Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

Sijui ni jeuri, dharau au ni utemi...sjui. Nina mke, michepuko, watoto, marafiki, ninaowaongoza, ndugu na jamaa wengine... alafu mbele za watu unaniita mpumbavu...unanikosea sana. Na katika chaguzi matokeo nitangaze watu wako... Daaah dunia haina usawa. Haiwezekani...haiwezekani...haiwezekani

Wahusika akili kumkichwa...

Tukutane kwenye kutangaza matokeo #2020

Nawasilisha!!!!

Napongeza na naunga Mkono tena kwa 100% hao wanaoitwa Wapumbavu waendelee Kuitwa hivyo hivyo kwani wanapenda Kufanya Kazi kwa Mazoea, Wazembe na ' Wapigaji ' watupu katika maeneo yao ya ' Uwajibikaji ' walipo. Katika hili wala siwatetei na nipo pamoja na huyo anayewatukana hivyo na namuomba asichoke ' Kuwatukana ' hadi wabadilike. Tanzania ya sasa siyo ya Kubembelezana au Kudekezana bali ni ya Kazi Kazi na ' Result Oriented ' pekee. Endeleeni na ' Unafiki ' wenu wa Kuwatetea hao Watendaji ambao wanawachelewesheeni Maendeleo ambayo kila Uchao mnayalilia.
 
‘.. Wapumbavu na vilaza Wakubwa nyie, visibility study ya Chujio tu ichukue Miezi sita unategemea wapiga kura wanywe Mkojo wako?!...’

Wananchi... wanapiga Makofi

‘... Nyie Wana Masasi mliochoma Ambulance na ofisi za Ardhi ni Wapumbavu ...’

Wananchi wanapiga Makofi na Vigelegele..
[emoji3][emoji3][emoji3]taifa la wajinga
 
Hii nchi rahisi sana kutawala, kizazi kimejaa ujinga, ingekuwa ni watu wanaojitambua wangetawanyika mkutanoni na kumwacha MTUKANAJI PEKE YAKE
‘.. Wapumbavu na vilaza Wakubwa nyie, visibility study ya Chujio tu ichukue Miezi sita unategemea wapiga kura wanywe Mkojo wako?!...’

Wananchi... wanapiga Makofi

‘... Nyie Wana Masasi mliochoma Ambulance na ofisi za Ardhi ni Wapumbavu ...’

Wananchi wanapiga Makofi na Vigelegele..
 
kisa matusi? no way
Tuhakikishieni demokrasia kwa Mtei tuje..
Yamekua mapya Haya? Tunaongozwa na chizi bado maswali ya nini? Tuvumiliane lakini tukipata wasaha tuchukue hatua watanzania CCM sio mama yetu mzazi wala wakufikia tuwakatae sauti zetu hatakama hazitaheshiwa zitasikika.
 
una remorse yoyote kwa wananchi wanaoteseka kutokana na upumbavu wa mkurugenzi?

Then utajua kati yake na wewe nani anafaa kuwa milembe...
Niwaombe Watanzania wenzangu huyu ndugu dereva wetu awahishwe hospitali ya MILEMBE , nikiri hadharani DEREVA anaumwa tukimuacha atatumbukiza gari kwenye shimo tutakufa wote. Mganga mfawidhi wa MILEMBE tafadhali leta ambulance.
 
Sijui ni jeuri, dharau au ni utemi...sjui. Nina mke, michepuko, watoto, marafiki, ninaowaongoza, ndugu na jamaa wengine... alafu mbele za watu unaniita mpumbavu...unanikosea sana. Na katika chaguzi matokeo nitangaze watu wako... Daaah dunia haina usawa. Haiwezekani...haiwezekani...haiwezekani

Wahusika akili kumkichwa...

Tukutane kwenye kutangaza matokeo #2020

Nawasilisha!!!!
Waaacge wavune upumbavu wao, wanapenda sana maisha ya Dezo hao MADED kisai kwamba anayewatumia anawaona kama ni HAMNAZO.

lakini ni kweli ni wapumbavu maana wanatumiwa kupora haki za wananchi wao, watu wa hivyo ni waoumbavu.
 
Hata kama lakini sio kumshushia heshima kias icho
Napongeza na naunga Mkono tena kwa 100% hao wanaoitwa Wapumbavu waendelee Kuitwa hivyo hivyo kwani wanapenda Kufanya Kazi kwa Mazoea, Wazembe na ' Wapigaji ' watupu katika maeneo yao ya ' Uwajibikaji ' walipo. Katika hili wala siwatetei na nipo pamoja na huyo anayewatukana hivyo na namuomba asichoke ' Kuwatukana ' hadi wabadilike. Tanzania ya sasa siyo ya Kubembelezana au Kudekezana bali ni ya Kazi Kazi na ' Result Oriented ' pekee. Endeleeni na ' Unafiki ' wenu wa Kuwatetea hao Watendaji ambao wanawachelewesheeni Maendeleo ambayo kila Uchao mnayalilia.
 
Watanzania ni ...
‘.. Wapumbavu na vilaza Wakubwa nyie, visibility study ya Chujio tu ichukue Miezi sita unategemea wapiga kura wanywe Mkojo wako?!...’

Wananchi... wanapiga Makofi

‘... Nyie Wana Masasi mliochoma Ambulance na ofisi za Ardhi ni Wapumbavu ...’

Wananchi wanapiga Makofi na Vigelegele..
 
Kwani atakuwa bado ni DED wakati huo wa uchaguzi ukifika?
 
mpumbavu sio tusi na anekunywa mkojo wake ni beberu kwani uyo DED ni jike au dume,anyway mkuu anatuvuruga mnaacha mambo ya msingi mnajadili upumbavu na nyie
 
Kwa miaka mingi tumeshuhudia
makandarasi na wahandisi wakijenga kwa muda mrefu na kiwango dhaifu

Kwa miaka mingi tunashuhudia mainjinia wetu kutoka Coet wakiwa hawawezi hata kujenga karavati

Sasa leo unataka kua mtetezi wao kwa kuitwa vilaza?
 
Hata kama lakini sio kumshushia heshima kias icho

Ulitaka asimshushie Heshima Hadharani kwani uliambiwa Yule ni Mkewe hivyo alitakiwa ' ampetipeti ' Kwanza? Wanafiki wakubwa nyie! Mbona hamuongelei Uzembe wao wa Kiutendaji na mmekalia tu Kumsema Mheshimiwa Rais kuwa anawakosea Heshima? Watanzania ni Watu ' Wanafiki ' mno na mnapenda sana kuangalia Mtu alipoangukia na wala siyo alipojikwaa na hapa ndipo wale wenye Akili kuwazidi wanapowadharau japo wenyewe mnajifanya ' Wajanja ' kuliko Mataifa mengi ya Kiafrika. Safi sana Rais Dkt. Magufuli ' tunyooshe ' hivyo hivyo Baba hadi tukome na tubadilike.
 
Back
Top Bottom