa cha NIDA
4. Picha 1 ya pasipoti iliyo wazi na ya hivi karibuni
5. Ada ya Pasipoti: TSh 150,000 kwa wanaomba ndani ya nchi
6. Mbarua ya sababu ya safari au uthibitisho wa shughuli zako
Kwa watoto chini ya miaka 18:
Mzazi au mlezi wa kisheria anatakiwa aambatane na mtoto na kutoa kibali cha maandishi cha safari nje ya nchi 97cb
3. JINSI YA KUOMBA
1. Jaza fomu mtandaoni kupitia tovuti ya Uhamiaji: APPLY PASSPORT NOW
2. Lipa ada na uchapishe fomu
3. Wasilisha fomu pamoja na viambatisho katika Ofisi ya Uhamiaji Zanzibar
4. Pasipoti ya kawaida inatolewa kwa muda wa *miaka 10
4. MUHIMU KUZINGATIA
- Pasipoti hazitolewi katika Ubalozi - zinatolewa na Idara ya Uhamiaji Dar es Salaam na Zanzibar
---
UNAHITAJI MSAADA? TUPO HAPA KUKUSAIDIA! 🤝
Tunaweza kukusaidia kujaza fomu, kukusanya hati, na kukuelekeza hadi upate pasipoti yako bila stress.
*Kalibu pm
1. KWA NINI PASIPOTI NI MUHIMU?
- Kitambulisho rasmi cha kimataifa - Inakuthibitisha kuwa wewe ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
- Kuingia nchi nyingine - Bila pasipoti halali huwezi kusafiri nje ya Tanzania
- Fursa za kazi, masomo na biashara nje ya nchi
- Ulinzi pale ulipo nje - Ubalozi unaweza kukusaidia ukiwa na pasipoti