Kazi ya allah hii!
Mkuu NAPITA maomba uitupie kwenye whatsapp yangu(0768297745)hii video
Boko Haramn Isis, Al - shabab, Brotherhood, Al - qaeda, kurdi, Boko halal wote vikundi vya waislamu.
Dini gani hii, bunduki mkononi ndiyo njia pekee ya kutafuata suluhu.
Waislamu wahubiriwe upendo wa Kristo wamjue Mungu wa Upendo kuliko kuendeleza chuki.
Eti wanapigania dini ya ALLAH! Huyo Mungu , huyo Mungu!

na mm tupia humu whtsapp 0754822766
Hey what the hell are you saying?
You better watch out about what your saying, Just imagine if you were the one or part of your family died that kind of death you couldn't dare saying something like that. Coz the pain that remain to their family after their relatives death are so much painful..... I'm so shocked about what you wrote but sorry kama ntakua nimekukwanza buti is not a big deal to support and saying stupid things while you don't know how painful your word are to other people.
Eti wanapigania dini ya ALLAH! Huyo Mungu , huyo Mungu!
Ndugu nakusalimu kwa salaam alotufundisha mbora wa Viumbe ambaye ni mtume Muhammad (swalallah alaiyh wasalaam) ASALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH kwa salaam hiyo ni juu ya kumtakia amani mwanadamu mwenzangu na uislam ni dini ya amani siku zote.
Lazima tujifunze kutofautisha kati ya Uislam na Muislam kwani uislam ni mfumo wa maisha ambao unamtaka mwanadamu kujisalimisha kwa mwenyezi mungu mmoja na kufanya matendo yalo mema na muislam ni mwanadamu ambaye ameamua kujisalimisha kwa mwenyezi mungu mmoja lakini ikumbukwe ya kuwa mwanadamu huyo kaumbwa na khiyari ya kufanya mambo na ndo maana unakuta wanafanya maasi wakati si mafundisho ya uislam.
Kikubwa ukitaka kuhukumu jambo jitahidi ulifahamu kiundani,hakika hakuna dini yenye mafundisho bora na sahihi zaidi ya Uislam!