University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Naomba kuuliza
Ivi chuo cha mwalim nyerere hawatoi taarifa yoyote ukimaliza kusubmit
Mana mimi nimesubmit without any info au bdo cjakamilisha submition
IMG-20201015-WA0035.jpg
 
hivi Kuna alifanikiwa ku download Admission documents , maana page ya MUHAS majanga link haifai. na Ukiwapigia technical support hawapokei, hawapatikani, wanatumika.
 
Asee umepata MUHAS? Biomedical engineering??
hivi Kuna alifanikiwa ku download Admission documents , maana page ya MUHAS majanga link haifai. na Ukiwapigia technical support hawapokei, hawapatikani, wanatumika.
 
Back
Top Bottom