University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

JamiiForums
Forums
What's new
Members
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Tunaotaka kuomba Bachelor degree vyuo mbalimbali 2020/2021 tukutane basi
Thread starterShombe la Kisomali Start dateJun 29, 2020 Tagsbasi kuomba vyuo
First
Prev
3 of 3
Unwatch
cocastic
cocastic
JF-Expert Member
Jul 16, 2020
Add bookmark
#41
Arch.katunzi said:
Najipanga na safari ya kuzitafuta ofisi za NACTE makao makuu,maana hata izi za kanda nackia hakuna msaada wowote.Nimehangaika na hii AVN,huu sasa mwezi wa tatu.Chuo na NACTE wanarushiana mpira.Chuo wanasema wametuma na NACTE wanasema hawajatuma.Chuo nimemaliza mwaka Jana 2019,matokeo yangu yote yamekamilima na GPA ni nzuri sana.Sina supp,wala hakuna somo linapungua wala kudaiwa.Hivyo nikisema AVN imenitesa,jua imenitesa vya kutosha...!
Poleeeeeh sanaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Thanks ReplyReport
remedy50
remedy50
JF-Expert Member
Jul 16, 2020
Add bookmark
#42
New Intake November.20/21
Thanks ReplyReport
Mchokozi wa mambo
Mchokozi wa mambo
Member
Jul 16, 2020
Add bookmark
#43
Arch.katunzi said:
Unatoa huduma gani mkuu,kana ni AVN hapo utatukamata wengi sana maana tumekwama...!
Arch.katunzi said:
Unatoa huduma gani mkuu,kana ni AVN hapo utatukamata wengi sana maana tumekwama...!
Hata A

Arch.katunzi said:
Unatoa huduma gani mkuu,kana ni AVN hapo utatukamata wengi sana maana tumekwama...!
Hata huduma hiyo pia tunatoa maana tunadili na aina zote za online application
Thanks ReplyReport
Msaluog
Msaluog
New Member
Jul 20, 2020
Add bookmark
#44
Shombe la Kisomali said:
Hiki chuo chetu tunagonga 3.5+ kila mwanachuo
Broo ukisoma koz ya recording and archives mangement unwez degree kusom hio kozi
Thanks ReplyReport
Mamy yuu
New Member
Jul 28, 2020
Add bookmark
#45
Yan mpaka Sasa unaenda mwaka wa2
Thanks ReplyReport
ThanksReactions: Bmichy68
Mamy yuu
New Member
Jul 29, 2020
Add bookmark
#46
Shombe la Kisomali said:
Solution ni ndogo tu..

Ingia nacte uangalie status yako kama kweli wametuma matokeo yako.. Ukiona "Submitted" basi we kamalizane na NACTE ili waconfirm matokeo yako..Ila hii issue Mara nyingi vyuo ndo vinadelay kutuma matokeo nacte
Ilo ni kweli ila tangu wanasema wametuma ni mda mrefu tu wanasema baada Ya wao kukamilisha kila k2 huko nacte baada Ya wiki mbili ndo tunaweza kuomba Lakin mpaka Sasa umetimia mwaka mzima hatujapata

Sent from my RNE-L21 using JamiiForums mobile app
Thanks ReplyReport
nyumbamungu
JF-Expert Member
Aug 5, 2020
Add bookmark
#47
Kwani hiyo AVN inatolewa baada ya kumaliza Diploma au hata kabla ya matokeo ya mwisho kutoka?
Thanks ReplyReport
Mohd j
New Member
Aug 5, 2020
Add bookmark
#48
Naomba maelezo kuhusu kozi ya land management na GIS
Thanks ReplyReport
Shombe la Kisomali
Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Aug 5, 2020
Add bookmark
#49
Mamy yuu said:
Ilo ni kweli ila tangu wanasema wametuma ni mda mrefu tu wanasema baada Ya wao kukamilisha kila k2 huko nacte baada Ya wiki mbili ndo tunaweza kuomba Lakin mpaka Sasa umetimia mwaka mzima hatujapata

Sent from my RNE-L21 using JamiiForums mobile app
Hii process inaweza kutumia hata dk.. Maana chuo kinatuma kinatuma results kielectronic then nacre wanathibitisha.. Sema uwingi was vyuo ndo unasababisha kuchelewesha confirmation process... But kamachuo kikiwa punctual inakuwa mapema tu
Thanks ReplyReport
Shombe la Kisomali
Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Aug 5, 2020
Add bookmark
#50
nyumbamungu said:
Kwani hiyo AVN inatolewa baada ya kumaliza Diploma au hata kabla ya matokeo ya mwisho kutoka?
Ni baada ya kumaliza na matokeo kutumwa Nacte
Thanks ReplyReport
-mseto_
-mseto_
Member
Aug 5, 2020
Add bookmark
#51
Nishapoteza miaka yangu mitatu namalzia semester ya mwisho now (bachelor) na nyie mkapoteze muda.

Nashauri kama unajiamini, elim ya diploma inatosha sana, pesa iko mtaan, degree inakutengeneza kua mtumwa wa taasisi
Thanks ReplyReport
ThanksReactions: Capybara
Shombe la Kisomali
Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Aug 5, 2020
Add bookmark
#52
-mseto_ said:
Nishapoteza miaka yangu mitatu namalzia semester ya mwisho now (bachelor) na nyie mkapoteze muda.

Nashauri kama unajiamini, elim ya diploma inatosha sana, pesa iko mtaan, degree inakutengeneza kua mtumwa wa taasisi
Acha kuwapoteza wenzako, mbona we umesoma na kumaliza
Thanks ReplyReport
jalula
jalula
Member
Aug 6, 2020
Add bookmark
#53
Shombe la Kisomali said:
Hiki chuo chetu tunagonga 3.5+ kila mwanachuo
chuo gani mkuu?😀
Thanks ReplyReport
-mseto_
-mseto_
Member
Aug 6, 2020
Add bookmark
#54
Shombe la Kisomali said:
Acha kuwapoteza wenzako, mbona we umesoma na kumaliza
Nimemaliza, manake nimeona kilichopo huku, spend kuona mnapoteza muda, nimetoa ushaur kama mzoefu, dunia ya sasa haihitaj elim ya juu
Thanks ReplyReport
Kilwa94
Kilwa94
JF-Expert Member
Aug 6, 2020
Add bookmark
#55
-mseto_ said:
Nishapoteza miaka yangu mitatu namalzia semester ya mwisho now (bachelor) na nyie mkapoteze muda.

Nashauri kama unajiamini, elim ya diploma inatosha sana, pesa iko mtaan, degree inakutengeneza kua mtumwa wa taasisi
Kwahiyo mzee nikachukue diploma ipi itakayonifaa maana advance nimesoma HGK.
Thanks ReplyReport
Da Gladiator
Da Gladiator
JF-Expert Member
A moment ago
Add bookmark
#56
Habarini Vijana,

Nawahusia na kuihusia nafsi yangu/zenu. Kama 'huna wani kali' usiombe Vyuo vyenye ushindani kama Udsm, Muhimbili, maana utajuta huu mwaka utakupita.

Kama utaviomba fanya kama kubahatisha, mean omba vingine vya kutosha then hivyo unajazilizia tu.

Maana kuna vyuo kama Mwecau, Tumaini, Sauti n.k huwa ni nadra sana kumuacha 'Aplicants' plz plz plz

Jaman jaman Jaman kama wewe ni Private Candidate'PC', ArtSubjectsFalure Plz chagua chuo ambacho aidha ni kwenu au unandugu maana ni ngumu sana tena sana zaidi ya sana kupata mkopo ,

Hima hima hima, kama utapata mkopo pleaaaase jitahidi kutumia 'boom' vzuri , maana Mimi nilikuwa namaliza boom langu ndani ya siku saba tu, Zile 'pisi' za Humanity sio kabisa.

AllIzWelL
 
Wakuu nimepambana nikafungua ya SUA,kaandikiwa hivi,
KINDLY NOTE THAT YOU WILL BE CONSIDERED IN SECOND ROUND.

Atapata kweli hapa?na je hakuna haja ya kuomba tena upya?
Hapa naanza kupambana na namna ya kufungua UDSM.
 
Jamaaani watoto wa siku hizi hawaaa!!;kasahau password ya kuingia account yake ya TCU ili aangalie vyuo na kozi alizoomba ili ajue kama amepata ama laaa!

Tufanyeje wakuu
Kumbe amesahau namna ya Ku log in ktk kila chuo.Si TCU kama nilivokuwa nimeuliza.Nimepambana nimewaza fungua SUA na kaandikiwa hivi
KINDLY NOTE THAT YOU WILL BE CONSIDERED IN SECOND ROUND.

Sasa sijui atapata second round?au nimwombee upya?
 
Wakuu nimepambana nikafungua ya SUA,kaandikiwa hivi,
KINDLY NOTE THAT YOU WILL BE CONSIDERED IN SECOND ROUND.

Atapata kweli hapa?na je hakuna haja ya kuomba tena upya?
Hapa naanza kupambana na namna ya kufungua UDSM.
UDSM haifunguki
 
Hiyo nayoisema ni ukweli 100%, washaurini ndugu zenu, watoto wenu nk ambao wamesoma diploma, kama una apply chuo basi wajitahidi kutuma maombi kwenye vyuo vingi, kwenye udahili tunachoangalia ni probability, kwa mtu wa diploma probability ya kupata chuo ni ndogo kutokana na nafasi chache zilizopo, njia pekee ni kutanua wigo na kuomba chuo zaidi ya kimoja, kutegemea na hali aliyonayo mfukoni, ikiwezekana aombe vyuo hata vitano ili kuwa na uhakika zaidi.
Sio kwel bro ukiwa na GPA kubwa hakuna longongo unapata chuo moja kwa moja mi nina GPA ya 4.8 nimeomba na nimepata ,pia nimeomba chuo kimoja tu
 
Wakuu nimepambana nikafungua ya SUA,kaandikiwa hivi,
KINDLY NOTE THAT YOU WILL BE CONSIDERED IN SECOND ROUND.

Atapata kweli hapa?na je hakuna haja ya kuomba tena upya?
Hapa naanza kupambana na namna ya kufungua UDSM.
Sua uliomba kozi zipi kiongozi..?
 
Jamani naombeni msaada nimehangaika kucomfirm UDOM
LKN Mfumo umenikataa kabisa.Au seva za TCU zikoje?
 
Kaka inaonekana unapenda Sana kusoma sua naona kilammoja akikwambia yupo sua unatetemeka baraha
Ndo nimeomba pale mkuu, ndoto zangu ni SUA tu kiukweli wala sifichi kiongozi.. Sio mbaya ukapray for me ktk hii safari
 
Back
Top Bottom