Unyama huu kamwe auvumiliki.

Unyama huu kamwe auvumiliki.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,249
Namba Moja walianza hivi...
unyama.jpg Badae wakawekwa sehemu hii wakanza kumiminiwa risasi
unyama.jpg
Inauma sana ukiona video hii nikipewa ruhusa ya kuiweka humu nitafanya hivyo na Uongozi wa JF
unyama.jpg unyama.jpg
 
Namuona NANI na IBRAHIMOVICH
kwa vile ni Waarabu Umoja wa mataifa utanyamaza kimyaa!! Ingekuwa kauwawa Mzungu Dunia nzima ingesimama,Where's the HUMAN RIGHT WATCHDOG?
 
Namuona NANI na IBRAHIMOVICH
kwa vile ni Waarabu Umoja wa mataifa utanyamaza kimyaa!! Ingekuwa kauwawa Mzungu Dunia nzima ingesimama,Where's the HUMAN RIGHT WATCHDOG?

Na kaka Pia si umemuona ila Umoja wa mataifa wamelisemea hili swala.
 
Bush alisita kutoa majeshi mapema kwa kuhofia hili ingawa ndiye aliyechafua Iraq kwa sababu anazozijua mwenyewe. Sasa Obama yeye katoa majeshi harakaharaka....na sasa eti anarudisha tena na pia kuna mpango wa kupiga upya! mmhh kazi ipo
 
Ni kati ya suni na Shia sects! (Namjibia Faiza, lakini atakuja tumsikie)

Naona Iran inataka iwaokoe Washia wenzio huku Saudi Arabia ikiwa inawaunga mkono waasi wa Kisunni. Hapo naona kama ukanda wa Ghuba ya Uajemi itaingia kwenye vita vya kidini.
 
Wacha tungee tu hawa wenzetu wamelaaniwa dini gani hilo la mauaji?? Halafu wanajiita wenye misimamo mikali lol!
 
Ama! Hawa watu ni wabaya sana, tena sana. Eti mmesema hawa wanatetea dini gani? Kama ndivyo, basi na hiyo dini yao imelaaniwa!
 
So sad for real yani watu hawana utu wala ubinadamu ivi mungu angekuwa na hasira kama hao wanao fanya hivyo kweli kwa dunia ya leo kuna angesalia kweli humu duniani. oooooh lord have mercy on us jamani
 
UISLAM ni dini ya haki.
hao wauaji watazawadiwa mabira 70 na waliouwawa wataenda motoni!!!
Hey what the hell are you saying?
You better watch out about what your saying, Just imagine if you were the one or part of your family died that kind of death you couldn't dare saying something like that. Coz the pain that remain to their family after their relatives death are so much painful..... I'm so shocked about what you wrote but sorry kama ntakua nimekukwanza buti is not a big deal to support and saying stupid things while you don't know how painful your word are to other people.
 
Kurudisha jeshi la marekani kule si suruhisho la kumaliza vita make chuki zipo mioyoni mwa watu so the only soln ni kuacha wauaneee wakiona wamekaribia kuisha ndo wakae mezani kumaliza tofauti zao.
 
Boko Haramn Isis, Al - shabab, Brotherhood, Al - qaeda, kurdi, Boko halal wote vikundi vya waislamu.

Dini gani hii, bunduki mkononi ndiyo njia pekee ya kutafuata suluhu.

Waislamu wahubiriwe upendo wa Kristo wamjue Mungu wa Upendo kuliko kuendeleza chuki.
 
Back
Top Bottom