Ralphsams
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 347
- 350
Mkuu utapata hata ucwaze na mm nilitoka dp nilikwa na kitete Kama we.
Ni coz gan mkuu umechagaua?
Ulikuw na GPA ya ngap, ni SUA pia ulipata au!?
Mkuu utapata hata ucwaze na mm nilitoka dp nilikwa na kitete Kama we.
Ni coz gan mkuu umechagaua?
Ulikuw na GPA ya ngap, ni SUA pia ulipata au!?
Kozi zote ni za shambani mkuu department ya Agriculture.. Kozi Diploma yangu ni ya kilimo pureMkuu utapata hata ucwaze na mm nilitoka dp nilikwa na kitete Kama we.
Ni coz gan mkuu umechagaua?
Mkuu, nadhani umewahi kumuombea MTU chuo pale SUA.Yap 4.4
Screenshot tuone Mimi mwenye naend pale sua nishapata dirisha la kwanza tukusaidiaMkuu, nadhani umewahi kumuombea MTU chuo pale SUA.
Ulivyosubmit maombi uliletewa ujumbe gani ..?
Na pindi unafungua baada ya kusubmit unaletewa ujumbe gani..?
Acha uongo mbona mie walinitumia ujumbe nikaconfirm na ni single admissionYap yap
Ok extension umeweka?Kozi zote ni za shambani mkuu department ya Agriculture.. Kozi Diploma yangu ni ya kilimo pure
Mkuu, nadhani umewahi kumuombea MTU chuo pale SUA.
Ulivyosubmit maombi uliletewa ujumbe gani ..?
Na pindi unafungua baada ya kusubmit unaletewa ujumbe gani..?
Acha uongo mbona mie walinitumia ujumbe nikaconfirm na ni single admission
Hapana mkuu, kwani Extension inadeal na nn haswa..?Ok extension umeweka?
Bro unacofirm vp wakati chuo nikimoja unacofirm Kama una mutliple selection acha kupoteza wezakoKwa hiyo uliconfirm vipi ndugu? Naomba unielekeze basi.
Kwanza chuo gani icho isije ikawa diploma kwamana watu amchelewi kujichangany kipindi hichiAcha uongo mbona mie walinitumia ujumbe nikaconfirm na ni single admission
Relax bro Kama ulichangua chuo kimoja amna shida yoyote kikubwa dua tuombe kwenye maswala ya mkopo kalibia matokeo yanatokaKwa hiyo uliconfirm vipi ndugu? Naomba unielekeze basi.
Bro unacofirm vp wakati chuo nikimoja unacofirm Kama una mutliple selection acha kupoteza wezako
Relax bro Kama ulichangua chuo kimoja amna shida yoyote kikubwa dua tuombe kwenye maswala ya mkopo kalibia matokeo yanatoka



Hapana mkuu, kwani Extension inadeal na nn haswa..?
SawaScience ya kufundisha wakulima.inafanana tu general
Alafu capacity yake n watu 400 ilikwa Ina admit watu waliotoka do Ila mwaka uu naona fom 6 wapo...
ndio mkuuHabari wakuu!! Kuna mtu aliyefanikiwa kure-apply Muhas katika hii second round??