Haina kucomfirm kwa single admission
Et wadau mwenye single admission IFM main campusnaomba
Hii hapa.Jaman naomba mtu ambaye amaconfirm bugando na ameshapata admission letter. Anisaidie kipengele Cha ada na michango sh ngapi
Aisee kumbeHaina kucomfirm kwa single admission
Aisee kumbe
Waomba nn sasa apo
wapigie technical support wao watakusaidia nlkutana na issues kama hii nlisaidiwanisaidieni mawazo ndugu zangu. Jana baada ya kupata AVN yangu nikaaply St Fransic M.D. na GPA ya 4.0 sasa kila kitu kiko sawa ila dashboard haionesh chochote ya haina andishi lolote hata la kusema numenikiwa kutuma maombi. Je tatizo ni nini wakuu au ndo kukataliwa kwenyewe?
Link za PDF ifm asee
Ndo nimeomba pale mkuu, ndoto zangu ni SUA tu kiukweli wala sifichi kiongozi.. Sio mbaya ukapray for me ktk hii safari