University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Aaah kuhusu admission sifahamu mzee ungeuliza kuna namba pale ungewasiliana nao
Oy me nimechaguliwa MUST hapo mechanical, single admission Kuna process yoyote inaendelea au nitulie tu nisubiri tarehe ya kuripoti chuon??nijiandae na vitu gani hapo MUST??
 
Bro unacofirm vp wakati chuo nikimoja unacofirm Kama una mutliple selection acha kupoteza wezako
Acha kukalili ndugu Ardhi University kwa course yoyote Ata ukiwa ni Single Admission kuna kuconfirm ww
 
Oy me nimechaguliwa MUST hapo mechanical, single admission Kuna process yoyote inaendelea au nitulie tu nisubiri tarehe ya kuripoti chuon??nijiandae na vitu gani hapo MUST??
Admission letter utajulishwa kupitia account yako uwe unaingia Mara kwa Mara kucheki
 
Kwanza chuo gani icho isije ikawa diploma kwamana watu amchelewi kujichangany kipindi hichi
Eti diploma 😂 labda kwa sababu ya utofauti wa vyuo Ardhi University ni lazima kuconfirm
 
Back
Top Bottom