Unyanyasaji wa kikabila idara ya Uhamiaji

Ila mkuu Dr. Wansegamila ,unaweza sana kujieleza.Hongera sana kwa hilo... Nashukuru sana hukukata tamaa wala kughafilika baada ya maswali mengi na wengine ku doubt hoja ama stori yako. Inaonekana umeguswa sana. Ubaguzi ni mbaya sana na unaumiza sana. Ni matumaini yangu utakuwa umewafungua macho wahusika na wao walitizame upya. Nafahamu nchi nyingi sana walifanya mabadiliko kama hayo lakini walihakikisha kuwa hakuna ubaguzi wa aina yoyote. Hata nchi kama marekani wameptia sana mambo kama hayo, lakini wamejirekebisha kwa kubadili tarativu ama sheria zenye dalili za ubaguzi.
Nashukuru sana mkuu Roman Israel Esq , kuwa criticized sio tatizo kwangu, nimezoea na Mungu amenijalia uwezo mzuri wa kujieleza; Pia kazi ninayoifanya ni kazi ambayo criticism ni kawaida sana, na ina involve sana kuongea na watu na kufafanua na hata kufundisha/kuelekeza.
Kiukweli kabisa, hako kautaratibu kameni irritate sana, kweli inawezekana ni utaratibu ambao una nia njema' Ila jinsi inavyofanyika sio sahihi hata kidogo, natamani sana huo utaratibu ufanyike na uwe fair bila ukakasi wa aina hii.
 
Hakuna kitu kitakacho justify unachojaribu kusema.
Kwa hiyo msukuma yeye ni Mtanzania zaidi kuliko mrangi kwa mfano??
Kuna shida katika hilo.
Halafu, hivi mtu ambae ana proof ya kuzaliwa Tanzania, ana proof ya kusoma Tanzania kuanzia primary hadi chuo kkkuu ana proof ya kuajiriwa ndani ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 7; halafu una wasiwasi nae?? Kama utatilia mashaka Utanzania wa mtu wa aina hii, that speaks more of the weakness of immigration department than the legality of citizenship of that person!! FRESHMAN
Masikini,
Hujui unachokisema.
Kibaya zaidi,
Hujui kuwa Hujui pia.
Mungu akusaidie, Wote semeni Amina!

Kusoma Msingi,Sekondari na huo utumbo mwingine wa kuajiriwa nani kakuambia ndio uthibitisho pekee na wa mwisho kuwa wewe ni mkazi wa mahali fulani au raia wa nchi fulani kwa 100%?

Unataka ufundishe watu Kazi na Taaluma zao?

Kuna Mtu mmoja mashuhuri tu Bongo alisoma kweli hapahapa hadi kiwadhifa alifikia hatua ya juu serikarini.
Lakini kwa Ushahidi ikaja kudhihirika si Mtanzania na mwenyewe tangia hapo kanywea na kakubaliana na matokeo hadi leo yupo kama Mhamiaji.

Msirahisishe mambo hasa ya Kitaalam.

Ungeombwa Rushwa hapo sawa nigekuelewa ukilalama.

Acheni watu wafanye kazi jamani.

Wewe lazima kwa muonekano,
Mazungumzo(lafudhi) au taarifa za awali zimempa sababu za kuhitaji taarifa zaidi kukuhusu.

Ni vitu vya kawaida.
 
Masikini,
Hujui unachokisema.
Kibaya zaidi,
Hujui kuwa Hujui pia.
Mungu akusaidie, Wote semeni Amina!

Kusoma Msingi,Sekondari na huo utumbo mwingine wa kuajiriwa nani kakuambia ndio uthibitisho pekee na wa mwisho kuwa wewe ni mkazi wa mahali fulani au raia wa nchi fulani kwa 100%?

Unataka ufundishe watu Kazi na Taaluma zao?

Kuna Mtu mmoja mashuhuli tu Bongo alisoma kweli hapahapa hadi alifikia hatua ya juu Kiserikali.
Lakini kwa Ushahidi ikaja kudhihirika si Mtanzania na mwenyewe tangia hapo kanywea na kakubaliana na matokeo hadi leo yupo kama Mhamiaji.

Msirahisishe mambo hasa ya Kitaalam.
Ungeombwa Rushwa hapo sawa nigekuelewa ukilalama.
Acheni watu wafanye kazi.

Wewe lazima kwa muonekano,
Mazungumzo(lafudhi) au taarifa za awali zimempa sababu za kuhitaji taarifa zaidi kukuhusu.
Nakuhakikishia kuwa kitu pekee ambacho kilimfanya mtu wa uhamiaji kunipa hiyo fomu ya ziada ni kabila langu tuu; Na pia, kitu pekee ambacho kilifanya wengine wanaotoka first class tribes wasitakiwe kutoa details zaidi ni makabila yao tuu.
Halafu pia mkuu, nadhani we can have a decent conversation na ku argue bila kutoleana lugha za ajabu, au kuitana majina yasiyofaa, au ni ngumu sana kwako?dalalitz
 
Basi tukubaliane kutokukubaliana katika hili.
Mimi nasema sio logic, wala sio haki kutilia shaka Utanzania wa mtu kwa sababu tu ya kabila lake; wala si haki kujihakikishia kuwa mtu ni Mtanzania asilimia 100 on the basis ya kabila lake tuu!! Kwa nini wote wanaohitaji hiyo huduma wasingepitia mchakato huo huo wa kujaza fomu za verification? Na kwa nini kigezo kiwe kabila?
Tukubaliane kutokukubaliana tu mkuu. Peace.
Daby

Hapana nitapingana nawe.

Haupo sahihi kwasababu gani.

-Kwanza wewe unafikiri mtu anatiliwa shaka kwa sababu ya kuwa kabila fulani. Hapana.

Ila tunamtilia mtu shaka kwa kuhisi amejiita kabila fulani (mmasai) kumbe sio mmasai. Hivyo tunapochunguza ukabila wake hatuchunguzi kwa kuutilia mashaka umasai bali tunatilia shaka yeye kujiita mmasai (huenda sio mmasai(

Ungekuwa na hoja kama ungesema utaratibu wa kutilia shaka Utanzania wa watu ubadilishwe utaratibu maana unatupotezea muda watiliwa shaka.
 
Siku chache zilizopita, ilinibidi kujongea katika ofisi za uhamiaji kwa ajili ya kupata sahihi ya afisa ya uhamiaji katika fomu za kitambulisho cha utaifa (kwenye hizi fomu kuna sehemu ambayo inabidi isainiwe na uhamiaji).Kilichonikuta ndio kimenifanya niandike huu uzi.

Baada ya kufika ofisi husika na fomu zangu, swali la kwanza nililoulizwa ni, "wewe ni kabila gani"? Baada ya kumjibu yule mdada alieniuliza, kilichofuata alinikabidhi fomu nyingine ambayo ina page 9, iliyojaa maswali ambayo kiukweli yamejaa ukakasi sana;

Mfano: Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa baba (mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji), Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa mama
(mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji).

Mahali ambapo babu au bibi yako alifariki (mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji), na maswali mengine mengi ya aina hiyo (imagine kujibu page 9 za maswali ya aina hiyo).

Lakini, kilichoni irritate zaidi, niligundua kwamba si waombaji wote wanajazishwa hii fomu (wengine wanasainiwa kirahisi kabisa bila kujaza chochote); na kinacho determine wakujazishe au wasikujazishe hilo lifomu ni *kabila* lako!! Kuna makabila fulani ukienda pale ukitaja, wanakusainia bila tashwishwi nyingi, ila kuna makabila mengine ndo process inakua ndefu mno (nimetumia muda wa siku mbili ofisi ya uhamiaji kukamilisha hilo,while my other colleagues spent hardly 15 minutes for a similar purpose!!).

Fikiria unamuona mtu mnaefanya nae kazi, yeye anakuja na fomu zake, anaulizwa kabila anataja kabila fulani, anaambiwa lete fomu zako, anasainiwa... Huku wewe umekaa pembeni unahangaika kujaza page 9 za maswali yanayotia ukakasi, hadi wenzako wanakushangaa kwani wewe vipi? Mbona sisi hatujasumbuliwa?
Siku ya kwanza, nimejaza hilo lifomu lao nikaambiwa niliache, nirudi next day saa tatu asubuhi (hapo nilitumia masaa 6 ofisi za uhamiaji).

Nimerudi siku ya pili, nikaambiwa subiri, baada kama ya nusu saa yule mdada akatoka. Nilisubiri kwa zaidi ya masaa sita tena, ambapo ndipo niliweza kukamilisha mchakato huo na wakanisainia fomu yangu hatimaye (namshukuru sana yule kijana alienihudumia siku ya pili, alikua ni mstaarabu na mnyenyekevu sana na hata yeye alionyesha kushangazwa kwa nini nimezungushwa vile).

Nimesikitika sana, kwamba kumbe sisi makabila mengine ni second grade citizens ndani ya nchi yetu!!
Kwa nini kuwe na preferential treatment (huduma tofauti) kwa raia wanaohitaji huduma ya uhamiaji, ambayo iko based kulingana na kabila??
Mkuu hiyo passport ushaipata?? Kama ndio whats the heck mbona unalialia humu JF..hizo fomu zenye page 9 zipo kiutaratibu wala hazikutungwa siku ulipoenda kuomba passport. Zipo na zitaendelea kuwepo. Kama ulizijaza ukasubmit at the end ukapewa passport yako shida iko wap?? Unalialia nini???
 
Mkuu hiyo passport ushaipata?? Kama ndio whats the heck mbona unalialia humu JF..hizo fomu zenye page 9 zipo kiutaratibu wala hazikutungwa siku ulipoenda kupambana passport. Zipo na zitaendelea kuwepo. Kama ulizijaza ukasubmit at the end ukapewa passport yako shida iko wap?? Unalialia nini???
Ninacholalamikia hapa ni huo utaratibu wa kuwa treat watu kulingana na makabila yao, hapo ndipo tatizo langu lilipo. Yaani mtu akiwa kabila X inamchukua dakika 15 kupata kitu anachohitaji, ila akiwa kabila Y anachukua siku 2. Nimekuja kuliongelea humu ili kwanza watakaosoma wajue uwepo wa utaratibu huo wa kibaguzi, na pili kama njia ya kuexpress kutokukubaliana na utaratibu huo wa kibaguzi. Vipi mkuu, imekuwasha sana mimi kuja kuliongelea hili huku? rearden
 
Binafsi naona hawakuwa na nia ya kukubagua ila yale makabila ya mipakani yaliyoko kwenye nchi zaidi ya moja ni lazima kujiridhirisha na hiyo ni moja ya jukumu la watu wa immigration.
Wakitoa vitambulisho kiholela ile maana ya vitambulisho wa TAIFA haitakuwepo
Wasamehe tu kwa hilo kwani inavyo onekana nia ilikuwa njema!!
 
Wachagga sio kabila la mipakani? Wanyakyusa sio kabila la mpakani? Wote hao wanasainiwa kirahisi tu bila shida, isipokua kwa makabila fulani fulani Mparee2
 
Siku chache zilizopita, ilinibidi kujongea katika ofisi za uhamiaji kwa ajili ya kupata sahihi ya afisa ya uhamiaji katika fomu za kitambulisho cha utaifa (kwenye hizi fomu kuna sehemu ambayo inabidi isainiwe na uhamiaji).Kilichonikuta ndio kimenifanya niandike huu uzi.

Baada ya kufika ofisi husika na fomu zangu, swali la kwanza nililoulizwa ni, "wewe ni kabila gani"? Baada ya kumjibu yule mdada alieniuliza, kilichofuata alinikabidhi fomu nyingine ambayo ina page 9, iliyojaa maswali ambayo kiukweli yamejaa ukakasi sana;

Mfano: Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa baba (mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji), Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa mama
(mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji).

Mahali ambapo babu au bibi yako alifariki (mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji), na maswali mengine mengi ya aina hiyo (imagine kujibu page 9 za maswali ya aina hiyo).

Lakini, kilichoni irritate zaidi, niligundua kwamba si waombaji wote wanajazishwa hii fomu (wengine wanasainiwa kirahisi kabisa bila kujaza chochote); na kinacho determine wakujazishe au wasikujazishe hilo lifomu ni *kabila* lako!! Kuna makabila fulani ukienda pale ukitaja, wanakusainia bila tashwishwi nyingi, ila kuna makabila mengine ndo process inakua ndefu mno (nimetumia muda wa siku mbili ofisi ya uhamiaji kukamilisha hilo,while my other colleagues spent hardly 15 minutes for a similar purpose!!).

Fikiria unamuona mtu mnaefanya nae kazi, yeye anakuja na fomu zake, anaulizwa kabila anataja kabila fulani, anaambiwa lete fomu zako, anasainiwa... Huku wewe umekaa pembeni unahangaika kujaza page 9 za maswali yanayotia ukakasi, hadi wenzako wanakushangaa kwani wewe vipi? Mbona sisi hatujasumbuliwa?
Siku ya kwanza, nimejaza hilo lifomu lao nikaambiwa niliache, nirudi next day saa tatu asubuhi (hapo nilitumia masaa 6 ofisi za uhamiaji).

Nimerudi siku ya pili, nikaambiwa subiri, baada kama ya nusu saa yule mdada akatoka. Nilisubiri kwa zaidi ya masaa sita tena, ambapo ndipo niliweza kukamilisha mchakato huo na wakanisainia fomu yangu hatimaye (namshukuru sana yule kijana alienihudumia siku ya pili, alikua ni mstaarabu na mnyenyekevu sana na hata yeye alionyesha kushangazwa kwa nini nimezungushwa vile).

Nimesikitika sana, kwamba kumbe sisi makabila mengine ni second grade citizens ndani ya nchi yetu!!
Kwa nini kuwe na preferential treatment (huduma tofauti) kwa raia wanaohitaji huduma ya uhamiaji, ambayo iko based kulingana na kabila??

Na unyanyasaji huo hasa hufanyiwa makabila ya watu wanaotokea mkoa wa KIGOMA.

Lakini kamwe huwezi kuona watu wa makabila mengine wanaotoka mikoa iliyopo mipakani wakinyanyaswa namna hiyo. Kuna ubaguzi mkubwa.
 
Ukisoma hii thread na reply zake zote kuanzia nilipoipost hadi ilipofikia sasa, utagundua vitu kadhaa.
1.Utagundua kwamba, asilimia kubwa ya Watanzania hatuwezi kupinga hoja kwa hoja; Wengi wetu ni lazima kumshambulia mtoa hoja, na kumuita majina mbalimbali ya kuudhi (name calling) na/au kumtukana; Yaani ni ngumu sana Watanzania kupinga hoja bila kumtukana/kumkejeli/kumpa majina ya kuudhi mtoa hoja. With exception of few people like Roman Israel Esq ambae unaweza uka argue nae na mkabishana kwa hoja bila matusi/kejeli.
2.Lakini pia utagundua pia Watanzania wengi umakini ni zero kabisa. Ndio hapa utaona wale wanaouliza maswali ambayo yamekwishajibiwa tangu mwanzoni kabisa wakati naanzisha huu uzi, au kwenye reply zilizofuata baadae.... Au anaibua hoja ambayo imefafanuliwa mara kadhaa kwenye hii thread (tangu mwanzo wa thread, na kwenye reply zilizofuata).
 
Na unyanyasaji huo hasa hufanyiwa makabila ya watu wanaotokea mkoa wa KIGOMA.

Lakini kamwe huwezi kuona watu wa makabila mengine wanaotoka mikoa iliyopo mipakani wakinyanyaswa namna hiyo. Kuna ubaguzi mkubwa.
Yaani kwa kweli utaratibu wanaoutumia ni wa kibaguzi mno!!! Hata kama una nia nzuri katika kufanya jambo fulani, lakini ukitumia njia ambayo ina ukakasi au ambayo si sahihi, umaana wa hiyo nia yako njema hauwezi kuonekana tena!!
Idara ya uhamiaji itafute namna nyingine ya kufanya hili bila kuwa na elements za kibaguzi kwa makabila fulani fulani.
Mokaze
 
sasa mzaramo au makabila ya moro, dodoma, singida, etc uwe na wasi wasi nae wa nini?? makabila ya mpakani kama ngara, kigoma lazima uwe na umakini nayo
Hivi hujui wazaramo walitoka Kongo? Na wanamwingiliano na makabila ya mipakani. Tuache ubaguz
 
Hebu soma tena kwa utulivu mkuu. Mbona iko straight??
Fomu za NIDA ni zile zile kwa watu wote.... Kuna sehemu ya kujazwa na uhamiaji; Sasa ukienda na hizo fomu za NIDA idara ya uhamiaji ili wakusainie, swali la kwanza unaulizwa ni WEWE NI KABILA GANI? Sasa, ukijibu hilo swali, na kabila lako likawa miongoni mwa makabila ya daraja la pili, unapewa fomu nyingine sasa zenye page 9, ambazo zinauliza details hadi za makaburi ya mababu na mabibi zako, ila kabila lako likiwa miongoni mwa makabila teule,wanakusainia fasta fomu zako za NIDA, unaishia zako. areafiftyone

Mkuu hapa ninayo hiyo fomu ya NIDA kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa ile ya 1A.

Fomu ya 2A ni ya raia wa kigeni.

Yaani FOMU YA MAOMBI YA UTAMBULISHO.

Fomu hii ina sehemu A- G

Hii fomu nimeitumia hivi karibuni kuomba kadi ya NIDA na katika vipengele vyote hivyo hakuna kinachohitaji uandike kabila lako.

Pia hakuna sehemu yoyote ya kujazwa na uhamiaji na fomu yangu ilipigwa muhuri na mwenyekiti wa serikali ya mtaa.

Sasa tueleweshe unazungumzia fomu ipi.

Pili kwanini umekazania kusema kuna makabila ya daraja la pili na makabila teule?
 
Yani madai yake ni kwamba ukiwa ni kabila flani, kuna fomu za ziada unazopewa za kujaza(anasema ziko 9)

Amefikia conclusion kusema kuwa kuna "makabila ambayo yako kwenye listi" na ukitaja ndiyo unapewa fomu za ziada zenye maswali mengi ya ziada.

Nilijaribu kumuuliza kama alidean pale akasema yeye ni msukuma, then akarusi akasema yeye ni Mha nk. Maana huwezi kujuwa kama usipifanya kauchunguzi ama research.
It does not seem realistic.
 
Hebu soma tena kwa utulivu mkuu. Mbona iko straight??
Fomu za NIDA ni zile zile kwa watu wote.... Kuna sehemu ya kujazwa na uhamiaji; Sasa ukienda na hizo fomu za NIDA idara ya uhamiaji ili wakusainie, swali la kwanza unaulizwa ni WEWE NI KABILA GANI? Sasa, ukijibu hilo swali, na kabila lako likawa miongoni mwa makabila ya daraja la pili, unapewa fomu nyingine sasa zenye page 9, ambazo zinauliza details hadi za makaburi ya mababu na mabibi zako, ila kabila lako likiwa miongoni mwa makabila teule,wanakusainia fasta fomu zako za NIDA, unaishia zako. areafiftyone
What do you mean, ukisema wewe si mtu wa kabila lao unaongezewa page ya tisa na wengine wanapewa 8 pages of the same document au unapewa page 9 nyingine ambazo ni tofauti kabisa na wa kabila lao?Mkuu you might think you are clear but you are actually not!
 
Mkuu hapa ninayo hiyo fomu ya NIDA kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa ile ya 1A.

Fomu ya 2A ni ya raia wa kigeni.

Yaani FOMU YA MAOMBI YA UTAMBULISHO.

Fomu hii ina sehemu A- G

Hii fomu nimeitumia hivi karibuni kuomba kadi ya NIDA na katika vipengele vyote hivyo hakuna kinachohitaji uandike kabila lako.

Pia hakuna sehemu yoyote ya kujazwa na uhamiaji na fomu yangu ilipigwa muhuri na mwenyekiti wa serikali ya mtaa.

Sasa tueleweshe unazungumzia fomu ipi.

Pili kwanini umekazania kusema kuna makabila ya daraja la pili na makabila teule?
Na mimi fomu ya NIDA niliyojaza ni hiyo hiyo 1A.
Hizo fomu za NIDA sisi tulichukulia kazini kwetu, na utaratibu ulikua ukishachukua, unaijaza, kisha unapeleka serikali za mitaaz wanakusainia, halafu pia unapeleka uhamiaji ambapo kuna sehemu kule chini mwisho kabisa na wao wanasaini na kupiga mhuri, halafu tulirudisha hizo fomu kazini, ambapo na wao kuna sehemu ya mwajiri wanasaini, baada ya hapo wali organize na watu wa NIDA ambapo walikuja kazini kwetu siku moja na tukapiga picha pamoja na watu wa NIDA kufanya data entry. Huo ndio utaratibu ambao nilipitia, na watu wote hapa kazini ambao walichukua fomu za NIDA kupitia kazini kwetu waliupitia.
Sasa, ishu ninayozungumza ni hapo kwenye kipengele cha kwenda uhamiaji; ambapo ilikua ukifika uhamiaji, swali la kwanza ni kabila lako (unaulizwa kabila kwa mdomo,hamna fomu ya kujaza kabila lako), na ikionekana kabila lako ni kati ya yale ambayo uhamiaji wanaona ni 2nd class, kuna fomu nyingine tena (tofauti na ya NIDA) unayopewa kujaza, ambayo ina details nyingiii za kuhusu hadi makaburi ya mababu zako; Ila wale ambao makabila yao ni first class, wanasainiwa hizo fomu za NIDA haraka sana!! Huo uutaratibu ndio ambao mimi naulalamikia!! Richard
 
What do you mean, ukisema wewe si mtu wa kabila lao unaongezewa page ya tisa na wengine wanapewa 8 pages of the same document au unapewa page 9 nyingine ambazo ni tofauti kabisa na wa kabila lao?Mkuu you might think you are clear but you are actually not!
Iko hivi:
Fomu za kuombea National ID ni hizo hizo kwa watu wote.
Kwa utaratibu tuliopitia kazini (tuliomba hizo National IDs kupitia kazini kwetu), ni kwamba ilikua baada ya kujaza sehemu zote, sehemu ya mwisho unapeleka uhamiaji kuna sehemu pia wanasaini na kupiga mhuri.
Sasa, wanachofanya uhamiaji ukifika pale ni kuulizia kwanza kabisa kabila lako ni lipi (wanakuuliza kwa mdomo, hujazi kabila kwenye fomu yoyote)?
Utofauti uko hapa:Ukisema wewe ni kabila fulani (makabila ambayo wao wanafikiri ni 2nd grade), kuna fomu nyingine ya tofauti kabisa (ya kwao uhamiaji), ambayo ina page 9), wanakupa uijaze kwanza;Hiyo fomu sasa ndio ina details hadi za makaburi ya mababu,hadi ulijaze hilo lifomu lingine,wakuulize na maswali mengine kedekede,halafu ndio sasa waamue eidha kukusainia au kutokukusainia fomu zako za NIDA (the proces took me two full days). ILA, ukisema unatoka kabila ambalo wao wanaona ni first class, wanakusainia fomu zako za NIDA bila maswali zaidi, bila kukujazisha fomu nyingine yoyote (kwa hawa wateule,the process took 10-15 minutes).
areafiftyone
 
Nimekuelewa vizuri mkuu.Process hii ni ya ajabu sana.Kama kweli ni hivyo kama nilivyosema mwanzoni, wanapaswa kuwajibishwa promptly.Na kwa nini wafanye hivyo?Wana ajenda ya siri ya kukwamisha utendaji wa Rais?A thorough investigation needs to be done.
 
Mfano: Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa baba (mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji), Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa mama
(mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji).

Mahali ambapo babu au bibi yako alifariki (mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji), na maswali mengine mengi ya aina hiyo (imagine kujibu page 9 za maswali ya aina hiyo).
Hata kama tuhuma umezielekeza Idara ya Uhamiaji, I doubt kama hili ni suala la Uhamiaji! Nashawishika kuamini kwamba, wao wanatekeleza tu kile kinachotakiwa na NIDA!

But all in all, una uhakika ulikuwa na full set ya fomu zote zinazohitajika compared na hao wenzako? Nauliza hivyo kwa sababu, binafsi ni miongoni mwa watu wa mwanzo mwanzo kupata National ID na hayo mafomu ya kuulizwa Bibi na babu yangu wamezaliwa wapi, mama yangu primary school alisoma wapi, hata mimi (sisi of course) tulijaza hayo mafomu!!
 
Siku chache zilizopita, ilinibidi kujongea katika ofisi za uhamiaji kwa ajili ya kupata sahihi ya afisa ya uhamiaji katika fomu za kitambulisho cha utaifa (kwenye hizi fomu kuna sehemu ambayo inabidi isainiwe na uhamiaji).Kilichonikuta ndio kimenifanya niandike huu uzi.

Baada ya kufika ofisi husika na fomu zangu, swali la kwanza nililoulizwa ni, "wewe ni kabila gani"? Baada ya kumjibu yule mdada alieniuliza, kilichofuata alinikabidhi fomu nyingine ambayo ina page 9, iliyojaa maswali ambayo kiukweli yamejaa ukakasi sana;

Mfano: Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa baba (mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji), Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa mama
(mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji).

Mahali ambapo babu au bibi yako alifariki (mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji), na maswali mengine mengi ya aina hiyo (imagine kujibu page 9 za maswali ya aina hiyo).

Lakini, kilichoni irritate zaidi, niligundua kwamba si waombaji wote wanajazishwa hii fomu (wengine wanasainiwa kirahisi kabisa bila kujaza chochote); na kinacho determine wakujazishe au wasikujazishe hilo lifomu ni *kabila* lako!! Kuna makabila fulani ukienda pale ukitaja, wanakusainia bila tashwishwi nyingi, ila kuna makabila mengine ndo process inakua ndefu mno (nimetumia muda wa siku mbili ofisi ya uhamiaji kukamilisha hilo,while my other colleagues spent hardly 15 minutes for a similar purpose!!).

Fikiria unamuona mtu mnaefanya nae kazi, yeye anakuja na fomu zake, anaulizwa kabila anataja kabila fulani, anaambiwa lete fomu zako, anasainiwa... Huku wewe umekaa pembeni unahangaika kujaza page 9 za maswali yanayotia ukakasi, hadi wenzako wanakushangaa kwani wewe vipi? Mbona sisi hatujasumbuliwa?
Siku ya kwanza, nimejaza hilo lifomu lao nikaambiwa niliache, nirudi next day saa tatu asubuhi (hapo nilitumia masaa 6 ofisi za uhamiaji).

Nimerudi siku ya pili, nikaambiwa subiri, baada kama ya nusu saa yule mdada akatoka. Nilisubiri kwa zaidi ya masaa sita tena, ambapo ndipo niliweza kukamilisha mchakato huo na wakanisainia fomu yangu hatimaye (namshukuru sana yule kijana alienihudumia siku ya pili, alikua ni mstaarabu na mnyenyekevu sana na hata yeye alionyesha kushangazwa kwa nini nimezungushwa vile).

Nimesikitika sana, kwamba kumbe sisi makabila mengine ni second grade citizens ndani ya nchi yetu!!
Kwa nini kuwe na preferential treatment (huduma tofauti) kwa raia wanaohitaji huduma ya uhamiaji, ambayo iko based kulingana na kabila??
Yatima na watoto waliotelekezwa itakuwaje?
 
Back
Top Bottom