Ungetamani nani asife?

Nilishawahi kupenda hadi nikahisi kufa kufa lakin sijawahi kutaka kufa kwasababu ya hii sekta. Niliempenda alienda nikiwa bado nampenda ilikua ngumu sana kumwona yule dada hayupo na mimi wakati anapatikana kwenye simu na huko alipo yupo kama kawaida.

Akili iligoma kukubali matokeo ya kumwacha aende. Niliona hakuna cha muhimu zaid kweny hii dunia niliona kama hakuna anaenijali mbaya zaidi niliona hayupo mtu yeyote anaweza kuniamini kwa kilichonikuta..nilitembea na kuendelea na shuguli zangu ambazo efficency na performance yake ilishuka japo haikuvuka nusu. Yan silii napiga story kama kawaida lakin huzuni ilijaa ndan yangu kiasi macho yanakua majimaji wakati waote hadi nilitaman nivae miwani tinted

Sasa baada ya wiki mbili hivi nilisikiliza sana nyimbo za KUFA kama I'LL BE MISSING YOU puff dady, KAMANDA daz nunda, TUTAKUKUMBUKA crzy gk, na nyingine . Niliunda mawazo kabisa kama amekufa na yaliendelea kunijia automatic nikayaendeleza.

Baadae nikajakugundua na kuhitimisha kumbe nilitamani AFE ili niine huyu mtu hayupo tena hata mbali na upeo wa macho yangu. Note that angekuja karibu yangu singemfanyia ubaya wowote.

Kwasasahivi natamani niwe kama mwanzo kwasababu bado nataman kuwa na mtu ambaye atakua mpenzi wangu unaweza kushangaa wanawake wapo kibao ukasema kwani siwaoni? Shida sio kuwaona mimi nimepoteza uhalisia wa kumfata dem na kuanza kumuaproach yani nikimtongoza naonekana sina iman nae kwasababu ya history yangu ilonipata sasa inapelekea yeye kuona kama mbabaishaji tu japo unakuta namuhitaji. Imekua shida yangu hiyo natamani sana kuwa kama mwanzo na mimi niweze kupenda.
 
I wish my husband to live forever
Jamani basi tu kila nikiwaza kifo nikifikiria jamaa yangu nae atakufa huwa nalia sana

Amenipa dunia all the love I wished to have

I love him deeply.
Mungu ampe uzima.
 
I wish my husband to live forever
Jamani basi tu kila nikiwaza kifo nikifikiria jamaa yangu nae atakufa huwa nalia sana

Amenipa dunia all the love I wished to have

I love him deeply.
Mungu ampe uzima.
I don't know why nice people live shorter
 
Ina maana mpaka anakua utakua hivyohivyo single au umeamua kuishi kama mjane forever
 
I wish my husband to live forever
Jamani basi tu kila nikiwaza kifo nikifikiria jamaa yangu nae atakufa huwa nalia sana

Amenipa dunia all the love I wished to have

I love him deeply.
Mungu ampe uzima.
Hao ndo hawadumugi
 
Tusipangiane matumizi ya uchi,kila mtu ana wake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mume comment kitu cha kipuunzi kuwa single na kubaki mjane ni mambo yangu binafsi
Sasa usilalamîke mtoto utamjibu nini.atapata baba mwengine mwenye mapenzi ya dhati otherwise uamue kuwa single mother.by the way pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…