University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Muda mwingine kuchaguliwa ni bahat ..kuna ndugu yangu amechagua vyuo 3 na amekosa vyote ...ni advance leaver
 
Jamani leo si ndio 2nd ROUND y aapplication inafunguliwa ila mpaka muda huu naona naona bado mifumo haijatoa ruksa ya kufanya application, vipi kwa ninyi wenzangu
 
wakuu nimeingia UDM. UDSM. MUHAS. KCMC. ST FRANCIS naona bado mifumo yao hainipi ruhusa ya kufanya application ya second round nisaidieni wakuu, kwenu uko vipi?
 
wakuu nimeingia UDM. UDSM. MUHAS. KCMC. ST FRANCIS naona bado mifumo yao hainipi ruhusa ya kufanya application ya second round nisaidieni wakuu, kwenu uko vipi?

UDSM - Nenda My selection utakuta ujumbe pale
 
Jamaaani watoto wa siku hizi hawaaa!!;kasahau password ya kuingia account yake ya TCU ili aangalie vyuo na kozi alizoomba ili ajue kama amepata ama laaa!

Tufanyeje wakuu
 
Back
Top Bottom