Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

DED wa Nachingwea kabla hajateuliwa alikuwa Marekani akifanya kazi…!Wamerekani walimwamini wakampa kazi leo Rais Magufuli anamwambia hajui kazi ANAFANYA KAZI ZA KIPUMBAVU NA ANYWE MKOJO WAKE……!Haya ni matusi makubwa sana kwa mtu mzima tena mtumishi wa Umma!
Inasikitisha sana!
Tuna wakati mgumu sana
 
Lugha yetu ni ngumu Sana kuitwa mpumbavu sio tatizo shida Ni jinsi unavo lipokea so sad
Kama kuitwa Mpumbavu sio tatizo subiri siku afanye ziara mkoani kwako halafu katika ya hadhara ropoka tu..."Pogba eeh mbona unafanya mambo ya kipumbavu?". Halafu tuone kama utapata hata muda wa kuleta mrejesho.
 
Nilijiuliza wanacheka nini?
‘.. Wapumbavu na vilaza Wakubwa nyie, visibility study ya Chujio tu ichukue Miezi sita unategemea wapiga kura wanywe Mkojo wako?!...’

Wananchi... wanapiga Makofi

‘... Nyie Wana Masasi mliochoma Ambulance na ofisi za Ardhi ni Wapumbavu ...’

Wananchi wanapiga Makofi na Vigelegele..
 
Mm binafsi naona ni dharau kubwa sana



Si dharau tu baali ni kumdhalilisha mtu,kumkosea utu,kumsimanga,kumtusi na kumkebei mbele ya hadhira…! Anachofanya Magufuli kwa Watumishi na Wateule wake si UUNGWANA HATA KIDOGO…Tabia hii ni lazima ILAANIWE na IKEMEWE kwa nguvu zote!
 
Back
Top Bottom