Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

famicho

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,192
2,823
Sijui ni jeuri, dharau au ni utemi sijui. Nina mke, michepuko, watoto, marafiki, ninaowaongoza, ndugu na jamaa wengine. halafu mbele za watu unaniita mpumbavu unanikosea sana. Na katika chaguzi matokeo nitangaze watu wako...

Daaah dunia haina usawa. Haiwezekani haiwezekani, haiwezekani

Wahusika akili kumkichwa.

Tukutane kwenye kutangaza matokeo #2020

Nawasilisha!!!!
 
‘.. Wapumbavu na vilaza Wakubwa nyie, visibility study ya Chujio tu ichukue Miezi sita unategemea wapiga kura wanywe Mkojo wako?!...’

Wananchi... wanapiga Makofi

‘... Nyie Wana Masasi mliochoma Ambulance na ofisi za Ardhi ni Wapumbavu ...’

Wananchi wanapiga Makofi na Vigelegele..
 
Duh umenifanya nicheke kama mazuri vile
 
‘.. Wapumbavu na vilaza Wakubwa nyie, visibility study ya Chujio tu ichukue Miezi sita unategemea wapiga kura wanywe Mkojo wako?!...’

Wananchi... wanapiga Makofi

‘... Nyie Wana Masasi mliochoma Ambulance na ofisi za Ardhi ni Wapumbavu ...’

Wananchi wanapiga Makofi na Vigelegele..
...wananchi wengi hawajielewi njaa uoga na unafiki + umasikini ndio unaowapumbaza ndio maana wanaitwa wapumbavu wanapiga vigelegele kutukuza upumbavu wao....hakika ni wapumbavu kweli!!
 
Sijui ni jeuri, dharau au ni utemi...sjui. Nina mke, michepuko, watoto, marafiki, ninaowaongoza, ndugu na jamaa wengine... alafu mbele za watu unaniita mpumbavu...unanikosea sana. Na katika chaguzi matokeo nitangaze watu wako... Daaah dunia haina usawa. Haiwezekani...haiwezekani...haiwezekani

Wahusika akili kumkichwa...

Nawasilisha!!!!
Tutayaona na kusakia mengi ya kipuuzi, ambayo yanakiuka waziwazi misingi ya haki za binadamu, katika utawala huu wa awamu ya tano...

Namnukuu Zitto Kabwe, tumewaweka madarakani washamba na malimbukeni. Full Stop
 
Jamani kuna pahala tunafeli JPM yupo sawa.Asante JPM nyeusi nyeusi, nyeupe nyeupe. Ni imani yangu ipo siku atabariki katiba bora.
 
Niwaombe Watanzania wenzangu huyu ndugu dereva wetu awahishwe hospitali ya MILEMBE , nikiri hadharani DEREVA anaumwa tukimuacha atatumbukiza gari kwenye shimo tutakufa wote. Mganga mfawidhi wa MILEMBE tafadhali leta ambulance.
 
Back
Top Bottom