Unyanyasaji wa kikabila idara ya Uhamiaji

Unyanyasaji wa kikabila idara ya Uhamiaji

Unafiki wa sisi waTanzania najua kuna watu wanapinga kutokuwepo kwa ukabila nchi hii ila kiukweli ukabila upo tena sana tu , ndio maana huwa nasema hii kitu tusipoiangalia inaliangamiza taifa vibaya sana
 
Umenena vyema sana mkuu. Ila ubaguzi ni dhambi mbaya sana, ni kama kula nyama ya mtu.. Ipo siku itawarudia tuu.
Prince Dos Santos
 
Mimi bwana nilipotaka kufuatilia kitambulisho cha taifa nilienda site ya Brela wana barua yao ya Express nika print nikaenda nayo nikajazo fomu,nikaenda serikali ya mtaa na tai pamoja na briefcase nikakaa kwenye fulani nikatoa laptop nikawa naangalia JF akanijazia na kugonga muhuri fasta nilipofika pale NIDA nikamwambia binti mmoja mrembo kuna kampuni mpya naingia ubia na wazungu so nahitaji kwenda Brela in less than a month nikawa na national ID
We kiboko [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ndo ujue kwamba Tanzania Muhindi, Mwarabu au Mchotara ana haki kuliko wewe mweusi na hii ni kwa mujibu wa Sheria zetu, Muhindi akienda kuomba hati ya kusafiria anapewa fasta kwani ana makaratasi yaliyonyooka kuliko wewe, kwa kifupi Muhindi aliyezaliwa Tanzania/Tanganyika ni Mtanzania kuliko wewe mweusi hata kama wengi hamtalikubali hili!

Hakuna Muhindi/Mwarabu/Mchotara ataambiwa athibitishe Babu au sijui Bibi alizikwa wapi, hawa kila kitu kiko documented, anahitaji kutoa makaratasi tu, mfumo uliopo unampendelea Muhindi/Mwarabu/Mchotara moja kwa moja zaidi yako wewe uliyezaliwa Biharamuro au sijui Mpwapwa, tumerithi huo mfumo kutoka kwa Muzungu kwamba sisi ni raia daraja la 3 baada ya Muzungu, Muhindi/Mwarabu/Mchotara.

Welcome to the second class citizen of JMTZ!

KAKA UMESEMA UONGO SANA BADO WEWE MWEUSI NDIO UNA NAFUU UHAMIAJI NENDA KAONA WAHINDI NA WARABU WANAVYOSUMBULIWA KUNA MDADA MMOJA NILIMUONA PALE ALIKUWA YEYE ANA CHETI CHA KUZALIWA NA ANA CHETI CHA MAMA YAKE YA KUZALIWA NA ANA CHETI CHA BABA YAKE CHA KUZALIWA LAKINI ALIKATALIWA ALIAMBIWA AKALETE CHA BIBI MZAA MAMA CHETI CHAKE BAHATI ALIPOKWENDA KUWAULIZA NDUGU ZAKE WALIKUWA NA CHETI CHA BIBI YAO AKAPELEKA UHAMIAJI ALIPOFIKA AKAWAPA AKAAMBIWA AKALETE CHETI CHA BIBI ALIYEMZAA BIBI HAPO MDADA AKACHEMSHA MAANA WAKATI WA MKOLONI KULIKUWA HAKUNA VYETI WENGI WA BIBI NA BABU HAWANA VYETI
 
1.Makabila yanayoulizwa sana kivipi? Naona hujaelewa vizuri huu uzi, nakuomba usome tena. Kuna baadhi ya makabila (kama la kwangu), ukifika pale uhamiaji kwa ajili ya kusainiwa fomu za NIDA na watu wa uhamiaji, wanakuuliza ni kabila gani? Ukitaja tuu baadhi ya makabila, process inakua ni ndefu kwako:Wanakupa fomu nyingine separate (sio ile ya NIDA) yenye page 9 yenye maswali ya kutosha hadi kuhusu makaburi na details za mababu na mabibi zako (na walikozaliwa-mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji).
2.Hujaelewa, rudia tena huu uzi. Hakuna fomu inayouliza kabila lako.
Ila iko hivi (narudia)-Kwenye fomu za NIDA kuna kipengele ambacho inabidi kisainiwe na watu wa uhamiaji, ukifika uhamiaji na ile fomu ya NIDA, swali la kwanza, kabila lako ni lipi?? Ukitaja baadhi ya makabila (mfano mchagga,msukuma,mnyakyusa) wanakusainia fasta wanakugongea mhuri, unaondoka zako-hardly 15minutes. Ila sasa, ukitaja baadhi ya makabila (ambayo nadhani uhamiaji wanatuona ni 2nd grade citizens); Process inarefuka upyaaaa!! Wanakupa fomu nyingine sasa ina page kama 9 hivi ukukuruke nayo!! Huko ndo unaulizwa hadi taarifa za mababu na mabibi, hadi vyeti vyao vya kuzaliwa (absurd)!!!
Hivyo ndivyo ilivyo, naomba usome kwa umakini uelewe, wala sina nia ya kuleta uchochezi wa aina yoyote ule!!
Richard

Ni viambatanisho gani ulipeleka NIDA na baadae UHAMIAJI?

Halafu, fomu NIDA kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa pamoja na barua ya utambulisho ndo zinakuwa zimejitosheleza kila kitu kwani pale NIDA utafanyiwa usaili tu, kabla ya Data zako kuingizwa kwenye computer.

Pia hakuna fomu ya NIDA ambayo inabidi isainiwe tena na watu wa uhamiaji wakati tayari mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesaini tayari.

Ila kutokana na idadi kubwa ya watu fulani kuonekana kwenye mfumo mpya kwamba wanaoongoza kwa udanyanyifu na hawastahiki kuwa na hizo IDs, inawezekana hizo ni "extra measures" dhidi yao.

Nakumbuka siku nilipokuwa pale ofisi za NIDA Kibamba kuna jamaa mmoja alibanwa masuali kama vile je anafahamu babu yake alipozaliwa na kushindwa kujibu hilo suali akisema hafahamu.

Hivyo kama unapewa fomu ingine ya pembeni basi ni Dhahiri kuwamba kuna jambo zito la kulishughulikia.

Labda watu wa UHAMIAJI wanaweza kukusikia
 
Sisi fomu za NIDA tumezichukulia kazini ninapofanyia kazi. Baada ya kuzichukua, tumezijaza, then kuna sehemu ya kujaza serikali za mitaa ambazo nilijaza kwa mtendaji bila tatizo; Baada ya hapo kuna sehemu pia ambayo uhamiaji wanatakiwa wasaini na kugonga mhuri. Then baada ya kusaini watu wa uhamiaji tukarudisha kazini kwetu kwa watu wa HR (pamoja na viambatanisho vyote) ambapo waliorganize na watu wa NIDA wakaja kazini kwetu, tukapiga picha pamoja na watu wa NIDA kufanya data entry hapo hapo.
Huo mchakato wa kwenda uhamiaji, kila mtu kazini alipitia... Ila utofauti sasa ulikwepo pale ambapo ukifika uhamiaji sasa, unaulizwa kabila (swali la kwanza); Halafu ndo yanafuata hayo niliyoyaeleza hapo awali kulingana na kabila lako.
Richard
 
Na

mimi kitambulisho cha uraia sina halafu mwezi ujao nataka kufuatilia Passport sijui itakuaje!!!?
 
Hakuna kitu kitakacho justify unachojaribu kusema.
Kwa hiyo msukuma yeye ni Mtanzania zaidi kuliko mrangi kwa mfano??
Kuna shida katika hilo.
Halafu, hivi mtu ambae ana proof ya kuzaliwa Tanzania, ana proof ya kusoma Tanzania kuanzia primary hadi chuo kkkuu ana proof ya kuajiriwa ndani ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 7; halafu una wasiwasi nae?? Kama utatilia mashaka Utanzania wa mtu wa aina hii, that speaks more of the weakness of immigration department than the legality of citizenship of that person!! FRESHMAN
Sheria tuliyonayo inasema, mtoto aliyezaliwa TANZANIA na mmoja wa wazazi.wake ni mgeni, ili kukamilisha uraia wake anapaswa Kwanza aukane uraia wa nchi ya huyo mmoja wa wazazi wake. (Rejea hukumu ya kesi ya uchaguzi mdogo kigoma mjini, dr Amani Walid Kaburu dhidi ya Azim Suleiman Premji). Sheria hii huenda ndiyo inayowaongoza uhamiaji kutekeleza majukumu yao
 
Pole sana mkuu. Kuna mambo yanasikitisha sana kwa kweli.
Wakati wa huu mchakato kwenye hizo siku mbili, at one point i thought of kuchukua uraia wa nchi jirani.
Very disappointing.
The Monk

Shukrani, wakati mwingine watu wanaowekwa kwenye nafasi wanafanya kazi utasema robot, hatumii kabisa akili kufikiria kwanini anafanya jambo flani au lengo la kila hatua kwenye mchakato husika ni kutimiza kitu gani? Anafanya anavyojisikia yeye na ukimuuliza anaona unamfundisha kazi.
 
Makabila ya mikoa hiyo ndo second grade citizens kwenye hii nchi eehh??
Kwa bahati mbaya sana, kabila langu mimi haliko katika mkoa wowote kati ya uliyotaja.
Lyamber
Taja kabila kama sio mkimbizi mkuu mbona umeeleza mengi umeshindwa kutaja kabila, basi itakua ni wa sehemu za mipakani
 
Mm sikupata shida sana wakati naomba passport, ila maswali sasa,

Niliulizwa nazaliwa WAP? Nilivyotaja wilaya wahudumu wote walicheka,

Mmoja akamuita mfanyakazi mwenzao, "wee Fulani njoo umuhudumie mhamiaji mwenzio, alipokuja yule kaka nilivyomuona tu nilicheka nikasema kama huyu ni mfanyakazi kabisa mm ndo nikose pass?

Basi mm nae mwongeaji kila MTU alitaka kunitania sana , Mara niimbe wimbo wa taifa😁😁😁😁😁😁😁😁

Nilienda na documents zangu Niko full so la muhimu kufata taratibu.

Kwa 98 % nilihudumuwa vizuri hayo mengine ni ya kawaida.

All in all kuna wilaya ukiitaja uhamiaji basi jiandae kwa maswali maana utaulizwa na origin ya majina yako.
 
sasa mzaramo au makabila ya moro, dodoma, singida, etc uwe na wasi wasi nae wa nini?? makabila ya mpakani kama ngara, kigoma lazima uwe na umakini nayo
Ndiyo sababu. Hakuna ukabila hapo. Niliwahi kumsikia mama mmoja pale Tunduma anamwambia mwanamke mwingine kuwa alikuwa Zambia kwenye msiba wa shangazi yake kabisa! Katika mazingira ya namna hii ni lazima serikali iwe makini!
 
Wasukuma, Wanyakyusa na Wachagga (a few examples) wao hawapo mipakani??
Hayo makabila matatu niliyokutajia kama mifano, wapo mipakani, ila wao wala hawapati shida yoyote kwenye hizo process, ni fasta tuu!!
Labda ufafanue ni mipaka gani unayomaanisha??
casanova69
mbona hujibu swali?,unakuwa unazunguka tuu...
 
Back
Top Bottom