Ungetamani nani asife?

Mimi ni nani hadi nitamani binadamu mwenzangu afe? Unatamanije mwenzako afe while sote ni njia moja?
 
Hao ujue wanalaana mkuu[emoji1321]
Kulikuwa na binti aliishi kwa mateso makubwa na mama yake
Mama alikuwa na kazi ya kutaka pesa daily wakati binti alikuwa bado hana kazi
Mama alikuwa na kazi ya kumtafutia mwanae wanaume wenye pesa.. Alikuwa anamdalalia bintiye
Mama alikuwa akipata pesa lake ni pombe na kutembea na vijana wadogo...
Story ya huyu binti ilijaa machungu... Mama mtu aliwahi kutembea na mkwe wake... Kuna watu wana simulizi za kutisha sana
 

Daaah
Huenda huyo mama hakuwa mzazi halisi wa huyo binti.ila binti hajalijua hilo kafichwa tu
 
Aisee ni huyu mzazi alie baki maana kuna time najiulizaga ivi nae mungu akimchukua aisee magumu yap nitapitiaa
 
Aisee ni huyu mzazi alie baki maana kuna time najiulizaga ivi nae mungu akimchukua aisee magumu yap nitapitiaa
Wengine tumeshafunga hesabu... Wapumzike kwa amani.... Bila wao nisingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…